Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Wale wa ICC
Kazi imeshaisha.
Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.
Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.
Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.