Imenilazimu nipitie tena CV ya MULUGO

hajielewi, ukimuuliza alikuwa anapresent nchi gani, atasema China.

Mambo?
Mambo pouwa mrembo,umepotea mbele za macho yangu,and i miss you and your sense of humour.Vipi mambo lakini?Uwe unanitag basi ili nijuwe pahala ulipo.

Huyu jamaa kaniacha hoi given the fact kwamba ni waziri!
 
Mulugo mpaka kesho najua ni kilaza tu! alikuwa Southern Highland pale mpaka anaukwaa ubunge ni magumashi mwanzo mwisho watu wa Mbalizi pale wanamcheka tu JK
 
Kuna haja ya prezidaa kuwa anapiga stori kwa kizungu na watumishi wa serikali ili wakizoee. Ofisi nyingi za serikali akiingia asieongea kiswahili utakoma mwenyewe. Hata receptionist hajui kuongea kiingereza. We are a poor country, hata tujivunie kiswahili, kuna siku tutalazimika kuongea kizungu. Ndo kihoro kinatupatia hapo. Kama waziri anaongea kizungu cha darasa la tano! Hii ni product ya a failed education system. Staki hata kuwaza relevance ya alivyokuwa anaviongea hapo.
 
mi sielewi mnajadili nini kwani huyu naibu waziri jina analotumia sio lake na mambo yake yalishaanikwa kuwa alitumia cheti cha rafiki yake ambaye alipeform vizuri walipomaliza high school songea boys hii nchi imeshaharibika
eti unasemaje hebu rudia tena mbona sijakusikia vizuri uliyosema
 
Haya ya kuhalalisha upumbavu eti 'makosa ya kibinadamu' ndo yametufikisha hapa! Wezi wanaiba mali za umma wanabembelezwa kurejesha mali walizoiba. Kwa kushindwa concentration au kukosa focus kama ulivyobaini katika mkutano kama huo na kwa wadhifa alionao hiyo ni sababu tosha kabisa kwamba hafai kuwa hata mkurugenzi wa idara yo yote ile. Mimi nilikiri angekuwa amejiuzulu wakati huu.
essentially ilikuwa ni suala la yeye kupima kosa alilo fanya na ajiuzuru hasa kwasababu yeye ni msimamizi wa elimu nchin.kwa educationist kama yeye halafu anafanya kosa kama lile ili aweke mfano alitakiwa ajiondoe kwasababu hajaitendea haki elimu.
 
'Mtu MKubwa hupimwa kwa mambo Madogo' kama ni ulimi kuteleza hii hatari.
 
hii ni serikali ya Vilaza, ina maanza alikosoma kooote huko mpaka a level hajajua tu muunganiko wa Tanzania? aibu tupu
 
aiseeee babaangu asilimia kubwa ya wabunge na mawazili wamepata degree zao pale open pale kuna chembechembe za rushwa
 
mi sielewi mnajadili nini kwani huyu naibu waziri jina analotumia sio lake na mambo yake yalishaanikwa kuwa alitumia cheti cha rafiki yake ambaye alipeform vizuri walipomaliza high school songea boys hii nchi imeshaharibika
Hili nalo neno....
 
After i went through other presentations at the same summit, this is my analysis, THREE
IMPORTANT THINGS to note:
firstly, knowing english and speaking english are two different things,

secondly, he was nervous and thought he said what he read (if you check slides it says Zanzibar not Zimbabwe),

third, he didnt have a command of the language and kept reading, if you check other presentations, some junior representatives in other countries Education ministries gave lectures with indepth analysis WITHOUT relying on their slideshows.

conclusion, This means our 'bright graduates from UDSM' can't compete at regional, let alone global stage if a chance arises.
= = =
Armani Adams MSc, BSc (Hons), Dip.
Bible, ILM.
London, UK.

Source: comments toka issamichuzi.blogspot.com
 
waziri mzima upitiwe....hu si upunguwani, mtu presentation unaifanyia mazoezi japo mara moja kwa uchache na unaongea kwa upana bila kuifuata hiyo presentation yako. Watanzania tumekwisha...kama siku hizi ndo mawaziri wanateuliwa kama miaka ya nyerere....
Sasa hivi wasomi wengi sana na wapo wamejaa tele na wanauwezo wa nafasi hizo. Sasa JK sijui nani anamshauri kukurupuka na kuchukua vilaza. HUyu mzee akija nje ya nchi na kupewa nafasi kuwahutubia wanafunzi katika moja ya vyuo vya ukweli TZ tunapata aibu kubwa sana.
Ndomaana Asha-rose Migiro aliamua kukaa kimya mpaka muda wake umeisha na kukwepe aibu ambayo angeipata laukama angeyavagaa maji marefu
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
huyu jamaa shule yake ya southern highland ilifutiwa matoke wanafunzi wote form 4 intake ya 2003
hii ikailazimu wizara iunde tume kuzichunguza baadhi ya shule na hii ikiwemo ya bwana mulugo ikiwemo
tume ilithibitisha kuwa wamefanya udanganyifu na kufungiwa miaka mitatu kama kituo cha necta
lakini cha ajabu jakaya kikwete kamteua huyo mkuu wa shule yenye kufanya udanganyifu kuwa naibu waziri wa elimu,sidhani kama alitumia busara kumchagua au alitaka aongeze idadi ya mawaziri kutoka mbeya ili kujenga chama na kuondoa mpasuko
 
Huyu kachelewa sana shule......hivi sura hii ni ya kuwa darasa la kwanza 1982? He looks older than my father in-law!

1645.jpg
 
Mob a JK Alissa Madame chairmen kwenye conference ubelgiji...wa dozen hawa walk hakuna issue halo ni upepo tu huo


.......................................::confused2: A S confused: ................................
 
Huyu kachelewa sana shule......hivi sura hii ni ya kuwa darasa la kwanza 1982? He looks older than my father in-law!

1645.jpg

Hahaha....mkuu kujua Kimombo si ishu rahisi ukizingatis hata Kiswahili chenyewe huenda kikawa champa tabu waziri wetu..
 
Siku hizi huji mmu tena

Mie nipo, nitaanza kukutag

Hii ni aibu kubwa, afu ukizingatia ni waziri wa elimu, mwenye uzoefu wa kufundisha
Alikuwa anafundisha nini??


Haya mambo ni kwa Tanzania tu, sidhani kama kwingine yanatokea

Mambo pouwa mrembo,umepotea mbele za macho yangu,and i miss you and your sense of humour.Vipi mambo lakini?Uwe unanitag basi ili nijuwe pahala ulipo.

Huyu jamaa kaniacha hoi given the fact kwamba ni waziri!
 
Back
Top Bottom