Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,761
Ni shidaaaaa,🤣🤣Mada za sikuhizi bhana
Ni shidaaaaa,🤣🤣Mada za sikuhizi bhana
Wakati tunahonga wanawake walikua na mwanaume huyo huyo mmojaNawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.[emoji24][emoji24][emoji24] Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna.
Wanaume Tafuteni hela jamani
Sasa nnani after sex wanapewaga hela,kama sio wanaojiuza😄Unafikiili mm malaya
Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.
Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa
Nikikosa comment yako kwenye Hz mambo hua naangalia bando kama bado lipoTafuta zako za kuhongwa ziwe za ziada shosti, ukizoea kuhongwa utaombwa mpk visivyoombeka!!! Si unajua km wanaume ni mbwa?! Utapigwa dog hata usiku wa manane na huna cha kumfanya 🤣🤣🤣
Nawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.[emoji24][emoji24][emoji24] Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna.
Wanaume Tafuteni hela jamani
Thread closed! 😀Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.
Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
Ni kwa sababu tunajua tupo wengi hivyo tunachangia kidogo kidogo kama sadaka kwa MwamposaNawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.[emoji24][emoji24][emoji24] Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna.
Wanaume Tafuteni hela jamani
Hakuna Cha hadhi hapa.Acha kuulizia bei ya vitu ambavyo sio hadhi yako nyau wewe.
Wewe kubali kuwa ni chuma chakavu,umekuwa used toka enzi za JK unafikiri thamani yako iko vile vile? Kubali matokeo bimkubwaNawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.[emoji24][emoji24][emoji24] Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna.
Wanaume Tafuteni hela jamani
Utasema watu wamevuta bangi 😀😀Ni shidaaaaa,🤣🤣
Hakuna Cha hadhi hapa.
Siku zote tunaambiwa ASK THE PRICE.
Wanaojiposition kwenye hadhi Fulani ndio huwa wanakuwaga WABOVU kupindukia.
Sema BEI Yako watu watajua watafanyaje kufikia Bei hio usilete mbwembwe wakati una BODABODA WAKO!!!
Kei yako ishachoka imeota sugu, staafu hiyo tabia ya kujiuza, viachie vibinti vidogo maana ushaishiwa utamu na umezeeka.Nawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.[emoji24][emoji24][emoji24] Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna.
Wanaume Tafuteni hela jamani
Heshimu Mmea TafadhaliUtasema watu wamevuta bangi 😀😀