I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

Daah pole sana mkuu..hii andika yako ya kiswanglish nilidhania sharobaro kafufuka(jokes)[emoji6]
 
Sijamaliza hata kusoma we acha upumbavu kabisa, hali ngumu bongo unaelewa watu wanaangalia wapi maslahi.
Huna ngoma wala tumba.
Mimi dada yangu alipasuliwa tumbo tukalipa mamilioni kisa ana mimba wakasema imekwama afe yeye au mtoto na ili kuwaokoa wote tuweke dau.
Mount Ukombozi pale Moroko miaka hiyo.
Madaktari
Utangolewa jino hata halitakiwi tolewa
Utapigwa mkasi. .....
Dawa famba anaandika tu fata duka la mkewe au nyumba ndogo.
Utapigwa ganzi ya meno na doctor tunakusubiri sebuleni we umeganda.
Watu tunakula mvinyo, ni taarifa tu kuna bwege yuko hukumuni huko kitini nshamtia misumari.
Walter zungurusha.
Akienda huko anavyoporomoa hayo meno.
 
Mi sikupi Pole ila nakwambia Relax, Be Strong and One day that thing called HIV+ will be out of ur body, btw You are Stronger than hiv
 
Acha ngono nzembe ukishindwa piga punyeto maisha yasonge mbele..
 
Ukimwi kjn mbona unasonga mbele kibingwa tuu..

Mwana kuna kansa aisee ni Noma x kalala tu toka mwaka 2015 Kansa ya mifupa..

HV we we in ME auKE??
 
kilicho kutia wenge ni upuuzi wa daktari kukupima na kukupa majibu bila ushauri, hii imekufanya kupata mshtuko na kujiona ndo mwisho wa maisha.

huyu dr. yuko chini ya viwango (yawezekana wapo wengi wa namna iyo) kuwa imara mkuu hiv kama utapata sapoti ya jamaa zako wala haina shida.
 
Pole sn ndugu...Bora ww umejiuuaa kuna wengine wapo umu hawajijui....kaza mwendo usiache ata nusu ya malengo yako ulopanga
 
There are two things involved in Acceptance;
1. One's brain should accept to cope and adapt. Human brains are like laptop button, it has numbers and letters, which start first? Number or letter? So two people can click one button to get two different results? The answer is always no, you will choose one either to click number or letter at different space to get accurate results. This is how human brains work, A human once get any problem need ample time for his brain to choose what is the best option regarding the existing condition. Here several issues involved; personal case studies, references/comparisons, confidentiality, denial, fear, anger, illusions etc. In this stage if someone's brain will manage to mediate situation/condition it self without influence from external environment, The human will cope, adjust and enjoy his/her life. .
2....External environment, Any human brains are like cars engines, it works perfectly if manufactured kilometers are not exceeding. Also to a human it can reach time when his brain can fail to resolve its personal affairs and therefore will seek external mediation. In this stage the human seeking brain boost will have to options, I) comparisons of answers from external
II) Making conclusion that's Positive or Negative.

Thanx.
 
Usiogope hakuna ajuaye kesho yake
 

Attachments

  • IMG_5042.JPG
    IMG_5042.JPG
    122.7 KB · Views: 57
Pole sana,hebu sema id yako nyingine maarufu kutokee mafuriko hapa sasa hiv
 
Nikutie moyo mpendwa
Kupata UKIMWI sio mwisho wa ndoto zako
Cha msingi fuata ushauri wa daktari,
Meza dawa zako kwa wakati,kula vizuri na upunguze mawazo tu.

MUNGU AKUPE NGUVU NA MAISHA MAREFU....
 
There are two things involved in Acceptance;
1. One's brain should accept to cope and adapt. Human brains are like laptop button, it has numbers and letters, which start first? Number or letter? So two people can click one button to get two different results? The answer is always no, you will choose one either to click number or letter at different space to get accurate results. This is how human brains work, A human once get any problem need ample time for his brain to choose what is the best option regarding the existing condition. Here several issues involved; personal case studies, references/comparisons, confidentiality, denial, fear, anger, illusions etc. In this stage if someone's brain will manage to mediate situation/condition it self without influence from external environment, The human will cope, adjust and enjoy his/her life. .
2....External environment, Any human brains are like cars engines, it works perfectly if manufactured kilometers are not exceeding. Also to a human it can reach time when his brain can fail to resolve its personal affairs and therefore will seek external mediation. In this stage the human seeking brain boost will have to options, I) comparisons of answers from external
II) Making conclusion that's Positive or Negative.

Thanx.
sasa mkuu hichi kimalkia tutaelewa kweli? tafadhali fafanua bhana kwa lugha yetu pendwa kiswahili
au utuambie umeshauri nini hapo tafadhali
 
'Cas' ndo nini sasa??
Kwa uandishi huo unaonekana ulikua na kaunoko fulani hivi na kaujuaji fulani hivii ndo mana umeukwaa!
Nakushauri jiue tu ndugu yangu hakuna namna
una roho ngumu eeeh, hata kama kaandika vibaya usinge comment namna hiyo pls
tuwage na huruma wakati mwingine, I know kuna jokes but kwa mambo ya msingi tuwe tu serious
Nisamehe kama nimekuuzi
 
una roho ngumu eeeh, hata kama kaandika vibaya usinge comment namna hiyo pls
tuwage na huruma wakati mwingine, I know kuna jokes but kwa mambo ya msingi tuwe tu serious
Nisamehe kama nimekuuzi
Nimekuelewa Mkuu...sema kiukweli sikumaanisha hivo...mi namtakia kila la heri ajaribu na Samunge...who knows?
 
Nimekuelewa Mkuu...sema kiukweli sikumaanisha hivo...mi namtakia kila la heri ajaribu na Samunge...who knows?
afadhali umeelewa
unajua kuna wakati unakuwa kwenye situation unahitaji mtu akutie moyo halafu unakutana na wa kukatisha moyo
angalia usiwe sababu ya kifo cha mtu bila kujua. tubia hii hali
 
afadhali umeelewa
unajua kuna wakati unakuwa kwenye situation unahitaji mtu akutie moyo halafu unakutana na wa kukatisha moyo
angalia usiwe sababu ya kifo cha mtu bila kujua. tubia hii hali
Niwie radhi Mkuu nilikua natania tuu sikua siriazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom