Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
Huyo jrani kibokoo yan kapokea kapeleka kwake? tarajia kutunukiwa papuchi hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
71 Reactions
Reply
Back
Top Bottom