Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,590
- 15,743
AnaendekezaAnaachaje kupokea na njaa anayo😂😂

duuhNawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna,
Wanaume Tafuteni hela jamani
Muache aendelee kutumika, si hataki kujishughulishaAnaendekeza
shida hamna jipya na wadangaji ni walewale tena wengi walianzia toka sekondari wengi k zimesoma kilometa mingiNawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna,
Wanaume Tafuteni hela jamani
Pole 🤣🤣🤣Ameniudhi....
KulaninaaNawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna,
Wanaume Tafuteni hela jamani
Mkuu umekuja na ID mpya afu unasauti lainNawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna,
Wanaume Tafuteni hela jamani
DuuUkiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.
Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .

Shem mbona makasiriko? 🤣🤣🤣haibani tena😅
sasa kwanini hahongwi,Shem mbona makasiriko? 🤣🤣🤣
Ulimtongoza kakutaa nini pm?
Fanya kazi upate pesa zako za halali.Mapenzi tangu lini yashawahi kuwa matamu mpenzi.
Ndo umuhonge wewe sasa huyo ni mzuri 🤣🤣sasa kwanini hahongwi,
au ni gunzi havutii?
Well said mkuuUkiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.
Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
Naomba ujengewe mnara wa pongezi makao makuu ya nchi dodomaHuu ujinga wa wanawake kutaka kuhongwa ndio umeharibu utamu wa mapenzi...
sihongi malaya😅Ndo umuhonge wewe sasa huyo ni mzuri 🤣🤣
Sema kakupiga kwenye mshono pesa za kuhonga huna 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣We si unauza huwezi jua...
🤣🤣🤣🤣Kwani nani anataka kukujua wewe? Umedoda ndio acha kukasirikia ukweli![]()