I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

Aisee inasikitisha sana mkuu... Pole mno tena sana... Kwa sasa tulia, tafuta mwana saikolojia aiweke hali yako sawa kisaikolojia... Ishi kwa matumaini tumia dawa vizuri na fuata ushauri wa wataalam vyema... Maisha ni lazima yaendelee, ukiwa na HIV sio maisha ndio yameishia hapo hapo, unaweza ukawa nao na maisha mengine yakaendelea...Cha msingi jichunge tu na usifanye vitendo hatarishi kwa afya yako mkuu

Kwa mara nyingine... Pole sana Mkuu
 
'Cas' ndo nini sasa??
Kwa uandishi huo unaonekana ulikua na kaunoko fulani hivi na kaujuaji fulani hivii ndo mana umeukwaa!
Nakushauri jiue tu ndugu yangu hakuna namna
 
I am speechless
Fuata ushauri wa daktari, ila pia ingekuwa vyema ukaonana na mama yako ukakaa nae chini na kumueleza, Mama ni Mama tu, anaweza kukusaidia kwa njia moja au nyingine, kukutia moyo, kukufariji na hata kukutunzia siri kuliko mtu mwingine unayemfikiria wewe
Mungu akutie nguvu, bado una uwezo wa kufikia ndoto zako.
 
Pole sana. Solution ni kukubali hali uliyonayo na uendelee na maisha kama kawaida huku ukiendelea na dawa.
Mawazo yatakuua! Watu wameathirika na bado wanaishi 20yrs +.
Jikubali na utimize ndoto zako .
 
Ina maana ataruhusiwa kwenda bila kipimo kweli marekani walivyo na figisu vile katika kutoa visa? What about Canada utaratibu wao ukoje?
Canada sifahamu, ila marekani ukienda na viza kama mwana chuo hawapimi, akienda kuomba green card hapo ndo wanapima.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
pole nakuonea huruma ila tambua kuathirika sio mwisho wa Maisha kama una mwamini Mungu jaribu kwenda kwa Mtumishi mmoja wa Mungu anaitwa Frank Kilawah yupo Tanga atakuombea na ukimwi utaisha bilieve me or not me nilishuhudia sio maigizo kama kwel unamwamini Mungu nenda au anza kuangalia vipindi vyake youtube utapata courage ya kwenda
Matapeli ni wengi
Si kila mtu ni “mtumishi wa Mungu”
Waeza kudhani muujiza ulifanyika kumbe behind the scene wanajua wao.
 
Hello guys,

First of all,ningependa kumshukuru Mungu kwa yote anayozidi kunitendea in my whole life since i was born. Na nimeamua kuja hapa sababu najiona kamae I'm alone in this word and maybe you guys wakubwa kwa wadogo wazee kwa vijana mtakuwa na lolote la kunishauri.

Natanguliza shukran kwa wote mtaopitia this thread and may God use all of you kunishauri cas nmekua na ndoto nyingi but now is like I'm nothing in this word.
I have a long story to tell but naona itaniumiza cas maisha nlopitia after my father died God knows. Ila now I'm trying to accept who i am now. (some says is true HIV Exists and others says is a hoax) but to me i see it like true maybe nathani wale ambao ni +ve like me wataelewa what am i talking about. Is very hard for me to believe but is like this:-(

Mimi ni kijana now I'm 22 yrs old na mpaka ninapoandika hivi my mother hajui if i have HIV and she still have so many hope on me cas hakubahatika kusoma but alinisomesha tena shule za ghalama tu kwa biashara zake ndogo ndogo na niafanikiwa kumaliza form 6 though nikapata temporally job here in Dar kwenye kampuni moja hivi nikaona let me work first and after getting money nijiendeleze cas my mom ni kama hali imekuwa ngumu kidogo kwake and alifurahi sana na kuniombea Mungu maana nilianza kumsaidia nae hata viela kidogo vya matumizi akiwa na shida I'm the only person anaweza mpigia akiamini tamsaidia and i always do that hata leo nimetoka kuongea nae na yeye anafurahi sana ila hajajua mimi nina huzuni kuu na nilikuwa natoa machozi wakati naongea nae japo sikutaka ajue if nalia ye yuko mkoani so nkifikiria siku atayojua sijui itakuaje. Though I'm planning not to tell her ever.

Niliumwa nikiwa at work ghafla tu kichwa and nikawa sijielewi but nikajua it will be Maralia so i took medicine (panadol) kutuliza mauvivu then badala ya kupata nafuu hali ilikuwa mbaya and it was just in few moment that happened so cas it was late nikaondoka nikaenda kwangu ninapoishi but all i was thinking was just maralia cas i don't use mosquito net.

Then next day nikaenda hospital kubwa tu down town nikapima and the result comes that ni maralia so i went back home nikiwa na dawa nilizopewa hospital but hali ilizidi kuwa mbaya nikawa siwezi hata kusimama jioni and naishi alone so nikamcontact my friend (she is just like my sister to me cas she is all i ahave in Dar) so nikaenda kwake that night but hali ikawa mbaya sana sana.

Kila nikinywa dawa hali inakuwa mbaya mpaka tukahisi maybe dawa walizonipa zina side effects mbaya sana. So next day jion hivi nikarudi hospital na nilipofika nikawaeleza and nikapata vipimo tena then this time doctor akasema mbona huna maralia ila una UTI na typhord.

Nikapewa dozi nikarudi but that night nilipokunywa dawa nilihisi I'm gonna die cas nilizidiwa mara mbili ya mwanzo so next day early in the morning nikarudi hospital and nilikua nakohoa sana sana mwili hauna nguvu so nikalazwa kabisa.

Nikatundikiw dripu nikapew na dawa but next day nikapata nafuu and i was like what happened i asked nesi wa pale hospital hakunijbu ila aliuliza kama nina ndugu Dar and i said no i have friends only na akaniuliza how i live nikamwambia.

She was so sad but nikajua ni nesi so ananionea huruma nnavo umwa. Next day nikawa ok and nikapew bili yangu ambayo ilikuwa kubwa kidogo kama mnavojua private hospitals. But sikujua naumwa nini and ile nataka kuondoka doctor akaniita ofisini kwake. And he asked me so many questions.

But i will never forget that in a simple way he told me now wewe ni muathirika wa VVU. Guys it was a bad moment ever in my life. And mimi nipo naugulia namuona as he is clrzy telling me such thing yeye akaanza kuniambia so inabidi uanze kutumia dawa. Siwezi kuelezea how i was that time but situation hio sitaisahau nililia kama mtoto mdogo but doctor didnt care na akanipeleka kwenye system yao ya watu wa HIV.

Niliona dunia yote imeniangukia nimetoka hapo kila niliemuona barabarani niliona sifanani nae. The question was where did i get this thing? Nkiangalia zile ARV nlizopew nilikuw nalia. Nilipewa pia dozi ya typhoid so nimefka home nikamwambia sister is just typhoid. Hakuweza kuja kunichukua hospital cas ya nature ya kazi yake na mda.

Guys until now sijamueleza mtu this issue but nikaemda 3 different hospitals kupma cas sikuamini but the answer was im HIV +. Nililia na kutaka kuacha hat kwenda kazini but nikajifikiria nikasema ok i will go. Nimeenda job kila niliemuona nilihisi anajua that nimeathirika.

Nilikuwa na hasira za ajabu na nilizima simu wiki nzima na sikuwa nalala usiku vizuri. But nikaanza kutumia dawa zile ARV. Naomba nisiendelee zaidi but sitasahau those days ever in my life. And trust me we have poor doctors in Tz (some not all) cas isingekuwa Mungu ningejiua trust me cas no doctor aliekuwa ananipa ushauri zaidi ya bla bla bla.

Ok back to the topic. Ndugu zangu nilikuwa nimeplan a lot of things but nimekata tamaa kabisa kabisa na najiona sio mtu tena.

Naomba ushauri wenu katika yafuatayo;
(1) nilikuwa nimeplan kwenda USA au Canada kutafta maisha kwa njia ya kusoma kwanza. But some people kwenye mtandao wanasema MTU mwenye HIV hawakubari katika nnchi hizo. Guys is it true? Because if is true I'm going to die soon kwa presha cas ni ndoto nilizokuwa nazo since niko mdogo sana.
Naomba niishie hapa cas i cant write anymore inaniuma sana guys.

Why world is not fare like this? Everyday I'm trying to figure out nimepata wapi huu ugonjwa but i don't get the answer. But all in all if naweza kupona please advise me how hata kama kuna madaktari wanaitaj mtu wamfanyie experiment here i am. Nchi yeyote.

Guys usiombe yakukute please stay safe always na usimcheke alienao cas you never know like i dont know nlikoupata. Nimekua wa kulia everyday I'm like God mbona umeniacha. But i hope tapona guys i hope one day takuwa ushuhuda kwa dunia in Jesus name Amen.

If una ushauri au maoni please unaweza kuja inbox. Sorry for long story but mengine nitaeleza ndani ya thread.

Thank you for reading this.
Jifunze kuandika kwa lugha fasaha moja .kama kiswahili kiwe kiswahili kama kingereza kingereza. Usiwe kama paskall mayala
 
Kwanza nianze kukupa pole sana brother! Nimesoma nimehisi kulia but nothing i can change.
Kwanza naomba nikutie moyo kwamba kuwa na hiv haimaanishi kwamba malengo yako yanaishia hapo laah, bado una nafasi kubwa sana ya kubadilisha maisha yako na ukawa mshindi, haimaanishi kwamba wewe utakufa kesho hapana bado unauwezo wa kuchagua kuishi na kutimiza malengo yako"" achana na huzuni chagua furaha"" achana na kulia chagua kucheka"" achana na kuwaza kujiua au kufa chagua kuishi"" achana na kujitenga na watu chagua kuishi nao"" si wewe wakwanza kuwa na hiv wapo watu ambao wanaishi na ARV's na wanaendelea na maisha yao yenye mafanikio njoo nitakupa mfano na kukuonesha, kama una hisi unaikosa amani niko ready kuongea na wewe ukae sawa!! Bado una uwezo wakuwa hata na familia ya watoto ambao hawatakuwa na hiv wakawa ni sehemu ya furaha yako wapo tunamifano yao na wanaishi vizuri kwanini wewe usichague maisha kwanini uchague kulia kumbuka ni mapitio tuu hutusababisha kuwa hivo nakuomba fanya kazi wewe ni mshindi na utashinda usihisi kwamba upo peke yako la hasha kati ya wengi unaokutana wengi wana tatizo kama lakwako na waliamua kuchagua furaha kwanini we we uchague huzuni naomba jipe moyo umsaidie yule mama kama utakua huna amani utasababisha mama pia atapoteza muelekeo na atapata pressure kwaajili yako halafu utampoteza haraka baadae ujute wewe ni mwanaume kaka jambo moja ni kujiamini kwamba utaishi mwanzo ni mgumu ila utazoea come to talk pls utakaa sawa i believe!!
 
Daaa speechless... I can imagine....nakumbuka Siku nilipewa taarifa ndugu yangu wa karibu Sana yupo kwenye hiyo hali nilihisi dunia mzima unazungukia Kichwani kwangu... Nakumbuka nililia Sana... Namshukuru yy mwenyewe alikuwa aameshaikubali hiyo hali.... Walikuwa wanasubiri nimalize shule ndio niambiwe... Thank God we are very happy... Na familia nzima tumechukulia ni hali ya kawaida... huiwezi hata kujua... hanapambana na maisha kama wengine na pia ana ndoto zake kubwa tuu.... In fact tunamshukuru mungu kwa kweli.... kinachowaumiza wengi ni kunyanyapaliwa... Sisi kwetu haipo hiyo...
...so what I can advice u tafuta unayemwamini mweleze hali yako ambaye atakutia moyo katika safari yako....pekeyako u will be crazy coz i can tell u sio rahisi...maisha lazima yaendelee....u need to take good care of urself...badilisha mfumo wa maisha...HIV sio cancer coz huu mwingine unatisha zaidi...u can live many years kama watu wengine...u can have ur dreams ,family anything ....u can be anyone ....but u need to accept ur situation and learn how to live with it....may God gives u the strength u need in Jesus name..
Sasa huyu ana Quote uzi wote.. Daah na ulivo mrefu unascroll adi gumba linakufa ganzi[emoji16]
 
Kwanza nianze kukupa pole sana brother! Nimesoma nimehisi kulia but nothing i can change.
Kwanza naomba nikutie moyo kwamba kuwa na hiv haimaanishi kwamba malengo yako yanaishia hapo laah, bado una nafasi kubwa sana ya kubadilisha maisha yako na ukawa mshindi, haimaanishi kwamba wewe utakufa kesho hapana bado unauwezo wa kuchagua kuishi na kutimiza malengo yako"" achana na huzuni chagua furaha"" achana na kulia chagua kucheka"" achana na kuwaza kujiua au kufa chagua kuishi"" achana na kujitenga na watu chagua kuishi nao"" si wewe wakwanza kuwa na hiv wapo watu ambao wanaishi na ARV's na wanaendelea na maisha yao yenye mafanikio njoo nitakupa mfano na kukuonesha, kama una hisi unaikosa amani niko ready kuongea na wewe ukae sawa!! Bado una uwezo wakuwa hata na familia ya watoto ambao hawatakuwa na hiv wakawa ni sehemu ya furaha yako wapo tunamifano yao na wanaishi vizuri kwanini wewe usichague maisha kwanini uchague kulia kumbuka ni mapitio tuu hutusababisha kuwa hivo nakuomba fanya kazi wewe ni mshindi na utashinda usihisi kwamba upo peke yako la hasha kati ya wengi unaokutana wengi wana tatizo kama lakwako na waliamua kuchagua furaha kwanini we we uchague huzuni naomba jipe moyo umsaidie yule mama kama utakua huna amani utasababisha mama pia atapoteza muelekeo na atapata pressure kwaajili yako halafu utampoteza haraka baadae ujute wewe ni mwanaume kaka jambo moja ni kujiamini kwamba utaishi mwanzo ni mgumu ila utazoea come to talk pls utakaa sawa i believe!!
Daahh na huyu nae ana Quote tena + comment daaahh

Oyaaa.! Onea huruma gumba boss wangu[emoji16]
 
Hello guys,

First of all,ningependa kumshukuru Mungu kwa yote anayozidi kunitendea in my whole life since i was born. Na nimeamua kuja hapa sababu najiona kamae I'm alone in this word and maybe you guys wakubwa kwa wadogo wazee kwa vijana mtakuwa na lolote la kunishauri.

Natanguliza shukran kwa wote mtaopitia this thread and may God use all of you kunishauri cas nmekua na ndoto nyingi but now is like I'm nothing in this word.
I have a long story to tell but naona itaniumiza cas maisha nlopitia after my father died God knows. Ila now I'm trying to accept who i am now. (some says is true HIV Exists and others says is a hoax) but to me i see it like true maybe nathani wale ambao ni +ve like me wataelewa what am i talking about. Is very hard for me to believe but is like this:-(

Mimi ni kijana now I'm 22 yrs old na mpaka ninapoandika hivi my mother hajui if i have HIV and she still have so many hope on me cas hakubahatika kusoma but alinisomesha tena shule za ghalama tu kwa biashara zake ndogo ndogo na niafanikiwa kumaliza form 6 though nikapata temporally job here in Dar kwenye kampuni moja hivi nikaona let me work first and after getting money nijiendeleze cas my mom ni kama hali imekuwa ngumu kidogo kwake and alifurahi sana na kuniombea Mungu maana nilianza kumsaidia nae hata viela kidogo vya matumizi akiwa na shida I'm the only person anaweza mpigia akiamini tamsaidia and i always do that hata leo nimetoka kuongea nae na yeye anafurahi sana ila hajajua mimi nina huzuni kuu na nilikuwa natoa machozi wakati naongea nae japo sikutaka ajue if nalia ye yuko mkoani so nkifikiria siku atayojua sijui itakuaje. Though I'm planning not to tell her ever.

Niliumwa nikiwa at work ghafla tu kichwa and nikawa sijielewi but nikajua it will be Maralia so i took medicine (panadol) kutuliza mauvivu then badala ya kupata nafuu hali ilikuwa mbaya and it was just in few moment that happened so cas it was late nikaondoka nikaenda kwangu ninapoishi but all i was thinking was just maralia cas i don't use mosquito net.

Then next day nikaenda hospital kubwa tu down town nikapima and the result comes that ni maralia so i went back home nikiwa na dawa nilizopewa hospital but hali ilizidi kuwa mbaya nikawa siwezi hata kusimama jioni and naishi alone so nikamcontact my friend (she is just like my sister to me cas she is all i ahave in Dar) so nikaenda kwake that night but hali ikawa mbaya sana sana.

Kila nikinywa dawa hali inakuwa mbaya mpaka tukahisi maybe dawa walizonipa zina side effects mbaya sana. So next day jion hivi nikarudi hospital na nilipofika nikawaeleza and nikapata vipimo tena then this time doctor akasema mbona huna maralia ila una UTI na typhord.

Nikapewa dozi nikarudi but that night nilipokunywa dawa nilihisi I'm gonna die cas nilizidiwa mara mbili ya mwanzo so next day early in the morning nikarudi hospital and nilikua nakohoa sana sana mwili hauna nguvu so nikalazwa kabisa.

Nikatundikiw dripu nikapew na dawa but next day nikapata nafuu and i was like what happened i asked nesi wa pale hospital hakunijbu ila aliuliza kama nina ndugu Dar and i said no i have friends only na akaniuliza how i live nikamwambia.

She was so sad but nikajua ni nesi so ananionea huruma nnavo umwa. Next day nikawa ok and nikapew bili yangu ambayo ilikuwa kubwa kidogo kama mnavojua private hospitals. But sikujua naumwa nini and ile nataka kuondoka doctor akaniita ofisini kwake. And he asked me so many questions.

But i will never forget that in a simple way he told me now wewe ni muathirika wa VVU. Guys it was a bad moment ever in my life. And mimi nipo naugulia namuona as he is clrzy telling me such thing yeye akaanza kuniambia so inabidi uanze kutumia dawa. Siwezi kuelezea how i was that time but situation hio sitaisahau nililia kama mtoto mdogo but doctor didnt care na akanipeleka kwenye system yao ya watu wa HIV.

Niliona dunia yote imeniangukia nimetoka hapo kila niliemuona barabarani niliona sifanani nae. The question was where did i get this thing? Nkiangalia zile ARV nlizopew nilikuw nalia. Nilipewa pia dozi ya typhoid so nimefka home nikamwambia sister is just typhoid. Hakuweza kuja kunichukua hospital cas ya nature ya kazi yake na mda.

Guys until now sijamueleza mtu this issue but nikaemda 3 different hospitals kupma cas sikuamini but the answer was im HIV +. Nililia na kutaka kuacha hat kwenda kazini but nikajifikiria nikasema ok i will go. Nimeenda job kila niliemuona nilihisi anajua that nimeathirika.

Nilikuwa na hasira za ajabu na nilizima simu wiki nzima na sikuwa nalala usiku vizuri. But nikaanza kutumia dawa zile ARV. Naomba nisiendelee zaidi but sitasahau those days ever in my life. And trust me we have poor doctors in Tz (some not all) cas isingekuwa Mungu ningejiua trust me cas no doctor aliekuwa ananipa ushauri zaidi ya bla bla bla.

Ok back to the topic. Ndugu zangu nilikuwa nimeplan a lot of things but nimekata tamaa kabisa kabisa na najiona sio mtu tena.

