fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,543
Karibu Sana Mama!
Karibu Sana Mama!
😂😂😂 Duh mkuu Bumunda dah umenikumbusha mbali sana la ndizi au!!MUME hakuna hapo...KUBALI POSA uolewe,,na hata huyo aliyeleta POSA USIMPE BUMUNDA hadi uhakikishe AMEOA,,maana vijana now TUNA MBINU NYINGI,,,anaweza akaleta POSA ukimpa PAPUCHI...anageuka SWALA,,,anarukaruka na MBIO nyingi,,,, usije UKAKOSA KOTE..MPE masharti,,,HUNIGUSI HADI NDOA....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aiseee
Sikuwahi kufikiria kama hili lingewezekana...Usituambie umeishi wapi hyo nje ya mada kabisa...Je unafikiri mdada wa miaka 23 ni mdogo kiasi kwamba asiolewe!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Utanikumbuka
How do you know the guy is not taking her seriously, dont judging his feelings
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ujinga akizaa haolewi asubiri kunangwa tuu!Hahaha hahaha
Mapenzi ya vijana wabichi dada, hayo ya kawaida kabisaaa!
Tena utakuta wanaambiana atakuwa na pua kama ya mamake!
Tukiwahi taabu, tukichelewa napo taabu na masimango juu[emoji134][emoji134]
Siku utawatafuta hao wachumba watatu wakuoe mke wa 12 na hutawaona wakati huo unaki toto mkononi Baba yake amesha kukataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari mwenzaTukiwahi taabu, tukichelewa napo taabu na masimango juu[emoji134][emoji134]
Kazi kwelikweli.
Maisha ya ndoa ni zaidi uwazavyo!
Wewe unaolewaje na mtu ambaye huna mahusiano naye halafu utegemee utaishi naye miaka yako yote iliyobaki?!
Huyo boyfriend wako kama hayuko serious na wewe unaweza kutulia na kuanza upya utampata mwenye mtapendana na muweke malengo! Sikushauri kabisaaa ukaolewe na mwanaume tuu kisa kaleta posa!
Tulia, muombe Mungu akuonyeshe mtu sahihi kwako! Pengine anaweza kuwa huyo boyfriend wako labda mipango yake haijawa sawa!
DahDarasani anafanya nini? Mtu wa miaka 23 anatakiwa awe amemaliza chuo mwaka jana mwezi wa 10.
Wewe ulicheleweshwa shule au ulifeli ukarudia au ukaenda diploma?
Wanawake mna nini lakini mnatuperekesha puta kama wajeshi, mapenzi sio vita, yani unataka kuolewa haraka haraka bila subira na kijana mwingine kisa ametaka amekutamkia anakuoa na huyu uliokaa nae miaka miwili kwenye uchumba unaona hafai, sioni sababu ya kukimbilia ndoa kama vipi subiri mwenzako ajipange uliweza kaa nae kipindi chofe hicho mpe muda, wanaume tunapenda tujipange kabla, inaonyesha ulikua unamsaliti maana huyu aliekuja umewezaje kumkubalia haraka ndoa, nakushauri hata ukae miaka 80 hujaolewa wait for the right time cha msingi uolewe na mtu sahihi pia, ndoa zina mambo wewe waulize walioingia kwenye ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanaume huwa hawamaanishi wanachokisema! Ingekuwa lengo ni mtoto angeshazaa hata kwingine! Pengine ni kumpima tu bidada uwezo wake wa kufikiri!!Sasa angetaka mtoto nje ya ndoa kama mipango haijakaa sawa? Means kulea anaweza ila kuoa ndio muda bado?
kikubwa kilichopo huyu dada hamuamini huyo anetaka wazae, na mm ntamshauri tu akae chin amchunguze akiemkubali kuolewa nae akiridhika sawa aolewe zinaa s nzuri ukiendekeza kama anajiona anastahili kua mke wa mtu aolewe hata hivo maisha yajayo hatujui yatakavokua anaweza wakataa wote wanaomposa kesho na kesho kutwa akose hata wa kumdanganyia kumuoa yote kwa yote yanawezekanaHawa wanaume huwa hawamaanishi wanachokisema! Ingekuwa lengo ni mtoto angeshazaa hata kwingine! Pengine ni kumpima tu bidada uwezo wake wa kufikiri!!
Mama yako aliolewa akiwa na miaka mingapi? Au hata alikuzaa wewe akiwa na miaka mingapi?Miaka 23 unakimbilia kuolewa? Ww si ulitakiwa uwe darasani mda huu? Jamani ccm imeharibu vijana wetu wengi sana...... Mungu walaani ccm na vizazi vyao vyote