I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

Ila niseme kweli, hapa mie naona ni malezi wala siyo Hobby..mie nakumbuka nikiwa shule naishi na kakangu tulikua na dada wa nyumbani lakini kaka alimpeleka kozi ya ufundi, sisi tulipangiwa ratiba pale nyumbani ya kufanya kazi za kupika,kuosha vyombo,kudeki nyumba,kufuta vumbi, kupanga meza kila weekend.

Yeye na mkewe wao walikua kwenye zamu ya pamoja ya kufanya shughuli zote siku yao ikifika, kwahiyo tulipenda kazi na kushindana kupika vizuri, kuandaa meza na kukaribisha watu chakula ili upate zawadi siku kaka akisafiri nje ya nchi.
Yes we can say that hobby but hata kama mume ajue kupika ,kusafisha na kadhalika still atabaki kuwa Mume tuu the father of the house... He will never do all these forever. Kuna ndugu yangu mmoja alivyokuwa lazy ,naye alikuwa akisema kama huu Uzi unavyosema .. Alikuwa akiwaza kuja kuolewa na Rich people ( ili aekewe house maids ) or not to get married at all.. I have never thought if she will ever get married.. Maana she was too picked kwa wachumba na dharau too much dharau, ( because of her beauty, na kujisifia kabisa kwa kusema sisi kwetu ni wazuri. ). Yaani alinikera sana ... Guess what happened? Baada ya kuchezea umri... Chezeya kuolewa hahaaahaa.. Aliishia na Army guy now she does everything in the house.. I still don't believe it till now.. Hahaaahhaaa.. Ukumbuke bidada ilipokuwaga zamu yake ya to do house work ... She used to pay me money for cooked , cleaned, laundry for her turns .. I honestly still don't believe she ended up married an Army guy haahaaa.. I'm like what , acha Mungu aitwe Mungu... Haki.. Hatujafa na wala hatujauumbika.. So huu Uzi reminded me many scenarios and one of them ni huyu my blood relative .. Never say never... Thanks..
 
Yes we can say that hobby but hata kama mume ajue kupika ,kusafisha na kadhalika still atabaki kuwa Mume tuu the father of the house... He will never do all these forever. Kuna ndugu yangu mmoja alivyokuwa lazy ,naye alikuwa akisema kama huu Uzi unavyosema .. Alikuwa akiwaza kuja kuolewa na Rich people ( ili aekewe house maids ) or not to get married at all.. I have never thought if she will ever get married.. Maana she was too picked kwa wachumba na dharau too much dharau, ( because of her beauty, na kujisifia kabisa kwa kusema sisi kwetu ni wazuri. ). Yaani alinikera sana ... Guess what happened? Baada ya kuchezea umri... Chezeya kuolewa hahaaahaa.. Aliishia na Army guy now she does everything in the house.. I still don't believe it till now.. Hahaaahhaaa.. Ukumbuke bidada ilipokuwaga zamu yake ya to do house work ... She used to pay me money for cooked , cleaning ,laundry for her turns .. I honestly still don't believe she ended up married an Army guy haahaaa.. I'm like what , acha Mungu aitwe Mungu... Haki.. Hatujafa na wala hatujauumbika.. So huu Uzi reminded me many scenarios and one of them ni huyu my blood relative .. Never say never... Thanks..
Umesema vema. Tabia mbaya saana kuendekeza uvivu. Maaana huu ni Uvivu live plus matokeo ya malezi nahisi ni haya malezi ya dady na mamii (malezi ya wapi sijuui ila kama ni haya ya kitanzania hayawezii toa product ya aina hii....
 
Kweli kabisa .. Sometimes nikitazama some other people the way they are I'm like thank you Jesus kwa familia uliyonitoa .. Maana mmmhmm acha tuu..hahaa... Thanks..
 
If you are too lazy to be a housewife
Then, you will never be one [emoji41]
 
Kudos to all housewives.

hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?

nimepima weeee pamegoma kabisa.

kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress aliyokuacha nayo asubuhi.

na siamini kuwa kazi za nyumbani ni kazi ya mwanamke, SAMAHANI SAANA.
sipendiiii hizi pilika.

Nitakubali kukaa nyumbani kulea.. sio kufanya kazi. na sio permanently.

mwanamke kazi kwa mume dyu dyu tuu!
[emoji15] mh housegirl una maneno wewe
 
Jamani mimi naishi uarabuni tuna hadi mashine za kukandia unga,washing machine,macrowave,mashine ya vyombo lakini bado kazi za nyumba bado zinachosha na ukitizama ustaarabu wa huku wageni hawakauki na ni aibu kupika chakula kimoja lazma uporomoshe menu au utasemwa na ukimalizs hapo lazma utowe vitu mbali mbali vya kahawa yaani huweki kiuno chini unaenda ukirudi kucheki kama hamna sehemu iloyomwagika kitu au kuchafuka...ni wageni kila siku huku kwetu..
 
Wanawake wa siku hizi mna uvivu hadi basi
kufua kuna mashine siku hizi
kupasha moto chakula kuna microwave
kuosha vyombo kuna mashine pia na housegirls..
kupika ni gesi au umeme
kupiga deki hamuinami mnatumia mop

lakini mna complain kuliko mama zenu ambao wao hata kupasha chakula walilazimika
kuwasha moto upya achilia mbali kutwanga mahindi kwa kinu
Tunakoelekea hata kujamiiana watatafuta machine ifanye kukuridhisha wewe kwa niaba yao.
 
Sijaoa, ila kati ya vitu Navyotaka kuja kumshangaza mke wangu ni kumsaidia kazi za nyumbani. Nina taste ya vyakula fulani na Napenda mazingira ya home kwangu yawe ya kiwango fulani,mambo ambayo napenda kumuonyesha wife kwa vitendo!
Hii pasi uliojitangulizia sio ya kitoto hopefully kama yupo humu utampata coz huwezi kukosa goli pande kama hili.
 
Yes we can say that hobby but hata kama mume ajue kupika ,kusafisha na kadhalika still atabaki kuwa Mume tuu the father of the house... He will never do all these forever. Kuna ndugu yangu mmoja alivyokuwa lazy ,naye alikuwa akisema kama huu Uzi unavyosema .. Alikuwa akiwaza kuja kuolewa na Rich people ( ili aekewe house maids ) or not to get married at all.. I have never thought if she will ever get married.. Maana she was too picked kwa wachumba na dharau too much dharau, ( because of her beauty, na kujisifia kabisa kwa kusema sisi kwetu ni wazuri. ). Yaani alinikera sana ... Guess what happened? Baada ya kuchezea umri... Chezeya kuolewa hahaaahaa.. Aliishia na Army guy now she does everything in the house.. I still don't believe it till now.. Hahaaahhaaa.. Ukumbuke bidada ilipokuwaga zamu yake ya to do house work ... She used to pay me money for cooked , cleaned, laundry for her turns .. I honestly still don't believe she ended up married an Army guy haahaaa.. I'm like what , acha Mungu aitwe Mungu... Haki.. Hatujafa na wala hatujauumbika.. So huu Uzi reminded me many scenarios and one of them ni huyu my blood relative .. Never say never... Thanks..
Yani ndo paleee unapanga weee uolewe na mtt wa bakhresa afu ukamkosaa Hahaha, bora upange kuolewa na wa tandale afu ukampata bakhresa not vice versa
Binadamu tunapanga sanaa,ila Mungu anapanga zaidi,better be a humble person ukainuliwa kuliko mashauz afu ukashushwa
 
Kazi za nyumbani afu unaamka sa mbili?? Lazma zikushinde,amka sa 11 sometimes afu uone km by sa 1 una kazi
 
Ni kweli kazi za nyumban zinachosha hlf haziishi lakini ni fahari kwa mwanamke kumpikia chakula kizuri mume wake ili apate nguvu ya kugegeda.
 
kalipe mahal katafute chakula cha kila siku kodi nguo utegemez wa family yake na yenu alaf uje uandike huu utumbo wako tena
 
Yani ndo paleee unapanga weee uolewe na mtt wa bakhresa afu ukamkosaa Hahaha, bora upange kuolewa na wa tandale afu ukampata bakhresa not vice versa
Binadamu tunapanga sanaa,ila Mungu anapanga zaidi,better be a humble person ukainuliwa kuliko mashauz afu ukashushwa

Haaaaahaaaaa.... Haswaa haaahaaaa ... I remember she told me nitaolewa na msukuma mkokoteni since I do too much house work haahaaaa .. Nikammjibu sawa as long as true love iko .. Haahaaaa that's why I'm still shock alivyoolewa na Army guy haki God is awesome God .. Thanks ..
 
Ofcourse kazi za nyumbani sio kazi za mwanamke. Ni basi tu....
Kama sio kazi za mwanamke mbona mnaishia kutafuta ma housegirl baadala ya houseboy???? Kuwa mkweli wa nafsi yako, ww waweza kumtafuta houseboy akulelee mtoto wako mchanga???. Hebu tujitahidi ku acknowledge asili zetu.
Kimsingi kazi za nyumbani zinaweza kufanywa na mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke, Lakini asili ya mgawanyo wa majukumu kwa kuzingatia maumbile toka enzi na enzi ilimpangia mwanamke kazi za nyumbani. Kuna sababu nyingi kwanini mwanamke; Kwanza wanawake hawakuwa subjected kwenye mazingira magumu yanayoweza kuwapelekea umauti; Mfano: hawakupelekwa vitani hiyo ni kazi ya wanaume.
wanawake hawakupewa kazi ya kuwinda bali walipewa kazi ya kukusanya matunda na kulea watoto ambayo kimsingi ilikuwa inawaweka karibu na mazingira ya nyumbani.
Baba majukumu yake aliyopangiwa na jamii hayakumpa nafasi ya kukaa nyumbani muda mrefu, kwasababu hiyo ilikuwa ni ngumu kwake kutekeleza majukumu hayo. Aidha, kazi zote zenye high risk of injury zilikuwa ni za wanaume. Pamoja na yote hayo wanaume ni wema sana kwasababu hufanya kazi zote za nyumbani mke akiwa anaumwa!!
 
Si mpaka uwe na maisha hayo ya microwave.......

Ila kazi za nyumbani ni kusaidiana. Na zaidi kama mmejaaliwa kipato ni vyema mkaajiri mtu msiwe wachoyo kiasi hicho. Maisha kugawana jamani..... Hire maids to help with home chores while you chase paper in real world. Mambo ya housewife yamepitwa na wakati long time kitambo.
Huyo maid yy anafanya kazi za ndani au za nje? Kwanini awe maid na usiwe wewe??
 
Back
Top Bottom