Naomba ushauri wenu katika yafuatayo;
(1) nilikuwa nimeplan kwenda USA au Canada kutafta maisha kwa njia ya kusoma kwanza. But some people kwenye mtandao wanasema MTU mwenye HIV hawakubari katika nnchi hizo. Guys is it true? Because if is true I'm going to die soon kwa presha cas ni ndoto nilizokuwa nazo since niko mdogo sana.
Naomba niishie hapa cas i cant write anymore inaniuma sana guys.

Why world is not fare like this? Everyday I'm trying to figure out nimepata wapi huu ugonjwa but i don't get the answer. But all in all if naweza kupona please advise me how hata kama kuna madaktari wanaitaj mtu wamfanyie experiment here i am. Nchi yeyote.

Guys usiombe yakukute please stay safe always na usimcheke alienao cas you never know like i dont know nlikoupata. Nimekua wa kulia everyday I'm like God mbona umeniacha. But i hope tapona guys i hope one day takuwa ushuhuda kwa dunia in Jesus name Amen.

If una ushauri au maoni please unaweza kuja inbox. Sorry for long story but mengine nitaeleza ndani ya thread.

Thank you for reading this.
[quote uid=240723 name="DRIVE" post=24027333]Kwanza nianze kukupa pole sana brother! Nimesoma nimehisi kulia but nothing i can change.<br />Kwanza naomba nikutie moyo kwamba kuwa na hiv haimaanishi kwamba malengo yako yanaishia hapo laah, bado una nafasi kubwa sana ya kubadilisha maisha yako na ukawa mshindi, haimaanishi kwamba wewe utakufa kesho hapana bado unauwezo wa kuchagua kuishi na kutimiza malengo yako"" achana na huzuni chagua furaha"" achana na kulia chagua kucheka"" achana na kuwaza kujiua au kufa chagua kuishi"" achana na kujitenga na watu chagua kuishi nao"" si wewe wakwanza kuwa na hiv wapo watu ambao wanaishi na ARV's na wanaendelea na maisha yao yenye mafanikio njoo nitakupa mfano na kukuonesha, kama una hisi unaikosa amani niko ready kuongea na wewe ukae sawa!! Bado una uwezo wakuwa hata na familia ya watoto ambao hawatakuwa na hiv wakawa ni sehemu ya furaha yako wapo tunamifano yao na wanaishi vizuri kwanini wewe usichague maisha kwanini uchague kulia kumbuka ni mapitio tuu hutusababisha kuwa hivo nakuomba fanya kazi wewe ni mshindi na utashinda usihisi kwamba upo peke yako la hasha kati ya wengi unaokutana wengi wana tatizo kama lakwako na waliamua kuchagua furaha kwanini we we uchague huzuni naomba jipe moyo umsaidie yule mama kama utakua huna amani utasababisha mama pia atapoteza muelekeo na atapata pressure kwaajili yako halafu utampoteza haraka baadae ujute wewe ni mwanaume kaka jambo moja ni kujiamini kwamba utaishi mwanzo ni mgumu ila utazoea come to talk pls utakaa sawa i believe!![/QUOTE]<br />Daahh na huyu nae ana Quote tena + comment daaahh <br /><br />Oyaaa.! Onea huruma gumba boss wangu[emoji16]
 
Pole Sana mkuu...but unachotakiwa kujua yapo magonjwa hatari zaid ya HIV ingawaje watu wanayachukulia simple, Kama vile Presha, Homa ya ini na saratan but still maisha uanendelea ila tambua kwanza hatua uliopo sasa ni nzuri kwa sababu unajua kuwa ww ni HIV+ hiyo ni hatua kubwa Sana blv me uko na maisha marefu sana Kama ukifwata maelekezo ya daktar
 
Having HIV does not and should not change your dreams in life, just assume you are having Malaria, and follow instructions from the doctors, speaking of your dreams of travelling outside the country, you should compromise with your situation, I believe you can make it anywhere if you are determined to succeed, though it's hard you should gather enough courage to let your relatives know about your situation (if they are not assholes) this is the time you need them most ( I assume you are not married)

Pharaoh_2
 
Back
Top Bottom