kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,679
Ni kazi za wote wanaoishi hapo, me and ke.Ni kazi za nani mkuu?
Unajua zamani wanawake walifanya kazi za nyumbani maana walikua ma goal keepers.... Walikua hawajishughulishi na kazi za nje za kutafuta kipato, hawakusoma sana zaidi ya kufuta ujinga hadi class 7 kwa waliojaaliwa kwenda shule. Hawakufanya kazi za kuajiriwa... Hawakuwa busy kuingiza kipato katika familia. So kwavile walikaa tu home ilipelekea wao kuwa ndio wanaofanya home chores....
ZAMA ZIMEBADILIKA!
Now wanawake wanafanya kazi, za kuajiriwa na kujiajiri. Wapo busy wanasaka noti kama wanaume tu na wengine zaidi ya waume zao. That make both of then EVEN, right? So wote wanachoka na wote wanatoka asubuhi na kurudi jioni from work...... Wote wanawajibika na shughuli za nyumbani.
Now the only difference is mume anatia mimba na mke anazaa. Thats all.....