Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Kimsingi ni kukosa hela ama kuwa nazo chache ila huyu msichana anastahili ka apartment mahali nitajisikia fahari sana nikimtimizia Hilo fahari sana
She deserve that ni hela TU mtihani
 
TUtakutana tu beach nikufundishe kuogelea😎
🤣🤣🤣 niliachaga kwenda beach muda, nilikuwa na kiboyfrend changu cha kihindi tulikuwa tunakutana huko nakilia vihela vyake anavyochukua kwao, afu namzungusha kumpa bibi 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 niliachaga kwenda beach muda, nilikuwa na kiboyfrend changu cha kihindi tulikuwa tunakutana huko nakilia vihela vyake anavyochukua kwao, afu namzungusha kumpa bibi 🤣🤣🤣
Niko kwenye uzi wa "beach boys na watoto wa kike" mko na waziri wenu mnatatua changamoto
Ila
Hakika mnafaidi huko nyiee🤣

Naomba unipeleke nikajionee na mimi niifanye hiyo kazi hata kwa siku 2 tu
 
Age 35 plus unataka kuhongwa na hawa miaka 20 watahongwa na nani wewe tafuta kibenten ukihonge
 
Niko kwenye uzi wa "beach boys na watoto wa kike" mko na waziri wenu mnatatua changamoto
Ila
Hakika mnafaidi huko nyiee🤣

Naomba unipeleke nikajionee na mimi niifanye hiyo kazi hata kwa siku 2 tu
😂😂😂 beach boyz wangese wale wanakupiga pomboo ndani ya maji huku unajiona ole wako ukatae km hujaachwa uzame
 
Nawapenda tena nawapenda sana.

Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!

Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!

Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede. Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna.

Wanaume Tafuteni hela jamani

unahongwa 50,000 mbona nyingi sana yanini sasa kwa kipi ulichotoa cha maana mpaka nikuhonge pesa za kulipa ada kabisa?

Nakutia ten tu na chakula tulichokula pamoja uende kwenu kwani mi baba yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom