Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,888
Hewalah mama...kila la kheir.kwa ufupi unasema nitakosa mume na kujawa na stress kisa sipendi kazi za nyumbani?
get real now!!
na wewe unaonekana dunia yako imeishia bongo tu...
Hewalah mama...kila la kheir.kwa ufupi unasema nitakosa mume na kujawa na stress kisa sipendi kazi za nyumbani?
get real now!!
na wewe unaonekana dunia yako imeishia bongo tu...
Uelewa wake wa maisha ni mdogo sanaKuna sehemu nmesoma ulibaki na baba home ukaishia zako hostel,jiulize ndo mke wa mtu na watoto na kazi ya ofisi unayo tena very demanding, dada wa kazi kakutoroka,utawaacha ukalale gesti auu??tafakari chukua hatua mdogo wangu,maisha mazuri kila mtu anapenda ila yatupasa kujua kumudu tukiwa na ya shida pia,ts part of life
Aisehhhhhhh yani wewe ni wa ukweli, yani umegonga point mpaka nikakuwazia ni namna gani MUNGU amekubariki UTASHI , nika imagine SHEMEJI YANGU anavyofurahia kukupata LAKINI ONLY IF uliyoyasema unayafanya na kuyaishi, ki ukweli Mungu akusimamie ni faraja sana kuona mwanamke anaye jitambua kama wewe,ntakupa ZAWADI kwa kweli,ila uyaishi uliyosema....NDOA ni tamu sana ila watu hawajui THAMANI ya ndoa na ndiyo maana waropokaji wa hivi hawakosekani kwa kuwa Ndoa imewashinda kwasababu ya vijimambo kama hivi..Mhhhh shoga yupi huyoo,hawa wa kiafrika??my dear ukikua ukawa mwanamke, I mean MWANAMKE utaelewa kazi za nyumbani ni sehemu ya maisha yako japo usizidiwe weka msaidizi kukusaidia tu Ila lile ni jukumu lako,sawa kazi hupendi,watoto atalea nani?nao dada??omba sana Mungu mdogo wangu,OMBA SANA,binadamu tunapanga ila Mungu nae ana yake, kuwa mwanamke humble jikubali,kazi za home mbona ni kujipanga,unaweza taka maisha flani je can u afford? Can ur partner afford?utu uzima ni kuweza kumudu hali zote za maisha pia,siku dada yupo poa,siku hayupo poa pia maisha yanaendelea
Ndo upatage mume anaishi na nduguze na hataki dada na unafanya kazi sijui posta Hahaha haloo itakucostiiii,..bt usiwe rigid mami manage kuishi maisha ya aina zote
Kumbe uko vizuri.Mhhhh shoga yupi huyoo,hawa wa kiafrika??my dear ukikua ukawa mwanamke, I mean MWANAMKE utaelewa kazi za nyumbani ni sehemu ya maisha yako japo usizidiwe weka msaidizi kukusaidia tu Ila lile ni jukumu lako,sawa kazi hupendi,watoto atalea nani?nao dada??omba sana Mungu mdogo wangu,OMBA SANA,binadamu tunapanga ila Mungu nae ana yake, kuwa mwanamke humble jikubali,kazi za home mbona ni kujipanga,unaweza taka maisha flani je can u afford? Can ur partner afford?utu uzima ni kuweza kumudu hali zote za maisha pia,siku dada yupo poa,siku hayupo poa pia maisha yanaendelea
Ndo upatage mume anaishi na nduguze na hataki dada na unafanya kazi sijui posta Hahaha haloo itakucostiiii,..bt usiwe rigid mami manage kuishi maisha ya aina zote
Unasaidiaga kazi za nyumbani?mimi nakubali kabisa kwa mwanamke anaenda kazini asubuhi
hata kufuta vumbi ni kazi kubwa kwake
uchovu na mafoleni na kadhalika
ninachopinga mimi ni ulazima wa ma housegirl na ma house boy
nyumba ikiwa na watu kidogo hata ulazima wa kuisafisha daily unapungua
so mimi nasema tubadili lifestyle tu
LadyRed upo vizuri yani upo vizuri subiri zawadi mamii kwa heshima, na inaonyesha wazi kabisa wewe ni mwanamke wa aina gani, narudia tena YOUR HUSBAND IS THE LUCKEST MAN IN THE WORLD BUT ONLY IF UNAYAISHI UNAYO YAANDIKA, umekamilika mamii, Wewe ni mwanamke unayejitambua, na ni mwanamke makini.... Kwa mfano tu ni Wanawake wangapi ni WAHESHIMIWA serikalini bado wanatimiza wajibu wao pande zote mbili... serikalini na pia kwenye familia yani shughuli za kifamilia tena bila dharau, bila kujidai wala nyodo sembuse huyu mkaa nyumbani ana piga kelele hapa....Kuna sehemu nmesoma ulibaki na baba home ukaishia zako hostel,jiulize ndo mke wa mtu na watoto na kazi ya ofisi unayo tena very demanding, dada wa kazi kakutoroka,utawaacha ukalale gesti auu??tafakari chukua hatua mdogo wangu,maisha mazuri kila mtu anapenda ila yatupasa kujua kumudu tukiwa na ya shida pia,ts part of life
Haaahaaaa. Thanks..Haina shida mwaya tutaajiri housegirl!au unasemaje? [emoji12]
Mkuu naona unataka kukamata fursa!Mimi ndiyo napenda warembo kama wewe, nitakutafuta. Hint: Nafanana sana na Salim Kikeke
Ameeen,Napokea hizi baraka Mungu anijalie,najitahidi nnapoweza am not perfect, am trying everyday,to be the kind of woman kumanage maisha ya hali tofauti tofautiAisehhhhhhh yani wewe ni wa ukweli, yani umegonga point mpaka nikakuwazia ni namna gani MUNGU amekubariki UTASHI , nika imagine SHEMEJI YANGU anavyofurahia kukupata LAKINI ONLY IF uliyoyasema unayafanya na kuyaishi, ki ukweli Mungu akusimamie ni faraja sana kuona mwanamke anaye jitambua kama wewe,ntakupa ZAWADI kwa kweli,ila uyaishi uliyosema....NDOA ni tamu sana ila watu hawajui THAMANI ya ndoa ndo maana waropokaji na ndoa ni wengi imewashinda kwasababu ya vijimambo kama hivi..
Hahahhaha Jf story ishu hali halisi huko majumbani,hatuvumi lakini tumooKumbe uko vizuri.
Ameeen,ahsantee, huyu baba hopefully anaelewa he's lucky, ila ndo vile huku Jf story nyingi sana,but am learning everdayLadyRed upo vizuri yani upo vizuri subiri zawadi mamii kwa heshima, na inaonyesha wazi kabisa wewe ni mwanamke wa aina gani, narudia tena YOUR HUSBAND IS THE LUCKEST MAN IN THE WORLD BUT ONLY IF UNAYAISHI UNAYO YAANDIKA, umekamilika mamii, Wewe ni mwanamke unayejitambua, na ni mwanamke makini.... Kwa mfano tu ni Wanawake wangapi ni WAHESHIMIWA serikalini bado wanatimiza wajibu wao pande zote mbili... serikalini na pia kwenye familia yani shughuli za kifamilia bila dharau, bila kujidai wala nyodo sembuse huyu mkaa nyumbani ana piga kelele hapa....
Very true dear.. .. Degree and sex are not marriage .. Thanks ..Ameeen,ahsantee, huyu baba hopefully anaelewa he's lucky, ila ndo vile huku Jf story nyingi sana,but am learning everday
Na mdogo wangu housegirl siku akitoka home hapo ataelewa..Afrika hii mama na madigrii kibao unaweka pembeni ukiwa home,
Sasa afu uje useme mchumba hujapata wakat tyr kashaanzisha threadSijaoa, ila kati ya vitu Navyotaka kuja kumshangaza mke wangu ni kumsaidia kazi za nyumbani. Nina taste ya vyakula fulani na Napenda mazingira ya home kwangu yawe ya kiwango fulani,mambo ambayo napenda kumuonyesha wife kwa vitendo!
Huyo wangu kitambo, sema basi tu. Au ngoja Ninyamaze. Nadhani umenielewa! (joke[emoji3] [emoji3] )Sasa afu uje useme mchumba hujapata wakat tyr kashaanzisha thread
Appreciate that, heshima kwa mwanamke mwenye utashi wa aina yakoAmeeen,ahsantee, huyu baba hopefully anaelewa he's lucky, ila ndo vile huku Jf story nyingi sana,but am learning everday
Na mdogo wangu housegirl siku akitoka home hapo ataelewa..Afrika hii mama na madigrii kibao unaweka pembeni ukiwa home,
Toa shaka kwa style hii, you are brave enough na Mungu atakusogeza to your desire.....Ameeen,Napokea hizi baraka Mungu anijalie,najitahidi nnapoweza am not perfect, am trying everyday,to be the kind of woman kumanage maisha ya hali tofauti tofauti
Hivyo vyote pia vinahitaji kusafishwa , haahhaaaa... We can't run away from them, we just have to deal with it.. Hahaaaa,. Microwave needs to be clean .. Haahhaa., Thanks...Wanawake wa siku hizi mna uvivu hadi basi
kufua kuna mashine siku hizi
kupasha moto chakula kuna microwave
kuosha vyombo kuna mashine pia na housegirls..
kupika ni gesi au umeme
kupiga deki hamuinami mnatumia mop
lakini mna complain kuliko mama zenu ambao wao hata kupasha chakula walilazimika
kuwasha moto upya achilia mbali kutwanga mahindi kwa kinu
Aahaaahaaaaa... Thanks..Mwanamke ni zaidi ya kazi chumbani na dyu dyu.
Mwanamke ni mama na mlezi Wa familia. Mshauri, msaidizi na n.k
Acha kujiendekeza plus uvivuu.
LA sivyo utaishia kuolewa na kuachika.