Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Yaani wanawake wengine wanatia aibu wanalazimisha kupewa pesa na wanaume utasema waliwapa wawatunzie bladfakeni
Si wawe straight waseme nauza dau langu kiasi kadhaa wanaume wawaelewe
Unataka utoe uchi bure
 
Nawapenda tena nawapenda sana.

Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!

Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!

Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.
emoji24.png
emoji24.png
emoji24.png
Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna,

Wanaume Tafuteni hela jamani
Mkuu umekuja na ID mpya afu unasauti lain

Ningebahatika kukutoa bikra ningekurahi sana.
Mtoa baby wako uliyenaye Mali hii hauiwezu
Imechaha au?
 
Nawapenda tena nawapenda sana.

Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!

Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!

Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede. Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna.

Wanaume Tafuteni hela jamani
Mnatudownload sana halafu migodi wanachimba wengine tumekalamuka, (janjaruka) hahaa, now download failed network error kumbe mb zimeisha, (no money)
 
Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.

Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
Alafu huyu shost ako ako na ndevu bila shaka😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom