Likei lake limetumika na dudu 200 hadi limekuwa handaki, mikei ya namna hiyo hata bure siichakati.haibani tena😅
Likei lake limetumika na dudu 200 hadi limekuwa handaki, mikei ya namna hiyo hata bure siichakati.haibani tena😅
HahaJaman aliyeanzisha uzi anasema leo amekoma sio kwa kumponda huko kama mnaua chatu[emoji51]
Watakua wameshtuka wanapigwaa🤓!
Anauza pande zoteWe si unauza huwezi jua...
Akijibu unitag [emoji23][emoji23]Mie kabla sijajibu chochote MZURI SANA ulivyosema kwa bibi kunauma unatoaga wapi?? Hilo ukinijibu nitakujibu hili. Nataka kufahamu vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajatokea kujibu tuhuma mpk leo nitamcheck baadae km yupo active [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Peponi malaika watanifurusha mana nitakua na umbea mwingi wa kuwauliza [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ni mwanaume sio mwanamke walahi kwasababu gani huwezi sema hivyoo kama wewe ni mwanamke anatudhalilisha kiasi kikubwa ndio watu wanapenda pesa . Ila post zake zinakera sana walahi yaani mtu anatoa post za mawazo kwanini.Akijibu unitag [emoji23][emoji23]
Miss you shougaree!😘[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dau tu ndio tuna bargainPesa zenyewe za kuhonga wanazo sasa? 🤣🤣🤣
Niliwaza hivyo...Huyu ni mwanaume sio mwanamke walahi kwasababu gani huwezi sema hivyoo kama wewe ni mwanamke anatudhalilisha kiasi kikubwa ndio watu wanapenda pesa . Ila post zake zinakera sana walahi yaani mtu anatoa post za mawazo kwanini.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.
Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .

Sate sauzandi au afu tatu? 🤣🤣🤣Dau tu ndio tuna bargain
Hatareeee udugu 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]