Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Yaani wanawake wengine wanatia aibu wanalazimisha kupewa pesa na wanaume utasema waliwapa wawatunzie bladfakeni🤣🤣🤣
Si wawe straight waseme nauza dau langu kiasi kadhaa wanaume wawaelewe 🤣🤣🤣
Ila aibu jamani🤭🤭😂... huyu atakua sio mdada jirani tuwe nae makini tu🤣🤣🤣
 
Ukiwa na pesa inapunguza hata papuchi kukutana na vitu visivyo size yake 🤣🤣🤣
Huyo hana tofauti na wa sate sauzandi
😅😅🤣 hv mtu unapokeaje sate au hamsini inatosha nn jamani
Hata sauna tu haitoshi...cheap labour kweli huyu
Hebu atafute hela zake
 
😅😅🤣 hv mtu unapokeaje sate au hamsini inatosha nn jamani
Hata sauna tu haitoshi...cheap labour kweli huyu
Hebu atafute hela zake
Mwenyewe nashangaa vihela mbuzi ndio vikutoe thamani kweli? Kwanza hiyo pesa ya mboga tunamuachia dada home 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom