Imenibidi...

Sick Psychopath, most likely a woman [pathetic woman] or bisexual man with all sorts of child abuse trying to stir some havoc simply to get attention... probably gay altogether!!

Sadly, JF is not a place for you and i would pray that you receive at least 6 months ban because this is not a time wasting forum... we have all the quality people around that we learn from them everyday!!!

kama umetumwa, kamwambie aliyekutuma... umemaliza kazi yake, na kama ni drama queen, basi nenda ukatafute wapuuzi wenzako mtekenyane, mkimaliza mpeane pumba mlate

&&^&)))$@#@@****&^

Shwain mkubwa.....


Pond boy......please handle with care........utashushiwa fungi za kule DOCEBIT VOS OMNIA mzee......! Punguza mzuka pond!........!!
 
Kwa sababu ni demu akeleta basi nongwaaa. Ok kuharibu sasa mimi ni dume na ilikuwa ni chemsha bongo tuu kwa all the topics nilizokuwa naleta humu.


fuc******en hell............Wewe ni kaka powa au nini??Ulikuwa unategemea nini kuleta habari kama hizo alafu wewe ni mtoto wa kiume fikra zako nini hasa??

Haya sasa Julius njoo basi malizia kumsupport huyu jamaa maana toka mwazo naona upo benet kufikisha ujumbe wa kumshawishi.......

Mrs mtaba sio vizuri kitendo ulichofanya!!
 
JF ni kiboko, watu wanenda mpaka archive kuchukua data. Mku Next level... unanikumbusha mbali sana.

Ha!ha!ha!ha!ha!.....utakuwa unakumbukua kule kwa mdhungu (wa kwenu) pidabryusi.....ha!ha!ha!...CPU nyingine noma kaka!

Ila one thing: it is now 10:30pm east africa time.....something is wrong somewhere. check pm yako.

Mkuu mabox ya kibongo ndo yanatukesesha mpk now ....nothing wrong....! c ma PM!
 
Natufuta ile thread uliyoanzisha....kuomba ushauri wa kumegwa nje....huko Scandnavia.....nione tuliconclude vipi.......!

Ukiipata ilete hapa. Mkuu upo ndani ya jamvi usiku huu?


Wakulu nadhani mambo yalianzia https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/30511-i-seems-to-be-boring.html

I seems to be boring Mrs Mtaba
user_offline.gif
3rd June 2009, 08:53 PM

Hello my dears Wana JF,
Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi nadhani nimkimya sana inaweza kupita masaa manne hatujaongea kitu, na sipendi kuongea pumba nikaonekana wa kuja. Msaada tafadhalini wandugu
 
Haya sasa Julius njoo basi malizia kumsupport huyu jamaa maana toka mwazo naona upo benet kufikisha ujumbe wa kumshawishi.......

Be easy...okay? Huu ni mtandao ndugu. Yeyote yule anaweza aka pose kama chochote kile. Tatizo ni nyinyi wenyewe kubweteka na kuchukulia kila kitu kisemwacho au kiandikwacho kuwa kama gospel truth.

Inawezekana pengine kweli alicholeta hapa kimemsibu na sasa kaamua (kwa sababu azijuazo mwenyewe) kubadilisha na kudai kila kitu ni cha kutunga.

Tumieni akili zenu. Humu hatuonani na hatujuani. Unaweza ukawa unajibishana hata na mzazi wako. Kwa hiyo basi, tumieni werevu na busara zenu katika jinsi mnavyochukulia kila kitu mkisomacho humu.
 
Wanajamii za leo jamani,

Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.

Mrs Mtaba (hivi unajua maana ya kusamehe?), kama mumeo alikuomba umsamehe na wewe ukamtamkia kwamba umemsamehe, halafu kumbe ukatafuta njemba wako ili nawe uvinjari naye kwa maoni yangu umefanya kosa kubwa sana. Unapomtamkia mtu kwamba nimekusamehe kwa makosa yako basi hali inabidi iwe shwari na maovu aliyokutendea pamoja na kuwa huwezi kuyasahau lakini unayasamehe. Unachofanya wewe ni kama kulipiza kisasi kwa sababu yeye kamega nje na wewe umegwe nje. Mhhhh! Hizi ndoa siku hizi zinatisha mno! Mama zetu miaka ile walikuwa hawana haya mambo ya kulipiza kisasi cha kutembea nje kila mara inapotokea wamewafahamu waume zao wamefanya hivyo lakini siku hizi ndiyo mtindo. Kazi kweli kweli!
 
Be easy...okay? Huu ni mtandao ndugu. Yeyote yule anaweza aka pose kama chochote kile. Tatizo ni nyinyi wenyewe kubweteka na kuchukulia kila kitu kisemwacho au kiandikwacho kuwa kama gospel truth.

Inawezekana pengine kweli alicholeta hapa kimemsibu na sasa kaamua (kwa sababu azijuazo mwenyewe) kubadilisha na kudai kila kitu ni cha kutunga.

Tumieni akili zenu. Humu hatuonani na hatujuani. Unaweza ukawa unajibishana hata na mzazi wako. Kwa hiyo basi, tumieni werevu na busara zenu katika jinsi mnavyochukulia kila kitu mkisomacho humu.

Akili zinatumika mkuu. Sema, binafsi, kuna muda huwa nafikilia kuna watu huwa wanatoa thread za maana na za kweli na humuhumu kuna watu wanashauri vizuri na ukiufanyia kazi ushauri unafanikisha.
All in all mkuu, nimekuelewe na kuanzia sasa nitakuwa makini maana kumbe humu mtu anajianzishia tu thread hata kama ni ya uongo 100%.
 
Akili zinatumika mkuu. Sema, binafsi, kuna muda huwa nafikilia kuna watu huwa wanatoa thread za maana na za kweli na humuhumu kuna watu wanashauri vizuri na ukiufanyia kazi ushauri unafanikisha.
All in all mkuu, nimekuelewe na kuanzia sasa nitakuwa makini maana kumbe humu mtu anajianzishia tu thread hata kama ni ya uongo 100%.

Humu ndani wengi wetu ni maghost tu...
 
Mwanamke yeyote aneyetumia neno "kumegwa" akimaanisha
making love...
Ana matatizo ya maadili......
It is fair kumchukulia kuwa ni just another slut.
Mwanamke unatakiwa kuwa na class mpaka kwenye uchaguzi wa maneno.
 
...akishakusanya evidence zake, nawe ujiandae kumuomba msamaha. Akikusamehe "lakini" pia akihakikisha anapata replacement yako kubalance, usijelalamika!

Kumbuka, hakuna msamaha wenye u-lakini...! either unaukubali au unaukataa tu,...usijiweke mtu kati.

Mkuu Mbu, umesema point kubwa sana. Mimi ningemuunga mkono Mrs Mtaba na uamuzi wake wa kutafuta njemba wa nje kama angekuwa hajaamua kumsamehe Mumewe. Kwa maoni yangu neno "Nimekusamehe" lina uzito mkubwa sana kumtamkia mtu aliyekuomba samahani kwa makosa yake. Sasa unapomtamkia nimekusamehe halafu ukaenda kufanya mambo ili kutoa ngoma draw hili mimi naliona lina walakini mkubwa. Labda neno "nimekusamehe" limeshapoteza uzito wake katika jamii yetu. Mtu anakwambia nimekusamehe lakini bado ana kinyongo na anaamua kwenda kulipiza kisasi. Naam usijiweke mtu kati kwenye kukataa samahani hauko kwenye kukubali samahani hauko.
 
Du! wewe ni mrs kweli au unatuzingua? ma-mrs huwa hawasemagi kuwa wana maBF hata kama wanao maana ni aibu kubwa
 
Pond boy......please handle with care........utashushiwa fungi za kule DOCEBIT VOS OMNIA mzee......! Punguza mzuka pond!........!!

Sorry pond boy!!! nilikuwa nimechukia sana kwasababu ya ndugu yetu yule, unajua hata kama sisi humu ni vivuli tu, kuja jamii tunaiwakilisha na one of the forums iliyo honest ni hihi... tusipoangalia tutakuja kufikia ya kule kwenye dini, kila mmoja akisema hivi basi kundi jingine vile hata kama ni nini!!!

Sorry mazee, hao fangasi siwaogopi kabisaaa, nimeogea maji pond vya kutosha; labda alete upupu ndio ntaogopa

DECEBIT VOS OMNIA!!!
 
...hii ngoja nim printie mamsapu wangu, kila akitaka kwenda saloon namtolea hii... :D

Ha ha ha haaaaaa Kwa maneno mengine asiende Saloon...LOL! Haya na uwe tayari kumtengeneza nywele zake na pia kumfanyia manicure na pedicure ;) au Wataalamu wa mambo hayo uwalete nyumbani wamshughulikie shemeji yetu ili asiende kule kulikojaa ufuska....LOL!
 
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida.
Wewe ni mwanamke mwanaume? Mbona unachanganya habari?
Pili hizo ups and downs unazozisema kwenye ndoa sio za kawaida kwa kila familia this is the blank statement and typical generalisition. Hizo umezitaka mwenyewe kutokana na utoto na ujinga uliokujaa kwa sababu wewe baada ya kugundua mumeo anamega uko nje na wewe kwa ujanja ujinga ukatafuta mwanaume mwingine. Sasa hapa ndio nashindwa kujua ulifanya hivyo kumkomoa mumeo au kujikomoa mwenyewe? This nonsense typical nonsense, huna tofauti na.........................!!!! Nyie ndio mnatufanya sisi na wengine tuchukie ndoa kwani mnatufanya tuamini kuwa ndoa ina mashimo na mabonde mengi something which is not au kwa sababu mna wake na waume ambao sio wenu?
 
MRS MTABA,
naomba nikutahadharishe pia usije ukawa unaapply directly solutions zinazotolewa na wanawake humu jamvini!watch out.most of them sio wanawake.hata kama ni wanawake wamepinda sana
Striker hapa umenena yampasayo mwanamume kama wewe kunena. Big up. Wengine Avatar zao tu za kike na majina ila Wanaume typical. Hujaona wengine uko wamemwambia Mrs Mtaba awaPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom