I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

Huyo aliyeleta posa huna hata mahusiano nae?! Hivi bado kuna vijana mnapeleka posa hata huyo msichana hujaongea nae [emoji23][emoji23]
Nimeshangaa pia.
 
Miaka 23 unakimbilia kuolewa? Ww si ulitakiwa uwe darasani mda huu? Jamani ccm imeharibu vijana wetu wengi sana...... Mungu walaani ccm na vizazi vyao vyote
Darasani anafanya nini? Mtu wa miaka 23 anatakiwa awe amemaliza chuo mwaka jana mwezi wa 10.

Wewe ulicheleweshwa shule au ulifeli ukarudia au ukaenda diploma?
 
Miaka 23 sio midogo wewe ni mkubwa saana.

Huyo anayekuja kutoa posa bila hata uchumba mwangalie kwa jicho la tatu.

Usikubali kuzaa kabla ya ndoa kama unaouwezo wa kumkatalia.

Wwnaume tunakisingizio cha kujipanga tunapotaka kuoa..jaribu kumsoma kama anasema anajipanga mshauri mpe nguvu kuwa anaouwezo wa kuihimili familia kwa alichonacho kwasasa.
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.



Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi ni yakwako. Mpaka unaomba ushauri hapa tayari Una jibu lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1549733261977.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom