Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.

Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
NAKAZIA 🔨
 
Tafuta zako za kuhongwa ziwe za ziada shosti, ukizoea kuhongwa utaombwa mpk visivyoombeka!!! Si unajua km wanaume ni mbwa?! Utapigwa dog hata usiku wa manane na huna cha kumfanya 🤣🤣🤣
🙌🙌🙌🏃🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom