MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Kupendana kunaondoa umasikini?
Swali la kipuuzi...!
Kupendana kunaondoa umasikini?
Nimekaa nje ktk nyumba niliyopanga kwa sababu ndani joto sn,ma,masikini wanapita watoto na madishi wamebeba machungwa,matango,mchicha n.k.Ukiwaangalia hali zao mweeee! inauma sana.
Mbaya zaidi mpaka nikataka kulia ni baada ya kupita mama mtu mzima akiwa na dishi huku akiongea peke yake maskini! Daaaaa nyie watanzania nyie!
Sijui,kwakweli sijui tuendako.
Masikini wapo dunia yote. Hata marekani kuna machinga, ombaomba etc cha muhimu ni sisi kwa sisi kusaidiana na kupendana. Kuilaumu serikali sio suluhisho.
Masikini wapo dunia yote. Hata marekani kuna machinga, ombaomba etc cha muhimu ni sisi kwa sisi kusaidiana na kupendana. Kuilaumu serikali sio suluhisho.
Hapo ndiyo umetouch hasa source ya nchi hii kuendelea kutopiga hatua.Mkuu ni kweli inauma lakini haohao unaowaonea huruma ndo wanajifanya CCM damu.
Nilijua tu mwandishi wa post hii alikuwa anaweka mtego wa watu kuingiza habari za kisiasa na kweli amepata.
We mwenye wenyewe umepanga kwenye chumba kimoja na mnachangia choo watu kibaoo.
Hao unaowaona wanauza hizo bidhaa wengi wanaishi kwenye nyumba za Familia zao na kwa taarifa yako hesabu yao ya mwezi wewe huwagusi.Umaskini wa mtu au familia hausomwi kwa biashara anayoifanya,kuwa na akili acha siasa kijana.Unaweza kukuta unapanga hadi maiti yako inatolewa kwenye nyumba ya kupanga.
Kuna manabii walikuwa na maisha magum kuliko hayo na mungu akawapa wepesi humo humo,nenda kanisani au msikitini ujifunze.Kama kuuza watoto au kinamama hata vijijini hali hiyo ipo na wala hawana shida ya chakula.
Jina lenyewe la anae post linaitwa TAMUUU,sasa sijui kama sio wale jamaa zetu wa mitaa ya Magomeni kule au Kinondoni unawakuta kwenye taarabu jioni.Ndio maana sishangai sana post hii
Hlafu ukitaka kujua kama ni jamaa zetu wle angalia heading ya"Imeniuma na imenigusa mpanda ndani" hahaha kazi kweli
Masikini wapo dunia yote. Hata marekani kuna machinga, ombaomba etc cha muhimu ni sisi kwa sisi kusaidiana na kupendana. Kuilaumu serikali sio suluhisho.
. Hii ni nyumba ya Mjumbe wa ccm, mbezi msakuzi stand. Hayo ndiyo maisha BoraHiyo marekani yenye machinga ipo wapi..mm nipo marland..tena sehemu ya watu wenye hali ya chini..langeley park lakini sijaona machinga..Masikini wapo dunia yote. Hata marekani kuna machinga, ombaomba etc cha muhimu ni sisi kwa sisi kusaidiana na kupendana. Kuilaumu serikali sio suluhisho.
Hivi mnajaribu kutetea nini hapa..acha ijinga wewe..?We umeona nchi gani duniani watu hawataabiki na nchi gani duniani watu wote wanaajira..
Halafu msiwe na mawazo mgando na uvivu.Mliambiwa mje mjini?
We utamuoneaji huruma mwenzio badala ya kujionea huruma wewe na familia yako huko nantumbo.
Sio kila mtu unaomuona njiani basianamaisha kama unayofikiria wewe,nenda kaulize wale Ombaomba kwasiku wanaingiza kiasi gani.Kuna kipndi cha Capital TV kuna ombaomba alihojiwa anaingiza zaidi ya elfu hamisni kwa siku nakasema haachi kazi ya kuomba hata umpe laki tatu kwa mwezi.
Sasa nyie wengine Maisha yakiwashinda msisingizie vyama au serikali.Mjini hapa lazima mjikaze sio ulelemama.
Nendeni Chanika mkaone mamalishe wamevyonunua viwanaj na wengine kuanza kujenga.Nyie mmekaa na mavyeti yenu mjini nenda rudi nenda rudi na nyie ndio wenye kukimbilia mambo ya siasa.Wewe kama huna kazi na unategemea serikali ikutafutie ajira basii jinyonge kabisaa,maan waliopo kwenye ajira hawatoki na ajira zikija mpya watu wanachukua wewe unakalia porojo tu.
We unailalamikia serikali hivi wewe umeifanyia nini la maana ziaidi ya kulaumu tangu jua linatoka hadi linazama.
Au kuna mwanasiasa unaemjua ambae anajua dhiki zako za maisha?waache kwanza vijana kina Lema na Machali watengeneze kwanza maisha,wakitaka kuandamana watakufuata ukawe chambo kama kawaida.
We kama unakalia Pombe,madem na misifa isiyo ya maana unategemea nani atakutengenezea maisha yako.
Kep it mind:Siku zote wanasiasa wana Target watu waliojikatia tamaa ya maisha.Na kuwaahidi kwamba wao ndio wataleta nchi ya asali na mazima,waulze CUF hhuku wamepewa seriakli ya umoja wa kitaifa na wamepewa Wizara waziendeshe,yako wapi,wapo taabani waliosema yote hakuna hata moja.
Fanya siasa iwe very Partial na Kutafuta maisha iwe Permanent.
Hawezi jibu hili swali kubwa sana kwake..?!Kupendana kunaondoa umasikini?
Masikini wapo dunia yote. Hata marekani kuna machinga, ombaomba etc cha muhimu ni sisi kwa sisi kusaidiana na kupendana. Kuilaumu serikali sio suluhisho.
Hiyo marekani yenye machinga ipo wapi..mm nipo marland..tena sehemu ya watu wenye hali ya chini..langeley park lakini sijaona machinga..
Hivi mnajaribu kutetea nini hapa..acha ijinga wewe..?