Imenilazimu nipitie tena CV ya MULUGO

huyu waziri ni chaka kabisa, kwanza hata umri wake (maika 40) na CV yake vyote vimechakachuliwa.
 
<font color="#000000"><span style="font-family: Lucida Grande"><strong>
Nimelazimia kuiangalia vizuri cv yake kama kweli alimaanisha.


MEMBER OF PARLIAMENT CV


GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1645.jpg

First Name:
Philipo
Middle Name:
Augustino
Last Name:
Mulugo
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Songwe
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 9121, Dar Es Salaam
Office Phone:
+255 754 315 922/+255 784 315 922
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
pmulugo@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
27 January 1972
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Rukwa Primary School, Chunga
Primary Education
1982
1989
PRIMARY
Mbeya Secondary School
O-Level Education
1990
1993
SECONDARY
Songea Boys' High School
A-Level Education
1994
1996
HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania
BA (Economics Education )
2002
2008
GRADUATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Songwe Constituency
2010
2015
Southern Highland Secondary School
School Managing Director
2008
2010
Southern Highland Secondary School
Administrative & Personnel Officer
2005
2010
Southern Highland Secondary School
Teacher
2000
2004
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - National Executive Committee
2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary General - Mbeya Region (Parents)
2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - Chunya District Political Committee
2007



Sehemu niliyobold nyekundu imenitia wasi wasi kwani inaonyesha yafuatayo:-
Ikiwa Primary alianza 1982 na kumaliza 1989 inamaana alisoma kwa miaka 8 badala ya 7.
Ikiwa High School alianza 1994 na kumaliza 1996 inamaana alisoma miaka 3 badala ya 2 kama ilivyo kawaida ya A-Level

Huyo ni Waziri wa Elimu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu vyema.... Aliperform vipi elimu zake za sekondari....mwenye rekodi zake atupatie tafadhali

kazi anatakiwa kuifanya anaye ijua na si vinginevyo , kwa mwendo huu wa ku unga unga yaelekea anatumia muda mwingi sana kuelewa hivyo kuchelewesha maamuzi ama kutochukua kabisa.
 
Mkuu vyema.... Aliperform vipi elimu zake za sekondari....mwenye rekodi zake atupatie tafadhali

Mulugo kuna habari kuwa alipomaliza Mbeya Day alikwenda kusoma Meta Secondary A level ambako alipata Division 0.
Huko Songea Boys hajasoma ila ametumia cheti cha aliyesoma Songea Boys na kukifanyia magumashi.
 
Jamani mwanzoni niliingia kuichunguza CV yake lakini nilipobofya clip ya presentation yake hakika sikuamini kama ni Naibu Waziri wetu wa Elimu. Nilibaki namuangalia yule Mzungu karibu na projector kaweka mkono shavuni naye anashangaa. Mimi nipo tu.
 
Mulugo kuna habari kuwa alipomaliza Mbeya Day alikwenda kusoma Meta Secondary A level ambako alipata Division 0.
Huko Songea Boys hajasoma ila ametumia cheti cha aliyesoma Songea Boys na kukifanyia magumashi.

Chakachua kali kweli..
 
ni makosa ya kibinadamu hasa concentration inapokosekana.nina uhakika hakutaka kumaanisha ZIMBABWE.ingawa hata angesema unguja na zanzibar angekuwa amekosea.hakuwa na focus!!

Kwa vyovyote vile amechapia sana kwani Zanzibar inaundwa na nchi gani? au unamaanisha Zanzibar = Pemba + Zanzibar au Pemba + Unguja?. Je, Zanzibar + Pemba ndio inaunda Zanzibar au ni Unguja + Pemba = Zanzibar? na Tanzania inatokana na Pemba au Zanzibar + Tanganyika? Kwani kuna Nchi ya "Hindian Island inaitwa Pemba?" Na hiyo ya "One Ninteen Sixty Four" nayo vipi?
 
Aise mlio soma box 2 wakati huo tusaidieni kama kweli alipita luhira, mie niliwahi kuondoka 1992. Hata hivyo inaonekana primary alisoma miaka 8 badala ya 7. Yaani nilishamsikia mara mbili hivi nili doubt sana kuhusu uelewa wake, hakustahili hata ujumbe wa kijiji.
 
Aise mlio soma box 2 wakati huo tusaidieni kama kweli alipita luhira, mie niliwahi kuondoka 1992. Hata hivyo inaonekana primary alisoma miaka 8 badala ya 7. Yaani nilishamsikia mara mbili hivi nili doubt sana kuhusu uelewa wake, hakustahili hata ujumbe wa kijiji.

Inasadikika alisoma Box 2 kidato cha 5 na 6 na aliwahi kugombea uwenyekiti wa Shule akiwa kidato cha tano na aligalagazwa na huyu Bw. anaitwa Mgenga kutokana na kushadadia ukabila (malila) na kutrojua kujieleza.

DSC_0225.JPG


Bw. Omar Mjenga (kushoto), Mwakilishi Mkaazi wa Ofisi ya Umoja wa Kimataifa inayosimamia miradi nchini Sierra-Leone (UNOPS) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Radhia Msuya (wa pili kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini na maafisa wa Ubalozini, Bi. Naseem Ibrahim (wa pili kulia) na Bw. Robert Kahendaguza (kulia).
 
Back
Top Bottom