I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

Hata akishauriwa vipi mwisho wa siku yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho nina mifano hai nina rafiki yangu alikua kama huyu binti, alikua na nwanaume anamwahidi ntakuoa ntakuoa posa zimekuja zaidi ya tano kwao kawakataa wote na huyo mwanaume alomwahidi kumuoa kaenda oa kwengine sasa hivi anadate na waume za watu tu nimeshauri mpaka nimechoka
Mshauri kwa makini maisha yake ya ndoa yakianza kwenda hovyo hutakuwepo wakati huo, ushauri uzingatia wakati huu na wa baadae pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua swala la ndoa huwez kumpa mwanaume presha ni yeye ndio muoaji ye ndio anaona muda ukifika atakuoa au kukugusia juu ya kukuoa kwa mwanaume alieye na utayar, siwez kudate na mtu bila malengo maalum tena et nione mda unaenda tupo tupo siwez kupotezewa muda kizembe ni heri hata huyo alosema wazae wengine hata hawafikirii mnakua mpo mpo tu kuuliza ni lazima hasa ukiona mda unaenda mana usijejikuta unapotezewa muda wako bure bure
We dont need to judge ila wanawake huwa mnakasumba kubwa sana ya kulazimisha ndoa mkidhani kupata ndoa tu ndiyo heshima pekee katika jamii, ila ndoa ina vitu vingi sana sana na lazima utayari uwepo pande zote mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata akishauriwa vipi mwisho wa siku yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho nina mifano hai nina rafiki yangu alikua kama huyu binti, alikua na nwanaume anamwahidi ntakuoa ntakuoa posa zimekuja zaidi ya tano kwao kawakataa wote na huyo mwanaume alomwahidi kumuoa kaenda oa kwengine sasa hivi anadate na waume za watu tu nimeshauri mpaka nimechoka
But kumbuka case zinaweza kufanana lakini watu ni tofauti so watu hutofautina kwenye mengi yeye amekuja kuoma ushauri hapa lakini tayari ameshakua na jibu la kutaka kuolewa na huyu mwingine, ndoa ni taasisi pana sana sio ya kuitaka kama unanunua pipi utulivu unahitajika

God is a God of hearts
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uangalie usije kuingia kwenye ndoa bila kumsoma mtu na kuwa nae kwenye mapenz ya dhati
 
Unajua swala la ndoa huwez kumpa mwanaume presha ni yeye ndio muoaji ye ndio anaona muda ukifika atakuoa au kukugusia juu ya kukuoa kwa mwanaume alieye na utayar, siwez kudate na mtu bila malengo maalum tena et nione mda unaenda tupo tupo siwez kupotezewa muda kizembe ni heri hata huyo alosema wazae wengine hata hawafikirii mnakua mpo mpo tu kuuliza ni lazima hasa ukiona mda unaenda mana usijejikuta unapotezewa muda wako bure bure
Siku zote external presha ya kuoa tunaipata kutoa kwenu wanawake bila hata kuangalia nyakati, na ukitumia presha nyingi kuolewa ndoa huwa haidumi, acheni na sisi tuwe na hiari ndoa itakua yenye baraka tele

God is a God of hearts
 
Kuna msemo hua tunasemaga shahada mwisho ni mara tatu tu, ya mbele hayo ni majukumu ya Mungu hayaingiliwi sote tumo humu hatujui jama jioni tutafika au tukafariki kabla ya kula cha mchana, of course ndoa s kuvaa shela wala pete ibataka kujitoa nyie wahusika yeye mwenyewe kama kishaona anastahili ana watamudu aolewe zake tu wapo watu waliwasubiri wapenzi wao waliowapenda wafikie huko na mtu akawakataa wote abakie na huyo isifae pia bas kama yeye anaona asiolewe na wengine amuoe yeye wakat mwengije riziki hufunguka baada ya ndoa kwa hiyo hata kama miaka 23 midogo akubali kuendelea kuziniwa tu? Huyo kaka amuoe kama anamhitaji wataishi hivo hivo
Ila sijamshauri aolewe na mtu aloibuka tuu huko na kuleta posa!
Ndoa nyingi tunazoona zina migogoro na kuvunjika ni sababu ya wadada kuwa desperate kuolewa!
Tusijisahau kiasi hicho, kwamba kuvaa gauni jeupe ndo fahari! Kuna zaidi ya gauni.

Kama Mungu kampangia mume wake yupo tuu! Miaka 23 sio ya kumfanya aolewe na mtu ni mtu!
 
Sjakupinga kwa hiyo waendelee kyzini mpaka wazae sio? Kulea anaweza ila kua mume hawezi
Siku zote external presha ya kuoa tunaipata kutoa kwenu wanawake bila hata kuangalia nyakati, na ukitumia presha nyingi kuolewa ndoa huwa haidumi, acheni na sisi tuwe na hiari ndoa itakua yenye baraka tele

God is a God of hearts
 
Mkuu nilitaka kusema hili pia,huu utaratibu wa kizamani hivi bado upo kweli?

Unatoa posa kabla hata hamjafahamiana vizuri?inawezekana dada huyu naye atakua mambo mengi!
Mkuu sio kwamba ana mambo mengi wala usimlaumu coz hata wewe mwenyewe lazima uwe una list hili ufanye uhamuzi sahihi kwa ajili ya mustakabali wa maisha yako usimlaumu mtoto wa watu ana mambo mengi yupo sahihi mwache aangalie nani atamfaa kwenye maisha yake mapya ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwengine mtoto akililia sana wembe mpe ukimkata ataelewa
But kumbuka case zinaweza kufanana lakini watu ni tofauti so watu hutofautina kwenye mengi yeye amekuja kuoma ushauri hapa lakini tayari ameshakua na jibu la kutaka kuolewa na huyu mwingine, ndoa ni taasisi pana sana sio ya kuitaka kama unanunua pipi utulivu unahitajika

God is a God of hearts
 
Mkuu sio kwamba ana mambo mengi wala usimlaumu coz hata wewe mwenyewe lazima uwe una list hili ufanye uhamuzi sahihi kwa ajili ya mustakabali wa maisha yako usimlaumu mtoto wa watu ana mambo mengi yupo sahihi mwache aangalie nani atamfaa kwenye maisha yake mapya ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inawezekana ukawa upo sahihi,lakini issue hapa ni huu utaratibu wa mtu kutaka kupeleka posa kwao na hawafahamiani kabisa hajui tabia zake ?

Ndio tukawa tunajiuliza huu utaratibu wa kizamani bado upo, labda nikuulize Mkuu wewe unaweza kutaka kuoa binti usiyemfahamu kabisa?
 
Sjakupinga kwa hiyo waendelee kyzini mpaka wazae sio? Kulea anaweza ila kua mume hawezi
Huwezi juwa sababu inayomkwamisha ni nini, huyu ameleta tu habari kwamba jamaa anataka mtoto tu ila ndoa hataki, sababu yake hajatoa

God is a God of hearts
 
Pengine huyo mwanaume hajaweka mambo yake sawa! Huwezi jua huyo mdada anamjua vyema au umri wao bado
Sasa kama hajaweka mambo yake sawa kwa nini anataka kumchafulia hali ya hewa mwenzake kama bado financial hayupo vizur bado anao muda wa kusubili na kumwambia mwenzake hili ajipange kwa kipindi kijacho lakini sio kumtandika limimba alafu amtelekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom