Imekaaje Hii Wanaume wenzangu....!!!!

Imekaaje Hii Wanaume wenzangu....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Mwanzoni nilifikiri perhaps ni kwa vijana wadogo (boys) hususani wale tunawaita marioo lakini nimeshtuka pia kukumbana na hii changamoto kwa watu wa rika langu. Hapa nazungumzia change of tone pale mtu anapokua anaongea na jinsia-ke kwenye simu. Nina rafiki yangu hua tunamtania Morgan Freeman kutokana na sauti yake nzito lakini ukimkuta amejificha anaongea na simu utacheka sana kwa jinsi anavyobana pua. Nimejiuliza sana kwanini mtu akiwa na wanaume wenzake anaongea vizuri tu kiume lakini anapokua anaongea na jinsia tofauti anajaribu kubadili tone ya voice yake, is it for impression? Inferiority au kitu gani? Maana mi naamini sauti si kigezo katika kum-impress mwanamke bali ni kua real tu. Sielewi
 
huyo rafiki 'anaba pua akiongea na mpenzi wake'?
au sijakuelewa?
 
huyo rafiki 'anaba pua akiongea na mpenzi wake'?
au sijakuelewa?

Ndio hivo mkuu akiwa anaongea na mwanamke ila tukikaa nae anabonga fresh 2. Its really an insult to the MEN-kind
 
Sasa hapo shida ipo wapi?

Nadhani besti kuna mambo mawili umemix....kuna kubana pua na kuongea kwa taratibu...
 
Ndo kuongea kimahaba huko,Unajua kuna sauti ya kubembelezea ha ha ha!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lakini si ukibembeleza sauti inabadilika bana inakuwa ya kimahaba zaidi ndo kama kubana pua nionavyo mimi!!!

kuongea kimahaba na kubana pua ni vitu viwili tofauti...

unafahamu tabia za sauti?

unafahamu utofauti wa 'pitch' na 'frequency'?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom