I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

Huyo uliye quote comment yake ni jipu..... Yeye kila siku ana mawazo hasi juu ya wanaume jaribu kufuatilia uzi zake alizo zianzisha... Sasa sijuwi mahusiano yake doesnt work the way she wishes basi she concludes all women they experience the same.....
YOU AGAIN.
kumbe unanifuatilia eeeh.

well FYI I I just choose to talk about the negatives to change.

thread ya Salim Kikeke uliiona lakini! 😀
 
jaman, jaman, jaman nimeperuz huu uzi kisingizio kikubwa wanaume wa kiafrika! so wanaume wa kizungu hawapend kufanyiwa mambo kama kufliwa na kufanya usaf wa ndan na wake zao??? ifike pahala tukubaliane nni maana ya maisha ya ndoa/unyumba na nni maana ya kuwa walezi wa familia, mtoa mada ishu yake kaiongelea kama yye hatakuwa na majukumu mengine zaid ya kutunza familia...je kama ni mfnyakaz anatoka asubuh anarud jion? na mumewe ivyo ivyo...nafas ya msaidizi wa home ipo ila nowdays ni changamo kupita maelezo, who u can trust umuachie nyumba yako aipendezeshe na kuitosheleza??? nafasi ya mama itakuwa nni ssa kama hata boxer za mumewe utampa house girl? kwa sifa wanazomwagiwa wanawake wa kiafrika kuwa wavumilivu et al, sio sawa kukimbia hayo mambo....KUSAIDIANA MUHIMU ila si kwa kutegeana au kuskip with worthless reason....
wakusikilize wewe Dada....
 
Shouger taftapo mzungu kabisaaaa
Kuna rafk angu mmoja mzungu huwa anamuendesha vilevile, ila wana ahueni coz wako more liberal afu don care wa vitu vidogo dogo
unajua vitu vingine vinaendana na personality... kuna watu wameumbiwa kufugwa kama kondoo.. wengine kuteswa tu...
pole yake muke ya muzungu. lol
 
hata mijanaume isiyojua kuhudumia watu wake inanikera sana.

mwanamke kapikiwa Mara moja tu maisha yao yote, tena kisa alikuwa anaumwa.

mwanaume hujawahi kumuosha mwanaye hata!

inaleta laana tu wanaume wa hivi
Mimi husaidiana na mke wangu kumuosha mwanangu, kufua nguo za mwanangu na hata kumbeba mwanangu. Ni fahari mimi kama baba kumfulia nguo mwanangu. Infact sipendezwi sana mwanangu anavofuliwa nguo na housegirl. Napenda mimi mwenyewe au mke wangu ndio afue nguo za mwanangu. Lau si mihangaiko ya maisha kama baba, kwakweli ningeshinda nyumbani nimlee mwanangu. Ni fahari kumuona mtoto amekuwa mkubwa na unajua ulihangaika kwa kila hali juu yake. Mke wangu anajisikia fahari sana kuwa na mume kama mimi ambaye mara nyingi nikiwa nyumbani himsaidia mke wangu kazi. Kazi ambazo huwa sifanyi ni zile za usafi wa nyumba na vyombo. Wakati mke wangu anaumwa huwa namfulia nguo zake mimi mwenyewe kwa mikono yangu hata chakula huwa nahangaika kuhakikisha mke wangu amekula. Ni maisha mazuri sana kusaidiana pale inapowezekana. Pamoja na yote hayo mke wangu anatambua kuwa ni wajibu wake kufanya kazi za nyumani, namimi ni wajibu wangu kutafuta chakula na mahitaji muhimu kwa ajili ya familia yangu japo mke wangu hunisaidia pia katika hayo pale ninapokwama kifedha.
 
. Pamoja na yote hayo mke wangu anatambua kuwa ni wajibu wake kufanya kazi za nyumani, namimi ni wajibu wangu kutafuta chakula na mahitaji muhimu kwa ajili ya familia yangu japo mke wangu hunisaidia pia katika hayo pale ninapokwama kifedha.
nimekupenda brother. (ingawa una mawazo hasi ya mtoto kufuliwa na housegirl)

one Q, is your wife a housewife
 
Sina shida na hili ila inabidi tuwe hatuishi kwenye nyumba ya kupanga au km tunapanga tuwe na nyumba ya peke yetu na yenye ukuta maana watanzania hawachelewi kusema nimelishwa limbwata.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
nimekupenda brother. (ingawa una mawazo hasi ya mtoto kufuliwa na housegirl)

one Q, is your wife a housewife
Mke wangu ni Mwalimu. Pamoja na kuwa housegirl sipendi afue lakini inalazimu nikubali kwasababu mke wangu ana udhaifu wa kiafya. Nikiwepo nyumbani bila kazi yoyote huwa nafua nguo za mwanangu mimi mwenyewe kwakuwa hiyo ni moja ya fahari yangu kama baba kwa mwanangu.
Mara ya kwanza mke wangu alistaajabu sana nilivofua nepi za mwanangu.
 
So kama ni father of the house asiyefanye?

PRAISE HADES kuna wanaume huko duniani wanajua ni wajibu wao so wala si shida. Kama anaona anapungukiwa uanaume wake akifanya kazi, uwezekano ni mkubwa hata urafiki naye sina.

Halafu haya mambo ya rich guy sijui yanaingiaje, me Siko huko
Read my post well and understanding it before you answer it.. It explained all.. Just remember marriage its not about sex or material things but its all about everything.. Little and big things are matter in marriage ... Thanks..
 
I'm like a baby too..I want to be taken care of. Nipikiwe. Nifuliwe. Nitengenezwe nywele. Aaawww such men exist dear.

AND I CAN TURN SOUR TOO, especially if he changes and becomes like the men on this thread.
I see you answer on any lines that clicked on your head .. Just know that nazi huwa haishindani na jiwe .. Thats why God had a reason to created a woman and man.. And tofauti zao.. .. God had a purpose by doing this .. His ways not our ways , His thoughts not our thoughts ...Aaahhaaa... So do you want to compete with God okay feel free to do that if you can .. Thanks..
 
Hapo ndipo walipofikia hawa wadada wadijitali, kutwa kucha wakienda kuombewa na kutaka miujiza ya kuolewa na "Mwanaume " kwa mzee wa upako na kwingineko, wakat maisha yenu yenyewe na fikra zenu ni miujiza tosha. Endeleeni kuhudhuria harusi za wenzenu waliokubali kuwa hausi waivz na kuendelea kuwatembelea makwao.
 
kuwa mke ni zaidi ya ajira, alafu hata haina malipo, tutafanyaje sasa na ndio sijui laana ya eden, ila acha tu!!!
 
Wanaume mna kazi aiseee...kuchagua wake.!!!!!! Ni kazi...
Ukilelewa kivivu..utazeeka kivivu...kuolewa sio dyu dyu tu
Siwez kushindana na mume wangu kwa kazi za nyumbani..et asiposaidia ninune..he does a lot kazi anayofanya ni ngumu kuliko mimi na bado mshahara wake ananiletea japo yeye ndio anahenya kazini...
Km vipi housegal wapo kwa uvivu huo utaibiwa ht na housegal mana ht kitanda na chupi atakufulia
 
Hapo ndipo walipofikia hawa wadada wadijitali, kutwa kucha wakienda kuombewa na kutaka miujiza ya kuolewa na "Mwanaume " kwa mzee wa upako na kwingineko, wakat maisha yenu yenyewe na fikra zenu ni miujiza tosha. Endeleeni kuhudhuria harusi za wenzenu waliokubali kuwa hausi waivz na kuendelea kuwatembelea makwao.

wakiwa wakweli eti wanawake wa digitali, binadamu tunapenda unafiki kweli.
hakuna anayependa shurba, ni vile hamna namna tu.
 
Back
Top Bottom