Imekaaje Hii Wanaume wenzangu....!!!!

Imekaaje Hii Wanaume wenzangu....!!!!

mimi tayari nafahamu....wewe ndiye usiyefahamu...hakuna mahali nilikueleza kuwa nitafafanua...
Ngoja nikwambie kitu ndugu yangu kama una knowledge ya hio kitu kama unavyoproclaim usingeona shida kufafanua!!So i wonder if you even know what you are talking about?
 
Ningeenda mbali kutaka kujua jinsia ya huyo anayeitwa mpenzi wa kwenye simu

Ni jinsi na siyo jinsia

Jinsia (sex) ni vile viungo vya uzazi; ama vya mwanaume ama mwanamke.

Jinsi (gender) inaelezewa katika mtazamo wa majukumu, tabia, tamaduni na taratibu za mwanaume ama mwanamke katika jamii.
 
Ngoja nikwambie kitu ndugu yangu kama una knowledge ya hio kitu kama unavyoproclaim usingeona shida kufafanua!!So i wonder if you even know what you are talking about?

The thing is am in a middle of something...ndio maana nilikuomba favor ya ku-google.

Mimi ni wa kukufanyia rudeness kweli besti???

Nadhani umeover react...ni mambo mangapi huwa nayafafanua hapa kwa kadiri ya ujuzi na ufahamu wangu?
 
Ni jinsi na siyo jinsia

Jinsia (sex) ni vile viungo vya uzazi; ama vya mwanaume ama mwanamke.

Jinsi (gender) inaelezewa katika mtazamo wa majukumu, tabia, tamaduni na taratibu za mwanaume ama mwanamke katika jamii.

Na haswa ndo wenye shida huo mtazamo wa majukumu ya mtoto wa kiume akiwa na mwenzi wake,tabia hiyo ya kulegeza sauti,utamaduni gani huu???!!Utaratibu wa kulegeza sauti kwa mtoto wa kiume ni wa wapi??!!

Thanx for a lesson though
 
soma vizuri maneno yangu ya mwanzo...I needed her favor in a first place...hapo rudeness ipo wapi?

Haya yamekwisa!!!I think it was a misunderstanding!!!!!!

are U still in the middle of something!!!!ututafsirie mi na mimi49

googling is different sometimes u can miss some explanation/points!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Usijali mpendwa wangu nilikuwa nataka nione UTU wa baadhi ya watu!!Tembea uone!!

Take it easy mwaya.....

me nimemuanderstand watu8 hasa baada ya kutoa ile sababu mwanzo sikumuelewa elewa..........

he is always the kind of person u can always rely when it comes to explanations..........
 
Last edited by a moderator:
Haya yamekwisa!!!I think it was a misunderstanding!!!!!!

are U still in the middle of something!!!!ututafsirie mi na mimi49

googling is different sometimes u can miss some explanation/points!!!!!!

Hayajaisha. nenda kagugo uje uniambie. Chapchap sana.
 
Last edited by a moderator:
Hahah mpwa utu wa mtu ni kutomshauri akagoogle wakati jibu unalo.

Hahaha...mpwa tafwazali utamfanya mimi asiende na mimi kwenye mtoko wetu wa scuba diving
 
Mpwa hakuna tabu...pamoja!!!

mimi49 and watu8 you are not of the type kabisa yaaani please hatufahamiani but kuna watu nawaona kama ndugu zangu humu please not you guys! !!!!!!!!!

Please please
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom