Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,359
- 111,651
Hahaha huyo gugo yake itakuwa imembania pua kidizaini...
Last edited by a moderator:
Na haswa ndo wenye shida huo mtazamo wa majukumu ya mtoto wa kiume akiwa na mwenzi wake,tabia hiyo ya kulegeza sauti,utamaduni gani huu???!!Utaratibu wa kulegeza sauti kwa mtoto wa kiume ni wa wapi??!!
Thanx for a lesson though
Tusipogombana hatupendani si ndio watu8 :A S-heart-2:
Na mimi nilitaka kumwambia akagoogle huo utu wa mtu unapimwaje?nadhani kutakuwa na behavourial scale lol!!!Hahah mpwa utu wa mtu ni kutomshauri akagoogle wakati jibu unalo.
Nilikuwa naelezea tu tafauti kati ya jinsi na jinsia.
Kuhusu mada mezani, sina uelewa wowote wa mambo ya sauti!
Na mimi nilitaka kumwambia akagoogle huo utu wa mtu unapimwaje?nadhani kutakuwa na behavourial scale lol!!!
Tusipogombana hatupendani si ndio watu8 :A S-heart-2:
Mhh mnaniangusha!!halafu wewe OLESAIDIMU mchokozi!Heeeeee heeeee yamekwisha kimtindo huo!!!!!!
My dada Heaven on earth twende zetu bhana hawa watatutia lawama bureeeeeeee kimbia fasta tutoweke kitaa hiki
We sikujui babuu! LolKama ni hivyo wacha nami nigombane na wewe. Haya nenda kagugo uje uniambie nini maana ya kugombana na kupendana. Chapchap sana.
Yani wewe siongei tena na wewe, labda itokee tu. Na ikitokea sitakubania sauti. chapchap sana. Mi nakuangalia tu.
Usiniangalie sanaa bana naona na kimsemo cha chapchap sana.....
Na hiyo tafauti hapo pia ni somo au ulikusudia tofauti?????!!!
Heeeeee heeeee yamekwisha kimtindo huo!!!!!!
My dada Heaven on earth twende zetu bhana hawa watatutia lawama bureeeeeeee kimbia fasta tutoweke kitaa hiki
Mwanzoni nilifikiri perhaps ni kwa vijana wadogo (boys) hususani wale tunawaita marioo lakini nimeshtuka pia kukumbana na hii changamoto kwa watu wa rika langu. Hapa nazungumzia change of tone pale mtu anapokua anaongea na jinsia-ke kwenye simu. Nina rafiki yangu hua tunamtania Morgan Freeman kutokana na sauti yake nzito lakini ukimkuta amejificha anaongea na simu utacheka sana kwa jinsi anavyobana pua. Nimejiuliza sana kwanini mtu akiwa na wanaume wenzake anaongea vizuri tu kiume lakini anapokua anaongea na jinsia tofauti anajaribu kubadili tone ya voice yake, is it for impression? Inferiority au kitu gani? Maana mi naamini sauti si kigezo katika kum-impress mwanamke bali ni kua real tu. Sielewi
Ndo kuongea kimahaba huko,Unajua kuna sauti ya kubembelezea ha ha ha!!