Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,593
- 15,752
Hapo sasaPesa zenyewe za kuhonga wanazo sasa? 🤣🤣🤣
Wadada tutafute hela...hizi za kuhongwa zina manyanyaso kinyama
Hapo sasaPesa zenyewe za kuhonga wanazo sasa? 🤣🤣🤣
Tukizipata tunaenda kununua...Wanaume Tafuteni hela jamani
Mwanaume mpk akuhonge aone umekidhi vigezo vya kuhongwa. Yeye ajiulize tbs wamemkagua km anahongeka?!Kuna nn tena my sis....mwanaume gani tena hahongi huko....ila wanaume wanataka sababu ya kuhonga hawahongi hovyo tu
Mpe sababu ya kukuhonga onhooo
Lamomy njoo utoe semina elekezi huku
unauza beigani mremboUkiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.
Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
Nakazia 📌Hilo swali unge muuliza anaye kugegeda
Kabisa jirani!! Nowadays hakuna mwanaume anahonga mwanamke asiye na pesa.Uzuri ni kwamba hela zinaenda kwa wenye hela.. wewe kama huna zako endelea kupambana na hali yako😃😃😃
Hawajui tu wadada, pesa za mwanaume za kitumwa bffHapo sasa
Wadada tutafute hela...hizi za kuhongwa zina manyanyaso kinyama
Ndo hivyo jirani🤣🤣,, unakuta analalamika haongwi halafu account yake haina hata 1m... anahongwa nini mtu kama huyo,, si ashukuru hata hiyo 50k aliyolipwa😃😂😂😂😂🙌Kabisa jirani!! Nowadays hakuna mwanaume anahonga mwanamke asiye na pesa.
Kifuatacho ukipewa ni kuombwa kwa mama kibonge kwa mbele kule 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Tutafute pesa jirani.Ndo hivyo jirani🤣🤣,, unakuta analalamika haongwi halafu account yake haina hata 1m... anahongwa nini mtu kama huyo,, si ashukuru hata hiyo 50k aliyolipwa😃😂😂😂😂🙌
Punga wew unaambiwa ukweli umedoda mixer kuchina , mjaa laana wewUmedoda mwenyewe unikome sikujui haunijui.
unauza beigani mrembo
Mbunye kitu Cha kawaida sana kimboka tunanunua hatuhongiNawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna,
Wanaume Tafuteni hela jamani
Kwakweli tunatakiwa kupambana kwelikweli huko nje jua ni kali sana aisee 😂🤣🤣🤣🤣 Tutafute pesa jirani.
Sana yaaniHawajui tu wadada, pesa za mwanaume za kitumwa bff
Ukiwa na pesa inapunguza hata papuchi kukutana na vitu visivyo size yake 🤣🤣🤣Sana yaani
Kuna Ile raha unaipata ukishika pesa yako uliyoitafuta kwa uchungu
Sasa 50k ni kitu ya kuhongwa kweli
Mbona anatutia aibu huyu
Yani anatudhalilisha sio siri 🤭🤭😂Sana yaani
Kuna Ile raha unaipata ukishika pesa yako uliyoitafuta kwa uchungu
Sasa 50k ni kitu ya kuhongwa kweli
Mbona anatutia aibu huyu