I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

Usihuzunike mkuu, hilo ni jaribu lako muhimu ulishinde, tulia kwa Mungu utaishi maisha ya furaha na familia yako
 
takwimu zinaoneshaa siku hizi waathirika wa ukimwi wanaishi umri sawa na wasio waathirika (BBC, 2017)
kwa hio ndugu usikate tamaa bado unaweza timiza ndoto zako sio mwisho wa maisha huu.....wengine tujifunze kwamba ukimwi hausambazwi kwa ngono peke yake na kuna watu tofauti tunakutana nao kila siku tuwe waangalifu
 
Bandiko zuri lakini umechanganya lugha utadhani watu wore humu wanajua kingreza
 
Anaesema HIV/AIDS is not real huwa namuangalia tu kwa kuwa hajui ukiupata / mtu wa karibu maisha yananakuwaje akiwa nao.
 
Kuna binti nilimtongoza mwaka 2011 nikataka kwenda kupiga aliniambia ukweli kuwa ni muathirika na vielelzo akanionyesha dawa n.k
Aliniambia tokea mtoto ni muathirika mpk Sasa ni mzima wa afya kabisa, ni rfk ang .
Kunywa dawa, utaishi maisha ya kawaida tu

Kwrnda nje huwezi tena labda Africa mashariki na Kati, tyr unaugonjwa unaoweza kuathiri afya zao.

Nakumbuka kipindi naaply nilijaziwa na daktari bila kupima so nikapata mwezi wa 8 nilifika Ng'ambo duuu kumbe hawaamini hospital zetu, ilibidi foreigners tupimwe woteee uwiiiiiiii sitosahau hali niliyokuwa nayo ukizingatia sijawahi kupima ukimwi hepatitis tangu nizaliwe.
Niliogopa kurudi bongo kwa nafasi niliyoipata kusoma nikiwa kazini tena kupata full scholarship duuu?
Kupima ?
Sikukutwa na ugonjwa wowote du,

Umenikumbusha kaka
 
Jipe moyo kuwa wewe si wa kwanza wala wa mwisho so utasurvive cause ni wengi kwenye jamii zetu wameathirika na wako na afya njema mi naona cha muhimu kula vizuri fanya mazoezi kwa sana jaribu kuepuka stress japo ni ngumu but jaribu kufanya mambo ambayo huwa yanakufurahisha ili kujitahidi kupunguza mawazo na pia penda kuhudhuria nyumba za ibada cause maneno ya Mungu hutusaidia kutupa moyo wakati wa majaribu.But mwisho nikutie moyo unayo nafasi HIV si mwisho wa maisha so usihofu unaweza kutimiza ndoto zako kama wengine na aunt yangu ameishi na HIV kwa miaka 25 since watu wajue ni mwathirika so I hope una nafasi kubwa bado.
 
Nanasi Lililoozea Ndani...

Huenda mama yako anafahamu! Mshirikishe.

Baada ya kusema hayo, nikutie moyo kutumia dawa.

Wewe mdugu yangu weweeee, nimesoma huu uzi nikakukumbuka. Uliwahi kuninyima raha na simulizi zako. Bado nakumbuka, kidogo nimwage kisa changu, kwa mazingira ya kawaida ilionekana kama nimeathirika, Mungu ni mwema hadi leo nna watoto naendelea vizuri.

Naomba nisindikize hii habari kwa wimbo wa Don Moen

"Like Eagles"​

O my soul, do you not know?
Have you not heard?
It's been told from the beginning
The Lord your God is on your side

O my soul, don't be afraid
Hope in the Lord
By His righteousness and power
He will strengthen, He will guide

And I will soar on wings like eagles
Held by the hand of God
I will run and not grow tired
When on His name I call

For the Lord is never weary
His ways are beyond my thoughts
I will trust in Him
With all my heart

O my soul, do you not know?
Have you not heard?
It's been told from the beginning
The Lord your God is on your side

O my soul, don't be afraid
Hope in the Lord
By His righteousness and power
He will strengthen, He will guide

And I will soar on wings like eagles
Held by the hand of God
I will run and not grow tired
When on His name I call

For the Lord is never weary
His ways are beyond my thoughts
I will trust in Him
With all my heart

And I will rest upon His promise
Patiently I'll wait

And I will soar on wings like eagles
Held by the hand of God
I will run and not grow tired
When on His name I call

For the Lord is never weary
His ways are beyond my thoughts
I will trust in Him with all my heart
I will trust in Him with all my heart

And I will rest upon his promise
Patiently I'll wait, I'll wait​
 
Kuna binti nilimtongoza mwaka 2011 nikataka kwenda kupiga aliniambia ukweli kuwa ni muathirika na vielelzo akanionyesha dawa n.k
Aliniambia tokea mtoto ni muathirika mpk Sasa ni mzima wa afya kabisa, ni rfk ang .
Kunywa dawa, utaishi maisha ya kawaida tu

Kwrnda nje huwezi tena labda Africa mashariki na Kati, tyr unaugonjwa unaoweza kuathiri afya zao.

Nakumbuka kipindi naaply nilijaziwa na daktari bila kupima so nikapata mwezi wa 8 nilifika Ng'ambo duuu kumbe hawaamini hospital zetu, ilibidi foreigners tupimwe woteee uwiiiiiiii sitosahau hali niliyokuwa nayo ukizingatia sijawahi kupima ukimwi hepatitis tangu nizaliwe.
Niliogopa kurudi bongo kwa nafasi niliyoipata kusoma nikiwa kazini tena kupata full scholarship duuu?
Kupima ?
Sikukutwa na ugonjwa wowote du,

Umenikumbusha kaka
umenikumbusha,mwaka 2011 niko chuo mwaka wa kwanza,asa si unajua tena ile wenge ya bumu,mara paa nikakutana na binti mmoja kwa wakati huo alikua form six pale loyola,ebana mtoto alikua mkali yule,nikamtongoza na kweli mtoto nae akawa kanielewa sana,asa nikawa nashangaa mtoto ananibania kunipa papuchi while anasema ananipenda sana,na kilichokua kinanistaajabisha nilikua nikimwomba mchezo anakosa raha au anakua kama analia flani hivi,at first nilidhani labda ni kalelewa katika maadili flani hivi but i was wrong...so siku moja nikaamua kumpeleleza nimjue kiundani akanambia wazazi wake walishafariki wote na kwa wakati ule alikua analelewa na mama ake mdogo,kilichonifanya nianze kuchezwa na machale aliniambia vifo vya wazazi wake vilipishana mwaka mmoja tu,halafu ugonjwa uliowaua eti ni malaria,alarm ikagonga kichwani kuwa huenda wazazi walikufa kwa ngoma..anyway sikutilia maanani kivile,asa kuna siku tukawa tumepanga tena kukutana mahali ili nimtafune,ila cha ajabu binti akaja kavaa uniform za shule,yani alitumia hiyo technique ili nisiweze kumwingiza lodge coz wananchi wangeniijia juu kuwa natembea na mwanafunzi,ebana siku hiyo nilikasirika hatari,tukaagana usiku katika chatting na yeye akawa analia anasema nimsamehe tu yeye hawezi kufanya hicho kitendo ingawa ananipenda saana na anajiskia vibaya kunibania ila kuna siku ntaelewa kwa nini anakataa kufanya hivo..mara nikashangaa tena demu kaanza kusali makanisa ya walokole wakati alikua mlutheran mwenzangu..mwisho wa siku demu akaanza kuumwa hatari...kumbe alizaliwa na ukimwi bwana na alifariki 2013,i was next to her wakati anakata roho...na siku chache kabla ya kufa tuliongea nae ndo akanambia she real loved me ndo maana hakutaka kuniua...since then nimejifunza,huwa sifanyi ngono zembe kabisa maana niliishasalimika kifo..yule demu ingawa kafa lakini huwa namshukuru mpaka leo na upendo wake kwangu nauona kama ulikua wenye thamani kubwa sana...sidhani kama kuna mwanamke ashawahi kunipenda kama yule binti asee.
 
relax mkuu na enjoy maisha kama kawaida,ondoa hofu kwani huwez kufa kwa Hiv zaidi jitahidi upunguze magonjwa nyemelezi kwa kutumia dawa bila kusahau,hope ndoto zako zote zitatimia hadi utashangaa, jikubali piga kazi jichanganye na watu ili utengeneze saikolojia hasa kipindi hiki,
 
Pooole,
Kuwa na vvu si mwisho wa maisha. Ni.vzr umejitambua mapema, ikubali hali yako, tumia dawa zako kwa usahihi. Science inaonyesha kuwa ukifahamu mapema kuwa una maabukizi ya vvu, ukaikubali hali, ukaanza dawa na ukazingatia matumizi sahihi, life expectancy kati ya mwenye vvu na asiye na vvu ni sawa. This is science. HIV is no longer a death.sentence as it was 20 years ago.

Nakushauri ukacheki tena kwenye vituo kama v2, kote ikiwa hivyo kubali hali na usonge mbele. Kwa sasa Hakuna nchi duniani inakataza kuingia kama ni HIV+. Be positive, u will leave happy life.

Nimekushauri kama mtaalam wa hilo eneo.
 
Mungu akupe nguvu na wepesi kwenye hili, usikate tamaa ndg, laiti kila mtu angejua anakufa lini kusingekuwa na maendeleo. Ifanye hali yako kama changamoto za maisha.
 
Usiogope. Mungu akuponye. Zingatia dawa na maombi. Hakika utapona.
 
Pole sana kamanda, kikubwa usikate tamaa kiasi hicho zingatia masharti ya dawa tu,sali sana then focus kwa Ndoto zako,
 
Matapeli ni wengi
Si kila mtu ni “mtumishi wa Mungu”
Waeza kudhani muujiza ulifanyika kumbe behind the scene wanajua wao.
Hahahahahah yule kilawa nilimchekigi channel 10 mara kadhaa sijui kama anaponya kweli.
 
Hello guys,

First of all,ningependa kumshukuru Mungu kwa yote anayozidi kunitendea in my whole life since i was born. Na nimeamua kuja hapa sababu najiona kamae I'm alone in this word and maybe you guys wakubwa kwa wadogo wazee kwa vijana mtakuwa na lolote la kunishauri.

Natanguliza shukran kwa wote mtaopitia this thread and may God use all of you kunishauri cas nmekua na ndoto nyingi but now is like I'm nothing in this word.
I have a long story to tell but naona itaniumiza cas maisha nlopitia after my father died God knows. Ila now I'm trying to accept who i am now. (some says is true HIV Exists and others says is a hoax) but to me i see it like true maybe nathani wale ambao ni +ve like me wataelewa what am i talking about. Is very hard for me to believe but is like this:-(

Mimi ni kijana now I'm 22 yrs old na mpaka ninapoandika hivi my mother hajui if i have HIV and she still have so many hope on me cas hakubahatika kusoma but alinisomesha tena shule za ghalama tu kwa biashara zake ndogo ndogo na niafanikiwa kumaliza form 6 though nikapata temporally job here in Dar kwenye kampuni moja hivi nikaona let me work first and after getting money nijiendeleze cas my mom ni kama hali imekuwa ngumu kidogo kwake and alifurahi sana na kuniombea Mungu maana nilianza kumsaidia nae hata viela kidogo vya matumizi akiwa na shida I'm the only person anaweza mpigia akiamini tamsaidia and i always do that hata leo nimetoka kuongea nae na yeye anafurahi sana ila hajajua mimi nina huzuni kuu na nilikuwa natoa machozi wakati naongea nae japo sikutaka ajue if nalia ye yuko mkoani so nkifikiria siku atayojua sijui itakuaje. Though I'm planning not to tell her ever.

Niliumwa nikiwa at work ghafla tu kichwa and nikawa sijielewi but nikajua it will be Maralia so i took medicine (panadol) kutuliza mauvivu then badala ya kupata nafuu hali ilikuwa mbaya and it was just in few moment that happened so cas it was late nikaondoka nikaenda kwangu ninapoishi but all i was thinking was just maralia cas i don't use mosquito net.

Then next day nikaenda hospital kubwa tu down town nikapima and the result comes that ni maralia so i went back home nikiwa na dawa nilizopewa hospital but hali ilizidi kuwa mbaya nikawa siwezi hata kusimama jioni and naishi alone so nikamcontact my friend (she is just like my sister to me cas she is all i ahave in Dar) so nikaenda kwake that night but hali ikawa mbaya sana sana.

Kila nikinywa dawa hali inakuwa mbaya mpaka tukahisi maybe dawa walizonipa zina side effects mbaya sana. So next day jion hivi nikarudi hospital na nilipofika nikawaeleza and nikapata vipimo tena then this time doctor akasema mbona huna maralia ila una UTI na typhord.

Nikapewa dozi nikarudi but that night nilipokunywa dawa nilihisi I'm gonna die cas nilizidiwa mara mbili ya mwanzo so next day early in the morning nikarudi hospital and nilikua nakohoa sana sana mwili hauna nguvu so nikalazwa kabisa.

Nikatundikiw dripu nikapew na dawa but next day nikapata nafuu and i was like what happened i asked nesi wa pale hospital hakunijbu ila aliuliza kama nina ndugu Dar and i said no i have friends only na akaniuliza how i live nikamwambia.

She was so sad but nikajua ni nesi so ananionea huruma nnavo umwa. Next day nikawa ok and nikapew bili yangu ambayo ilikuwa kubwa kidogo kama mnavojua private hospitals. But sikujua naumwa nini and ile nataka kuondoka doctor akaniita ofisini kwake. And he asked me so many questions.

But i will never forget that in a simple way he told me now wewe ni muathirika wa VVU. Guys it was a bad moment ever in my life. And mimi nipo naugulia namuona as he is clrzy telling me such thing yeye akaanza kuniambia so inabidi uanze kutumia dawa. Siwezi kuelezea how i was that time but situation hio sitaisahau nililia kama mtoto mdogo but doctor didnt care na akanipeleka kwenye system yao ya watu wa HIV.

Niliona dunia yote imeniangukia nimetoka hapo kila niliemuona barabarani niliona sifanani nae. The question was where did i get this thing? Nkiangalia zile ARV nlizopew nilikuw nalia. Nilipewa pia dozi ya typhoid so nimefka home nikamwambia sister is just typhoid. Hakuweza kuja kunichukua hospital cas ya nature ya kazi yake na mda.

Guys until now sijamueleza mtu this issue but nikaemda 3 different hospitals kupma cas sikuamini but the answer was im HIV +. Nililia na kutaka kuacha hat kwenda kazini but nikajifikiria nikasema ok i will go. Nimeenda job kila niliemuona nilihisi anajua that nimeathirika.

Nilikuwa na hasira za ajabu na nilizima simu wiki nzima na sikuwa nalala usiku vizuri. But nikaanza kutumia dawa zile ARV. Naomba nisiendelee zaidi but sitasahau those days ever in my life. And trust me we have poor doctors in Tz (some not all) cas isingekuwa Mungu ningejiua trust me cas no doctor aliekuwa ananipa ushauri zaidi ya bla bla bla.

Ok back to the topic. Ndugu zangu nilikuwa nimeplan a lot of things but nimekata tamaa kabisa kabisa na najiona sio mtu tena.

Naomba ushauri wenu katika yafuatayo;
(1) nilikuwa nimeplan kwenda USA au Canada kutafta maisha kwa njia ya kusoma kwanza. But some people kwenye mtandao wanasema MTU mwenye HIV hawakubari katika nnchi hizo. Guys is it true? Because if is true I'm going to die soon kwa presha cas ni ndoto nilizokuwa nazo since niko mdogo sana.
Naomba niishie hapa cas i cant write anymore inaniuma sana guys.

Why world is not fare like this? Everyday I'm trying to figure out nimepata wapi huu ugonjwa but i don't get the answer. But all in all if naweza kupona please advise me how hata kama kuna madaktari wanaitaj mtu wamfanyie experiment here i am. Nchi yeyote.

Guys usiombe yakukute please stay safe always na usimcheke alienao cas you never know like i dont know nlikoupata. Nimekua wa kulia everyday I'm like God mbona umeniacha. But i hope tapona guys i hope one day takuwa ushuhuda kwa dunia in Jesus name Amen.

If una ushauri au maoni please unaweza kuja inbox. Sorry for long story but mengine nitaeleza ndani ya thread.

Thank you for reading this.
Kwanza kabisa ondoa hofu kijana,jikubali,pia kuhusu kutokubaliwa kwenda marekani sio kweli kwani hata huko ukimwi upo pia mim kuna ndugu yangu naye alikua hivyo hivyo na hivi sasa amekwenda marekani maisha yanakwenda,pia siku hizi ukimwi hautishi kama zaman umepunguzwa kasi hivi kunaugonjwa mbaya kama kansa ? Kwann ujiogope wewe?ukijiwaza ndio utajiua,tena angalau kwasasa nilisikia marekani wamegundua dawa inayoonesha kufanikiwa kwa 90% mwakani inaanzwa kujaribiwa kwa binadam na kwa mujibu wa WHO dawa ikionesha mafanikio kwa asilimia 80%inaruhusiwa kutumika hivyo tumuombe mungu ifike haraka na huku kwetu.ila chsmsingi usiwe na mawazo kwani kila binadam atakufa kulingana na mwenyez mungu alivyomuandikia hakuna atayebaki,hivyo pambana na maisha kula vizuri,ondoa mawazo maisha yataenda sawa.pia hapa jf uwe na moyo wa uvumilivu kwani kunawatakao kuja na kukupa maneno ya kukukatisha tamaa sasa uwe na ngozi ngumu usiyaweke kichwani.
 
  • Thanks
Reactions: VSM

Similar Discussions

Back
Top Bottom