Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 249
- 469
Google translate kawa mkombozi kwa wanaoijua na kuitumia utanikuta naandika kifaransa balaa kumbe wala sikijui au mtu anaandika kiingereza kumbe wala hakiju anaandika text kiswahili anatranslate halafu anaonekana msomi kumbe hajui kitu hahahahaha
Kama unatumra google tafsiri jichekeshe hahaha:
Kama unatumra google tafsiri jichekeshe hahaha: