Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Ila sijamshauri aolewe na mtu aloibuka tuu huko na kuleta posa!kikubwa kilichopo huyu dada hamuamini huyo anetaka wazae, na mm ntamshauri tu akae chin amchunguze akiemkubali kuolewa nae akiridhika sawa aolewe zinaa s nzuri ukiendekeza kama anajiona anastahili kua mke wa mtu aolewe hata hivo maisha yajayo hatujui yatakavokua anaweza wakataa wote wanaomposa kesho na kesho kutwa akose hata wa kumdanganyia kumuoa yote kwa yote yanawezekana
Ndoa nyingi tunazoona zina migogoro na kuvunjika ni sababu ya wadada kuwa desperate kuolewa!
Tusijisahau kiasi hicho, kwamba kuvaa gauni jeupe ndo fahari! Kuna zaidi ya gauni.
Kama Mungu kampangia mume wake yupo tuu! Miaka 23 sio ya kumfanya aolewe na mtu ni mtu!