I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

Kila kitu ukichukulia negative utaishi upande huo wa kushoto maisha yako yote.Kuna wanaume wanajua kujifulia wenyewe.Wanapika wanafanya kila kitu na wake zao wanaishi kwa starehe kwa sababu tuu hao wanawake wana fikra chanya.Sasa kwa kauli zako hizi bora uendelee tuu kuwa house girl.Wanaume wanaona sana na sisi tunasikia sana.Ndo maana wanaume hawapendi wanawake wanaoongea sana kwa sababu wao hawataki kusikia sikia.So wakikuona unahitaji kisaidiwa watakusaidia.Ulichoandika hapa kwa ID fake usithubutu kumwambia mpendwa wako live hata kama uliwahi mwambia mfuate umwambie ni utani.
 
Haaaaahaaaaa.... Haswaa haaahaaaa ... I remember she told me nitaolewa na msukuma mkokoteni since I do too much house work haahaaaa .. Nikammjibu sawa as long as true love iko .. Haahaaaa that's why I'm still shock alivyoolewa na Army guy haki God is awesome God .. Thanks ..
Ohh jmn hivi unawezaje kumtabiria mwenzio namna hioo,, eti msukuma mkokoteni chaa..Mungu atakuinua
 
Ila kazi za nyumbani zinachosha ingawa tunazifanya lakini dah zinachosha sana. Wanaume muwe mnatusaidiaga muda mwingine.
 
ingekuwa vizuri kama unafanyaga hizi kazi...lakini kama umezoea toka utoto we ni kidume cha kiafrika hugusi dekio samahani sana acha kuongelea.

KAZI ZA NYUMBANI ZINACHOSHA.

bora kuzunguka kwenye kiti huku nakodolea macho PC siku nzima kuliko kushinda napiga sarakasi nyumbani.
Ndio asili yenu kupenda kazi rahisirahisi ukilinganisha na mwanamume. Ajira iliyopo ingekuwa ni kujitwika matunda na kutembeza mtaani ungechagua ipi? Msiwe blind wa white collar job, tuangalie mazingira ya kazi nyingine kama kuponda zega na kusukuma mikokoteni. Ungechagua kazi za nyumbani au kuponda zege?? Ungechagua kusukuma mkokoteni au kukaa nyumbani kuosha vyombo na kudeki??

Kwakweli wanawake mmekuwa wavivu sana nyakati hizi za maisha ya tamthilia na maigizo. Haki sawa imekuja baada ya kazi za kuajiriwa kuibuka, zama za kazi za kuponda zege, kuwinda n.k hakukuwa na haki sawa na wala mwanamke hangethubutu kulilia haki sawa maana kazi zilizokuwa zinafanywa na wanaume zilikuwa too risky.
 
Ohh jmn hivi unawezaje kumtabiria mwenzio namna hioo,, eti msukuma mkokoteni chaa..Mungu atakuinua
Yaani we acha tuu my dear.. Haaahaaaa mpaka nacheka , it's funny .. The way God works is not the same as humans .. Kibao kimemmgeukia yeye, now who is taking care some of her kids , Yule aliyemtabiria ataolewa na msukuma mkokoteni . Haahaaaa , haki Mungu nimemuona in my life .. . The funniest thing she can't face me to ask for help so she use our other relative to tell me . And I don't ask her why she does that , I just do what needs to be done .. That's why I have said never say never .. Hatujafa na hatujaumbika .. Thanks.
 
Dadangu habari ya miaka? umenisusa kabisa PM jamani?

Ouch! Pole . No I didn't Susa you my dear.... Nzuri I hope you are okay ... I have so many PMs I didn't open or answer them .. Sorry ooh dear... Will try to check yours since you reminded me ...hahaaaaa hadi Aibu.. Haahaaa... Thanks..
 
warry not, nilijua uko bize koz kitambo uliniaga unaondoka hapa TZ
 
Kudos to all housewives.

hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?

nimepima weeee pamegoma kabisa.

kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress aliyokuacha nayo asubuhi.

na siamini kuwa kazi za nyumbani ni kazi ya mwanamke, SAMAHANI SAANA.
sipendiiii hizi pilika.

Nitakubali kukaa nyumbani kulea.. sio kufanya kazi. na sio permanently.

mwanamke kazi kwa mume dyu dyu tuu!
Kweli watu tumetofautiana,Mimi ni mwajiriwa na nina furahia sana kutimiza majukumu yangu kama mama,mke na mlezi,ninajivunia kuwa mwanamke Wa kiafrika nikifuata taratibu na tamaduni zilizotukuza,hili suala LA kufanya kazi majumbani inategemea sana na makuzi tuliyokulia.Ninafurahi zaidi napoona naweza kupanga ratiba ya kuwa karibu na MUNGU,familia yangu na jamii inayonizunguka kwa ujumla ,ukishajua nafasi yako kama mke na mlezi na kuwa na ratiba yako hutateteleka hata kidogo ni suala LA kujipanga, nahakikiasha napata muda Wa kuhudumia familia kwa mfano suala LA ufuaji kwangu ni kila siku naona tabu na ninajisikia vibaya sana kurundika Nguo chafu nafua mwenyewe labda itokee naumwa au nimesafiri ndio nitasaidiwa.UVIVU ni dhambi.
 
Inabidi tuwe mfano bora hata kwa watoto wetu chukulia mfano una mtoto Wa kike ataiga nini kutoka kwa mama kama kipo chake zaidi tunatengeneza kizazi cha watoto wavivu,mlee mtoto kwa malezi ambayo hatakuwa mzigo kwa wengine na atakushukuru siku zote,kwa mtoto Wa kiume atajifunza kitu atakuthamini sana mama na ataheshimu na kuona thamani ya mke pindi atakapooa.
 
Ah wap uvivu ni jadi yako.. kwani hizo kazi unafanya kilasiku.... shame on you [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Kudos to all housewives.

hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?

nimepima weeee pamegoma kabisa.

kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress aliyokuacha nayo asubuhi.

na siamini kuwa kazi za nyumbani ni kazi ya mwanamke, SAMAHANI SAANA.
sipendiiii hizi pilika.

Nitakubali kukaa nyumbani kulea.. sio kufanya kazi. na sio permanently.

mwanamke kazi kwa mume dyu dyu tuu!

Mimi mke wangu poa tu akae nyumbani alee watoto na aangalie nyumba yake. I am busy looking for money and invest heavily and my wife is busy 100% taking care of our lovely children directing them to the proper direction. We are better off with that system as we have given more emphasise on the care of our children to behave well as the parents. So life is a choice.
 
Kweli watu tumetofautiana,Mimi ni mwajiriwa na nina furahia sana kutimiza majukumu yangu kama mama,mke na mlezi,ninajivunia kuwa mwanamke Wa kiafrika nikifuata taratibu na tamaduni zilizotukuza,hili suala LA kufanya kazi majumbani inategemea sana na makuzi tuliyokulia.Ninafurahi zaidi napoona naweza kupanga ratiba ya kuwa karibu na MUNGU,familia yangu na jamii inayonizunguka kwa ujumla ,ukishajua nafasi yako kama mke na mlezi na kuwa na ratiba yako hutateteleka hata kidogo ni suala LA kujipanga, nahakikiasha napata muda Wa kuhudumia familia kwa mfano suala LA ufuaji kwangu ni kila siku naona tabu na ninajisikia vibaya sana kurundika Nguo chafu nafua mwenyewe labda itokee naumwa au nimesafiri ndio nitasaidiwa.UVIVU ni dhambi.
The Secretary

nimependa hiyo pia mchango wako hapo ulio tukuka, kuona umetambua mapungufu ya huyu mwenzetu sijuwi anatafuta kick au ndo kutuonyesha namna gani yeye amejeuka kidume akidhani anamkomesha mwandani wake akisahau ni mpaka mtoto/watoto wake na kuyumba kwa familia,

Mwanamke mwenye akili timamu, busara na hekima hatashindana na mwanaume au na familia, naona hana experience ya maisha ya ndoa bado anakaa kwa wazazi huyu bado hajaanza maisha ya kujitegemea na kuishi na mwandani naona ana bashiri maisha ya ndoa,
 
Kuna sehemu nmesoma ulibaki na baba home ukaishia zako hostel,jiulize ndo mke wa mtu na watoto na kazi ya ofisi unayo tena very demanding, dada wa kazi kakutoroka,utawaacha ukalale gesti auu??tafakari chukua hatua mdogo wangu,maisha mazuri kila mtu anapenda ila yatupasa kujua kumudu tukiwa na ya shida pia,ts part of life

Comment hiyo ilinishangaza na naona humu mnaumiza vichwa tu. Alikosa mapenzi na huruma kwa babake akamuacha nyumbani mwenyewe bila kujali nani atamhudumia mzee. Sigh....
 
The Secretary

nimependa hiyo pia mchango wako hapo ulio tukuka, kuona umetambua mapungufu ya huyu mwenzetu sijuwi anatafuta kick au ndo kutuonyesha namna gani yeye amejeuka kidume akidhani anamkomesha mwandani wake akisahau ni mpaka mtoto/watoto wake na kuyumba kwa familia,

Mwanamke mwenye akili timamu, busara na hekima hatashindana na mwanaume au na familia, naona hana experience ya maisha ya ndoa bado anakaa kwa wazazi huyu bado hajaanza maisha ya kujitegemea na kuishi na mwandani naona ana bashiri maisha ya ndoa,
Siyo siri wanawake wavivu wananikera mpaka basi ,hawajuhi kwamba unapowahudumia watu Wa nyumbani kwako nao wakafurahi unajichotea baraka za nguvu kutoka kwa MUNGU, mwanamke husiyetaka kuhudumia familia yako nani ahudumie,kwani hata Dada Wa kazi ni mwanamke pia ,ujionee wewe huruma yeye husimuonee .
 
Back
Top Bottom