I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

kalipe mahal katafute chakula cha kila siku kodi nguo utegemez wa family yake na yenu alaf uje uandike huu utumbo wako tena
sitaki kulipiwa mahari.

And you're talking about the housewife I don't want to be.

Mwanamke kaziiii! Utegemezi ndo mwanzo wa utemi usiokuwa na kichwa wala miguu
 
Kama sio kazi za mwanamke mbona mnaishia kutafuta ma housegirl baadala ya houseboy???? Kuwa mkweli wa nafsi yako, ww waweza kumtafuta houseboy akulelee mtoto wako mchanga???. Hebu tujitahidi ku acknowledge asili zetu.
Kimsingi kazi za nyumbani zinaweza kufanywa na mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke, Lakini asili ya mgawanyo wa majukumu kwa kuzingatia maumbile toka enzi na enzi ilimpangia mwanamke kazi za nyumbani. Kuna sababu nyingi kwanini mwanamke; Kwanza wanawake hawakuwa subjected kwenye mazingira magumu yanayoweza kuwapelekea umauti; Mfano: hawakupelekwa vitani hiyo ni kazi ya wanaume.
wanawake hawakupewa kazi ya kuwinda bali walipewa kazi ya kukusanya matunda na kulea watoto ambayo kimsingi ilikuwa inawaweka karibu na mazingira ya nyumbani.
Baba majukumu yake aliyopangiwa na jamii hayakumpa nafasi ya kukaa nyumbani muda mrefu, kwasababu hiyo ilikuwa ni ngumu kwake kutekeleza majukumu hayo. Aidha, kazi zote zenye high risk of injury zilikuwa ni za wanaume. Pamoja na yote hayo wanaume ni wema sana kwasababu hufanya kazi zote za nyumbani mke akiwa anaumwa!!
Enzi zimebadilika. Acha kuongelea mambo ya kuwinda!

Ni kazi za wote wanaoishi hapo, me and ke.

Unajua zamani wanawake walifanya kazi za nyumbani maana walikua ma goal keepers.... Walikua hawajishughulishi na kazi za nje za kutafuta kipato, hawakusoma sana zaidi ya kufuta ujinga hadi class 7 kwa waliojaaliwa kwenda shule. Hawakufanya kazi za kuajiriwa... Hawakuwa busy kuingiza kipato katika familia. So kwavile walikaa tu home ilipelekea wao kuwa ndio wanaofanya home chores....

ZAMA ZIMEBADILIKA!

Now wanawake wanafanya kazi, za kuajiriwa na kujiajiri. Wapo busy wanasaka noti kama wanaume tu na wengine zaidi ya waume zao. That make both of then EVEN, right? So wote wanachoka na wote wanatoka asubuhi na kurudi jioni from work...... Wote wanawajibika na shughuli za nyumbani.

Now the only difference is mume anatia mimba na mke anazaa. Thats all.....
 
Kweli kabisa.

Pia ni fahari ya mwanaume kumpikia mwanamke ampendaye ili we na mood ya mgegedo.
Hahahaha.......kumbe kupikiwa pia inawapa mood ya mgegedo sio? najua kusonga ugali tu itakuwaje sasa.
 
Kila kitu ukichukulia negative utaishi upande huo wa kushoto maisha yako yote.Kuna wanaume wanajua kujifulia wenyewe.Wanapika wanafanya kila kitu na wake zao wanaishi kwa starehe kwa sababu tuu hao wanawake wana fikra chanya.Sasa kwa kauli zako hizi bora uendelee tuu kuwa house girl.Wanaume wanaona sana na sisi tunasikia sana.Ndo maana wanaume hawapendi wanawake wanaoongea sana kwa sababu wao hawataki kusikia sikia.So wakikuona unahitaji kisaidiwa watakusaidia.Ulichoandika hapa kwa ID fake usithubutu kumwambia mpendwa wako live hata kama uliwahi mwambia mfuate umwambie ni utani.
Last time I checked I'm a very quiet person.

Na tusitishiane. Nataka mwanaume rafiki, niongee yote ya moyoni. Hawa wanaotaka kuinamiwa, kila muda wanahisi uanaume wao unakuwa challenged sitawaki.

NAMPENDAJEEE BESTI YANGUUU. Tunaenda sambamba. Plus he always laughs when I talk about these things so I don't know what you're talking about.
 
Ndio asili yenu kupenda kazi rahisirahisi ukilinganisha na mwanamume. Ajira iliyopo ingekuwa ni kujitwika matunda na kutembeza mtaani ungechagua ipi? Msiwe blind wa white collar job, tuangalie mazingira ya kazi nyingine kama kuponda zega na kusukuma mikokoteni. Ungechagua kazi za nyumbani au kuponda zege?? Ungechagua kusukuma mkokoteni au kukaa nyumbani kuosha vyombo na kudeki??

Kwakweli wanawake mmekuwa wavivu sana nyakati hizi za maisha ya tamthilia na maigizo. Haki sawa imekuja baada ya kazi za kuajiriwa kuibuka, zama za kazi za kuponda zege, kuwinda n.k hakukuwa na haki sawa na wala mwanamke hangethubutu kulilia haki sawa maana kazi zilizokuwa zinafanywa na wanaume zilikuwa too risky.
maisha magumu sio sofa bro. of course nimechagua kazi rahisi ya kuzunguka kwenye kiti asubuhi hadi jioni kuliko kushinda nyumbani.

Na nyie hamjioni mlivyo wavivu mnataka mkae tuuuu. Ebo!
 
Kweli watu tumetofautiana,Mimi ni mwajiriwa na nina furahia sana kutimiza majukumu yangu kama mama,mke na mlezi,ninajivunia kuwa mwanamke Wa kiafrika nikifuata taratibu na tamaduni zilizotukuza,hili suala LA kufanya kazi majumbani inategemea sana na makuzi tuliyokulia.Ninafurahi zaidi napoona naweza kupanga ratiba ya kuwa karibu na MUNGU,familia yangu na jamii inayonizunguka kwa ujumla ,ukishajua nafasi yako kama mke na mlezi na kuwa na ratiba yako hutateteleka hata kidogo ni suala LA kujipanga, nahakikiasha napata muda Wa kuhudumia familia kwa mfano suala LA ufuaji kwangu ni kila siku naona tabu na ninajisikia vibaya sana kurundika Nguo chafu nafua mwenyewe labda itokee naumwa au nimesafiri ndio nitasaidiwa.UVIVU ni dhambi.
dear African mum,

Nimekuzwa kama mtoto wa kike wa kiafrika anavyokuzwa.

Pia nikifanya kazi nyumbani sibweteki. Kwanza The housegirls never seem to keep up with my working proficiency.

Nimekua, nimeacha meeengi niliyofundishwa. Its called independent thinking, something most people don't know about.

Plus ni personality too. Not every lifestyle is for everyone. na mimi Nashangaa kwanini wanaume wasiojua mfagio ulipo hawashangawi!
 
Inabidi tuwe mfano bora hata kwa watoto wetu chukulia mfano una mtoto Wa kike ataiga nini kutoka kwa mama kama kipo chake zaidi tunatengeneza kizazi cha watoto wavivu,mlee mtoto kwa malezi ambayo hatakuwa mzigo kwa wengine na atakushukuru siku zote,kwa mtoto Wa kiume atajifunza kitu atakuthamini sana mama na ataheshimu na kuona thamani ya mke pindi atakapooa.
By the time Mtu anakuwa Mtu mzima anapaswa kujua kujitegemea. Sio housegirl akimkimbia alale njaa. Na sio kukaa kusuburi aoe ndo ale vizuri, aishi pasafi.

Kama nikizaa, watoto wangu nitawafundisha kazi bila kuangalia jinsia.
 
Ah wap uvivu ni jadi yako.. kwani hizo kazi unafanya kilasiku.... shame on you [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Kweli me mvivu...kama wanaume wanaotaka kwenda kazini bila kufanya kazi za nyumbani , eti ni za mwanamke.
 
Mwanamke ni zaidi ya kazi chumbani na dyu dyu.

Mwanamke ni mama na mlezi Wa familia. Mshauri, msaidizi na n.k

Acha kujiendekeza plus uvivuu.
LA sivyo utaishia kuolewa na kuachika.
shikamooo
 
Mimi mke wangu poa tu akae nyumbani alee watoto na aangalie nyumba yake. I am busy looking for money and invest heavily and my wife is busy 100% taking care of our lovely children directing them to the proper direction. We are better off with that system as we have given more emphasise on the care of our children to behave well as the parents. So life is a choice.
Do you make enough money to make your wife a housewife and give her the life she wants?

incase you die, will they survive?
 
Kweli me mvivu...kama wanaume wanaotaka kwenda kazini bila kufanya kazi za nyumbani , eti ni za mwanamke.
Unanifaa wewe... Mimi kupika naweza, kufua, kupiga deki na hata mambo mengine.. lakini kitu kimoja nitahitaji uwe nacho
 
Siyo siri wanawake wavivu wananikera mpaka basi ,hawajuhi kwamba unapowahudumia watu Wa nyumbani kwako nao wakafurahi unajichotea baraka za nguvu kutoka kwa MUNGU, mwanamke husiyetaka kuhudumia familia yako nani ahudumie,kwani hata Dada Wa kazi ni mwanamke pia ,ujionee wewe huruma yeye husimuonee .
hata mijanaume isiyojua kuhudumia watu wake inanikera sana.

mwanamke kapikiwa Mara moja tu maisha yao yote, tena kisa alikuwa anaumwa.

mwanaume hujawahi kumuosha mwanaye hata!

inaleta laana tu wanaume wa hivi
 
,

Mwanamke mwenye akili timamu, busara na hekima hatashindana na mwanaume au na familia, naona hana experience ya maisha ya ndoa bado anakaa kwa wazazi huyu bado hajaanza maisha ya kujitegemea na kuishi na mwandani naona ana bashiri maisha ya ndoa,
you again.

nilishawajibu huko juu.

na ujue sio dunia nzima inaishi unavyojua wewe. kuna watu wanakushangaa...
 
Comment hiyo ilinishangaza na naona humu mnaumiza vichwa tu. Alikosa mapenzi na huruma kwa babake akamuacha nyumbani mwenyewe bila kujali nani atamhudumia mzee. Sigh....
wakibaki wanaume tupu kutwa kula hotelini. makaka zangu na nguvu zao why wasimpikie?
nikiwepo ndo hawana hela ya kula hotelini.
aku.

ukianza kupinga uonevu unaanzia nyumbani ili usiwe mnafiki.

#plus I was busy with exams otherwise ningebaki. ilikuwa kipindi cha mpito tu..
 
Do you make enough money to make your wife a housewife and give her the life she wants?

incase you die, will they survive?
Mawazo ya kijinga haya. Mawazo ya waliokata tamaa. Mawazo ya kudhani utaishi hadi kesho. Kumbuka wewe na mumeo mnaweza kufa siku moja na mkaacha watoto. Watoto utawalea ww huko kaburini au?? Akili ndogo sana kuyafikiria hayo unayoyafikiria.
 
Mawazo ya kijinga haya. Mawazo ya waliokata tamaa. Mawazo ya kudhani utaishi hadi kesho. Kumbuka wewe na mumeo mnaweza kufa siku moja na mkaacha watoto. Watoto utawalea ww huko kaburini au?? Akili ndogo sana kuyafikiria hayo unayoyafikiria.
lol sawa akili kubwazzz

#mburulazz
 
Hahahaha.......kumbe kupikiwa pia inawapa mood ya mgegedo sio? najua kusonga ugali tu itakuwaje sasa.
nitakufundisha usijali.

kwanza kupiga kazi wote raha sana.
 
,

yani mimi inanishangaza sana kwani kuhudumia familia yako ina cost kitu gani hususani watoto mume wako ehh na kuweka nyumba yako perfect hata wewe mwenyewe mwanamke binafsi unajisikia raha inakufariji inakuwaje wengine hili kwao ni karaha na kero....aombe Mungu sana asipate Mwanaume mwenye hasira na ghadhabu kwa tabia hizi kutawaka moto ndani

na mimi nashangaa mwanaume anaona ugumu gani kufanya shughuli hizo wakati ni kwake mwenyewe!!! Yeye kumsukumizia mwanamke tu. nashangaa mshangao mkubwa sana
 
Back
Top Bottom