I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,

UMEJARIBU KUMSHIRIKISHA DA' MANGE (HIDE MY ID) KATIKA HILI LABDA ?

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
You better be at crossroads rather than be confused?!

kutoka: 22D Arnold st.
 
Hivi jamani hao wanaume wanokuja mpaka nyumani kutoa posa wanapitiaga mitaa maalum tu na mikoa au tz nzima na viunga na mitaa yake na nyumba zote kwa wanawake wote?
Mi mbona sina hiyo bahati jamanii

Maskini mwajuma nazeeka mimi

Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pm pako wazi? Natafuta mchumba mimi. Niko serious(kwa kiswahili sijui inatamkwaje)
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku utawatafuta hao wachumba watatu wakuoe mke wa 12 na hutawaona wakati huo unaki toto mkononi Baba yake amesha kukataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia hili binti.

Huyo kijana hajawa tayari na hajaamua kuoa. Jitambue na usonge mbele, Anakupotezea muda.

Ukiacha hiyo fursa mwisho utajuta.
 
Dah,! ,haya ndio madhara ya kuwa na mahusiano kabla ya ndoa,, sehemu kama hiyo mwenyezi Mungu Ndo Hufanya Kazi ,ulianza mahusiano bila Mungu!, unataka umalize bila yeye,?,, maana huo sio utaratibu wake, ndoa sio jaribio, wengi wanatamani nafasi yako wafanye maamuzi sahihi! hujachelewa fanya toba ya kweli ,kulingana na imani yako , ruhusu Mungu afanye kazi hutojuta , Marriage To Be Real, Must Be Spiritually Based!
 
Maisha ya ndoa ni zaidi uwazavyo!
Wewe unaolewaje na mtu ambaye huna mahusiano naye halafu utegemee utaishi naye miaka yako yote iliyobaki?!

Huyo boyfriend wako kama hayuko serious na wewe unaweza kutulia na kuanza upya utampata mwenye mtapendana na muweke malengo! Sikushauri kabisaaa ukaolewe na mwanaume tuu kisa kaleta posa!

Tulia, muombe Mungu akuonyeshe mtu sahihi kwako! Pengine anaweza kuwa huyo boyfriend wako labda mipango yake haijawa sawa!
 
Confused of what? Iko wazi mmoja ni mzugaji mwingine ni muoaji.labda ungesema humpendi muoaji sawa..ila uko njia panda kwa vile bado unanogewa ila ukipigwa mimba ya juu kwa juu na huyo jamaa uataelewa.

Kama unataka ndoa fanya maamuzi sahihi sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom