Nimeshapiga marufuku kuweka kibarua popote, Iwe shamba iwe nyumbani. Kibarua anakula zaidi ya nusu ya mradi, kisa ati ni mtu.
Ndo maana Japaani wana robot mpaka ya kike ya kukumalizia shida zako. We mama, endelea kutokuwajibika uone mwisho wake. Profesa kishatuhakikishia soon and very soon umeme utakuwa wa uhakika.
Nkitaka chakula, deepfreezer lipo, Micro ipo. oven ipo, kufua mashine ipo. ku do robot la ke lipo. Mtaningoja saana tu.