I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

Yan me aliposema hapo kajibiwa wazae ila ndoa ndio bado nimepata ukakas hata me ningeona hapa hamna kitu, halaf hao wanajuana yawezekana kuja mengi nyuma ya pazia dada wa watu kajichokea kaona bora ajiondokee
Sasa kama hajaweka mambo yake sawa kwa nini anataka kumchafulia hali ya hewa mwenzake kama bado financial hayupo vizur bado anao muda wa kusubili na kumwambia mwenzake hili ajipange kwa kipindi kijacho lakini sio kumtandika limimba alafu amtelekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa aisee mana uyu binti yupo ndani ya mdundiko(ngoma) na keshaona mengi yanaendelea na uyu mpenzi wake mwisho wa siku kaona anamzingua tu kibaya zaidi kamwambia amzalie wakat hata barua ya posa hajamtolea kaona ni heri aolewe

Wanatuperekeshaga puta tunakosaga hata amani nafsini,

God is a God of hearts
 
Ni kweli na kuna kitu kinaitwa wakati wa Mungu ukifika huo hauna ubishi,
Ndoa ni taasisi pana sana wanaoingia kwenye ndoa lazima wawe watu wanaojielewa, we muache achague analoliona linamfaa siku ya mwisho mwenye maamuzi ni yeye

God is a God of hearts
 
Sasa kama hajaweka mambo yake sawa kwa nini anataka kumchafulia hali ya hewa mwenzake kama bado financial hayupo vizur bado anao muda wa kusubili na kumwambia mwenzake hili ajipange kwa kipindi kijacho lakini sio kumtandika limimba alafu amtelekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes ukiona msukumo ni mkubwa wa kutaka ndoa ujue kuna maslahi binafsi hapo

God is a God of hearts
 
Mie naona ni sahihi akaolewa tu hakuna kitu sio kizur kama zinaa
Kabisa aisee mana uyu binti yupo ndani ya mdundiko(ngoma) na keshaona mengi yanaendelea na uyu mpenzi wake mwisho wa siku kaona anamzingua tu kibaya zaidi kamwambia amzalie wakat hata barua ya posa hajamtolea kaona ni heri aolewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inawezekana ukawa upo sahihi,lakini issue hapa ni huu utaratibu wa mtu kutaka kupeleka posa kwao na hawafahamiani kabisa hajui tabia zake ?

Ndio tukawa tunajiuliza huu utaratibu wa kizamani bado upo, labda nikuulize Mkuu wewe unaweza kutaka kuoa binti usiyemfahamu kabisa?
NO kwa herufi kubwa, kwakweli hapo kwenye kuletewa posa pasipo kumtambua mlengwa haijakaa sawa siwezi hata siku moja kupeleka posa kwa mtu nisiemjua

Mimi nafikiri mtoa uzi aje aweke sawa hapa anaposema kuwa posa imeletwa je uyo mtu wanafahamiana before au ndio ule utaratibu wetu wa 78 bado upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine hatukuolewa kwa maslahi, na sio kila mtu anaolewa kwa maslahi, me nineolewa nikamilishe dini yangu na niliona n wakat sahihi kuingia ndoani ukiangalia nimeolewa na mtu nnayemfaham since way back kwa hiyo dhana hiyo ondoa
Sometimes ukiona msukumo ni mkubwa wa kutaka ndoa ujue kuna maslahi binafsi hapo

God is a God of hearts
 
Wengine hatukuolewa kwa maslahi, na sio kila mtu anaolewa kwa maslahi, me nineolewa nikamilishe dini yangu na niliona n wakat sahihi kuingia ndoani ukiangalia nimeolewa na mtu nnayemfaham since way back kwa hiyo dhana hiyo ondoa
Lakini unaweza ukawa unasumbua kuolewa bila vitisho vya kutaka kuolewa na mwingine kama ndugu yetu huyu hapa huoni hii imekaa kimaslahi zaidi,

God is a God of hearts
 
Wengine hatukuolewa kwa maslahi, na sio kila mtu anaolewa kwa maslahi, me nineolewa nikamilishe dini yangu na niliona n wakat sahihi kuingia ndoani ukiangalia nimeolewa na mtu nnayemfaham since way back kwa hiyo dhana hiyo ondoa
You ave been in marriage for how long? Share ur experience nae mwambie ndoa inahitaji nini, ndoa kuna changamoto zipi, ndoa ni nini. Wanawake msaidiane basi kuongeza utambuzi

God is a God of hearts
 
Ndoa yangu ni changa to be honest na s kua labda alienioa simfaham au kumjua vizur, of course ndoa s lele mama pia
You ave been i marriage for how long? Share ur experience nae mwambie ndoa inahitaji nini, ndoa kuna changamoto zipi, ndoa ni nini. Wanawake msaidiane basi kuongeza utambuzi

God is a God of hearts
 
Ndoa yangu ni changa to be honest na s kua labda alienioa simfaham au kumjua vizur, of course ndoa s lele mama pia
Bado you ave a long way to go... Ila mtambue ndoa ni baraka na ni mpango wa Mungu na sio shetani, wanawake wasio ndani ya ndoa wanatakiwa wasali sana ili Mungu azidi kumsogeza mtu wako kama chaguo lako..

God is a God of hearts
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom