Imeniuma na imenigusa mpaka ndani

Imeniuma na imenigusa mpaka ndani

Inatiaga huruma saanaa...sometyms unamkuta mbaba age ya baba yako anauza sigara, karanga, jua lake mvua yake....huo umri alipaswa atulie nyumbani acheze na wajukuu

Je, hii Napokuwa Oysterbay naona wa Tanzania wakipita wapo ndani ya magari ya kifahari na miziki kwa sauti kubwa hadi Sub-Woofer za pasua masikio !! Dooh hapo wakiingia kwenye majumba ya kifahari yenye walinzi maalum !! vijana wamevalia
zali na mijichain ya dhahabu wamependeza ajabu !! Tanzania ni ya aina gani?
 
duhh,kumbe na wewe imekuuma na imegusa mpaka ndani?
Siamini kama mpo wengi namna hii

Kaka huna sababu ya kuwa apologist w mfumo uliopo!

Tungekuelewa zaidi kama ungechangia hoja kwa kushauri namna ya kuwasaidia Watanzania wenzako kuondokana na aibu ya umasikini wa kutisha na sio kujaza maneno ya kisiasa humu....uunaonekana kuwa kibaraka, na mtu asiye na upeo wa fikra huru
 
Wewe saidia kwanza kwenu,sio kila unaemuona anauza karanga barabarani ukafikiria ni maskini kama unavyodhania.
Njia ya kumsaidia mtu ni kwenda shule kwanza,mambo ya kulalamika mfumo wa elim mbovu sio issue,sie na wengine kibao wamesoma kwenye hali ngum zaidi ya hii na leo wapo sawa tu.

Pili mtu awe na mawazo kwamba nasoma ili nijiajiri na sio kutegemea kwamba uajiriwe,mwisho wake ukikosa ajira ndio unajiunga na waleee.
Hapa hakuna mfumo wala nini,wewe akili yako na kichwa chako,lazima kwanza ujitambue na kujua kwanini wenzio wapo hivyo na wewe upo hivyo,chukua fursa kulingana na upeo wako.

Umaskini sio aibu,maana inaonekana kwamba wewe hata Nyumba za ibada huendi kusikia neno la mungu.
Na nyie ndio manofanya wale waganga wa kienyeji Dar waongezeke,maana unaambiwa mtu anakupa utajiri unakwenda mbio.
Sasa mtu aliejikatisha tamaa na maisha lazima ataona hiyo ndio njia sahihi na kila analoambiwa anaona sawa na kuona kwamba serikali haijafanya lolote.

We jiulize kwanini wahindi wanalindana kimaisha,unakuta muhindi hali ngum sana ila wenzie wanamtoa katika halihiyo na kumuweka Upanga na watahakikisha wanamuwezesha,jiulizeni sie waswahili hali ipoje.
Yaani Umri ulionao bado unalaumu serikali tu,au hajui kama ombaomba hadi Uingereza wapo?
Mungu aligawa Utabaka kwa hekma zake,hamuwezi nyote kuwa sawa,na tabia ya kujiona kwamba wewe ni maskini basi ndio inayokufanya ushindwe kuwa na mitizamo chanya,hakuna aliezaliwa kuwa maskini.

Sio kila mtu anapenda kukaa ofisini,watu wanapiga issue za kitaa mwisho wa siku wewe mwenye Tai na suti wanakuacha mbali tu mnakutanao ukistaafu ndio unajua kwamba maisha sio lazima kuajiriwa.

Kwa mtizamo wangu mie ambae nimepita huko,nikwamba nikimuona mtu anauza biashara hizo kwanza nampongeza najua ndio safari yake ya kufanikiwa kama ni mwenye akili na kukubali changamoto.
We watu mnajaza Baa na Guest kila siku halafu unakuja hapa unalalamika,hiyopesa si ungetafuta hata yatima wawili ukasomesha?EBB

Nyie ndio wale ambao waliosema Mjengoni kwamba watoto baba yao ni serikali na iwahudumie kila kitu,Wajibiwa nyie mnajifungia chumbani na Raha zenu kisha mnatelekeza mzigo serikalini.Kwanza hakikisha kwako pako sawa ndio uangalie kwa mwenzio,sio kila kitu serikali.

Nakupa nukuu ya Mzee wa Upako(Lusekelo)alipohojiwa EAT kwenye Mkasi:
Kwamba Hamini umaskini,akiwa namaana kwamba fursa utakayoitafuta ndio yako na utakachokipata ndio chako.
Tatizo la sie hatutaki changamoto za maisha,sie tunataka urahisi tu.Pigeni kelele tupitishe EAT mseto hapa muone wakenya watavyokuja kuchukua fursa nyie mnakalia kulalamika tu.Bahati yenu seriali inawalinda bado

Utawasikia

-Maisha bora kwa kila mtanzania, kumbe ni maisha bora kwa akina mama salma na akina ridhiwani

-Utawasikia nguvu zaidi, kasi zaid ......kumbe nguvu na kasi ya kupora mabilion, rada ilikuwa kidogo, mara richmond .. maa wee 200Bilions zimechukuliwa kweupee....

-Utawasikia umoja na mshikamano, kumbe ni ummoja wa mafisadi na mshikamano kwa wanasiasia majizi na majambazi

Raia wanateseka, wao na ccm yao kazi kupiga majungu na propaganda bungeni na mitaani.......ni aibu hasa kwa taifa kama letu lenyeutajiri wa kila aina hapa duniani watu kuteseka namana hiyo

Hao wanaoteseka ndiyo wanaoitaka ccm.

Ccm HOYEEEE......Malizia hata kimoyo moyo.
 
Masikini wapo dunia yote. Hata marekani kuna machinga, ombaomba etc cha muhimu ni sisi kwa sisi kusaidiana na kupendana. Kuilaumu serikali sio suluhisho.
Hatuwezi kupendana katika hali kama hiyo bali ni unafiki kama wanaouonyesha viongozi wetu kwa kufanya maigizo mfano: waziri flani anapata chakula kwa mama ntilie! au waziri flani anapanda bajaj wakati VX lake liko pembeni. Kusema ukweli pengo kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho linazidi kuongezeka, pia ulafi wa viongozi wetu umezidi, tusitumie hali ya nchi nyingine kujustify umasikini wetu
 
Kaka huna sababu ya kuwa apologist w mfumo uliopo!

Tungekuelewa zaidi kama ungechangia hoja kwa kushauri namna ya kuwasaidia Watanzania wenzako kuondokana na aibu ya umasikini wa kutisha na sio kujaza maneno ya kisiasa humu....uunaonekana kuwa kibaraka, na mtu asiye na upeo wa fikra huru

We mjinga kabisa huna akili hata kidogo! shida walizonazo watu zimeletwa na serikali ya ccm,iliyoshindwa kusimamia rasilimali za taifa,na taifa kugeuka kuwa ombaomba hadi ktk bajeti linashindwa kujitosheleza hadi lisaidiwe,eti taifa huru,au ni jimbo la mataifa makubwa? leo unalaumu watu wenye shida,mleta mada unamwambia analeta siasa,mjinga wewe toa umbumbumbu wako wa ccm hapa,siku hizi ni aibu hata kusema kuwa wewe ni mtanzania ukiwa nje ya nchi,taifa ombaomba,viongozi wanaishi ktk paradise wananchi in hell,usirudie tena kuko ment uharo wako hapa,watu tuna uchungu na taifa letu wewe unaleta utaahira wako hapa m.bwa wewe kasoro mkia nyambaf kabisa senz taipu mwanaizaya kunguru mweusi shiiit!
 
nchi hii sisi ndie tunao taka iwe hivi, mimi siwaonei huruma hata kidogo, wakielezwa ccm haifai, wanajifanya viziwi wakipewa ubwabwa, tshert na kanga. wategemee wajukuu na watoto wao wataonajoto la jiwe, ubwabwa 1 day, 364 /365 ni kusota. mjifunzee.
 
We mjinga kabisa huna akili hata kidogo! shida walizonazo watu zimeletwa na serikali ya ccm,iliyoshindwa kusimamia rasilimali za taifa,na taifa kugeuka kuwa ombaomba hadi ktk bajeti linashindwa kujitosheleza hadi lisaidiwe,eti taifa huru,au ni jimbo la mataifa makubwa? leo unalaumu watu wenye shida,mleta mada unamwambia analeta siasa,mjinga wewe toa umbumbumbu wako wa ccm hapa,siku hizi ni aibu hata kusema kuwa wewe ni mtanzania ukiwa nje ya nchi,taifa ombaomba,viongozi wanaishi ktk paradise wananchi in hell,usirudie tena kuko ment uharo wako hapa,watu tuna uchungu na taifa letu wewe unaleta utaahira wako hapa m.bwa wewe kasoro mkia nyambaf kabisa senz taipu mwanaizaya kunguru mweusi shiiit!

Kaka...
Nasikitika sana kwa jinsi ulivyokurupuka.....siku nyngine .ni vema ukafuatilia threads. Kuna mtu anayejiita ZANZIBAR SPICES ndiye niliyekuwa namjibu na sio mtoa mada. Kuwa makini la sivyo unaweza kupoteza heshima yako bure...Hebu fuatilia na urudi hapa nikueleweshe kama utahitaji.
 
We mjinga kabisa huna akili hata kidogo! shida walizonazo watu zimeletwa na serikali ya ccm,iliyoshindwa kusimamia rasilimali za taifa,na taifa kugeuka kuwa ombaomba hadi ktk bajeti linashindwa kujitosheleza hadi lisaidiwe,eti taifa huru,au ni jimbo la mataifa makubwa? leo unalaumu watu wenye shida,mleta mada unamwambia analeta siasa,mjinga wewe toa umbumbumbu wako wa ccm hapa,siku hizi ni aibu hata kusema kuwa wewe ni mtanzania ukiwa nje ya nchi,taifa ombaomba,viongozi wanaishi ktk paradise wananchi in hell,usirudie tena kuko ment uharo wako hapa,watu tuna uchungu na taifa letu wewe unaleta utaahira wako hapa m.bwa wewe kasoro mkia nyambaf kabisa senz taipu mwanaizaya kunguru mweusi shiiit!
Na wewe kumbe mwachama?duhh kazi kweli.
Kama Taifa kuwa na Madeni hata Marekani Inadaiwa,angalieni kupenda maisha rahisi nchi za wenzenu mtaolewa.
Vionggozi wanaishi katika maisha kama viongozi,mbona wachungaji wanamliki majumba makubwa na magari ya maana na kila siku tunawaongezea pesa na hatusemi,kila mtu ana level yake ya maisha.Na hakuna mwananchi anaeishi in hell,labda wewe peke yako.
Mwenye uchungu nataifa hili huwa hasemi.Na ukiona mtua anatukana badala ya kujenga hoja ujue ndio waleee.
Ugumu wa maisha yako ni wewe na wakwenu,usijumuishe kila mtu in your Hell.
Fanyakazi kwa Bidii,Ongeza Elim,Kuwa na mipango ya kujiajiri,acha kulalamikia Serikali,weka kando issue za siasi zisitawale ubongo wako,na amini kwamba maisha yako unajitengenezea mwenyewe.Hapo utaona maisha ni poa tu,maihsa mbona mepesi tu,we unataka upate kazi leo kesho ununue Vogue ukasumbue wenzako,unachokipata ndio mungu amekupangia.
 
Nani kakwambia hivyo?

ccm ni wezi kura...!!!!!!

Wezi wapi? Acha unanii wewe. Usikariri. We mwenyewe hujui hata rangi ya sanduku la kura then unaropoka ropoka tu. Ccm wanaiba...kama wanaiba kwa nini ukubali kuibiwa kama si ujanja kinyume??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom