Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,723
- 53,751
Ki ukweli nafarijika sana kuona umejawa na busara na hekima hivi kama ladyred,loveissweet, heaven on Earth na wengine wengi humu jf wapo wana busara sana sio huyu mtafuta attention, na kama hatabadirika na kujifunza kwa michango hii basi atapata shida sana.... Hapo itokee akae na mama mkwe mbona atajuta ataipata freshi na ataona uchungu wa ndoa kwa uvivu wake,Siyo siri wanawake wavivu wananikera mpaka basi ,hawajuhi kwamba unapowahudumia watu Wa nyumbani kwako nao wakafurahi unajichotea baraka za nguvu kutoka kwa MUNGU, mwanamke husiyetaka kuhudumia familia yako nani ahudumie,kwani hata Dada Wa kazi ni mwanamke pia ,ujionee wewe huruma yeye husimuonee .
yani mimi inanishangaza sana kwani kuhudumia familia yako ina cost kitu gani hususani watoto mume wako ehh na kuweka nyumba yako perfect hata wewe mwenyewe mwanamke binafsi unajisikia raha inakufariji inakuwaje wengine hili kwao ni karaha na kero....aombe Mungu sana asipate Mwanaume mwenye hasira na ghadhabu kwa tabia hizi kutawaka moto ndani