I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

kiukweli zinachosha halafu haziishi hata ukizifanya masaa 24 bila kupumzika
 
kiukweli zinachosha halafu haziishi hata ukizifanya masaa 24 bila kupumzika
 
K
Nimependa ukomavu wako, keep it up!!!
Kiukweli ni kwamba kazi za nyumbani ni nyingi sana. Kwa mtazamo wangu mimi, wife kuwa nyumbani si maana kwamba afanyekazi zote za nyumbani yeye mwenyewe la isipokuwa kuhakikisha kuwa kazi za nyumabani zinazofanywa na kina dada na kina kaka zinafanyika kwa ufanisi, na yeye kuchukua jukumu zima la kulea watoto kwakuwa na muda mwingi wa kuwafundisha na kuwaelekeza ukiwemo kuwalekeza watoto wa kike jinsi njema ya kuishi na mume kwa wema na heshima hasa kwa bint aliyefikia hatua hiyo kiumri. Kazi za nyumbani ni nzito sana huwa na waona wa dada wanavyochakarika toka waamnke hadi wanaingia kitandani na ndo maana si compromise mshahara na matakwa ya madada, i real take care of them because they take care of my family, to me they are very important people in my family daily life.
 
Wewe na loveissweet ni mtu mmoja??kavile umemjibia haswa alichokisema kuhusu kuolewa na msukuma mkokoteni...correct me if am wrong... Maandish hayadanganyi...
Ni mtu mmoja pasipo shaka .nimegundua mwandiko wao na pia comments zinatoa jina moja .
multiple ids
 
huwa najiulizaga mara nyingi sana kwann dada zetu siku hiz wanaongezeka mtandaon kutafuta waume. Leo ndio nimepata jibu.
Ndio maana wanasema kuoa mwanamke msom nikujitafutia presha tu sio wote ni baadhi.
Mwanaume ni km mtoto najua unachoka unapotoka kazn hebu jitahid hata weekend unafua, unamnyooshea mumeo nguo n.k hii inaongeza upendo sana ila kaz zote ukimuachia housegirl utashare mume.
Hakuna kitu kizur km kula chakula kilichopikwa na mkeo
 
Back
Top Bottom