I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

Unaweza kuta unalazimisha ndoa wakati jamaa bado hajajipanga kiuchumi hayo mamb ya kutuma posa bila kukubariana na mhusika wanayo ndugu zetu kina ustadhi,jamaa yangu ambae amekua akiishi njee ya mkoa nilipo kwa muda aliporud kavamia binti wa mtaa wa pili kuoa.Nikajisemea huyu atagongewa haswa.
 
Hivi unajua kwamba wewe ni maraya?
Unazani huyo boyfriend wako hajui tabia zako?
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.



Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake mna nini lakini mnatuperekesha puta kama wajeshi, mapenzi sio vita, yani unataka kuolewa haraka haraka bila subira na kijana mwingine kisa ametaka amekutamkia anakuoa na huyu uliokaa nae miaka miwili kwenye uchumba unaona hafai, sioni sababu ya kukimbilia ndoa kama vipi subiri mwenzako ajipange uliweza kaa nae kipindi chofe hicho mpe muda, wanaume tunapenda tujipange kabla, inaonyesha ulikua unamsaliti maana huyu aliekuja umewezaje kumkubalia haraka ndoa, nakushauri hata ukae miaka 80 hujaolewa wait for the right time cha msingi uolewe na mtu sahihi pia, ndoa zina mambo wewe waulize walioingia kwenye ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingawa nimeshauri vingine,i wish ningekua nimeolewa miaka hio yako..lol
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aiseee
 
Maisha ya ndoa ni zaidi uwazavyo!
Wewe unaolewaje na mtu ambaye huna mahusiano naye halafu utegemee utaishi naye miaka yako yote iliyobaki?!

Huyo boyfriend wako kama hayuko serious na wewe unaweza kutulia na kuanza upya utampata mwenye mtapendana na muweke malengo! Sikushauri kabisaaa ukaolewe na mwanaume tuu kisa kaleta posa!

Tulia, muombe Mungu akuonyeshe mtu sahihi kwako! Pengine anaweza kuwa huyo boyfriend wako labda mipango yake haijawa sawa!
On point, i like u buddy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mama Njerekela tulia ndoa ni parmanent decision now days kukata tiketi sio guarantee ya kusafiri.

Huyo jamaa anayekuposa unamfahamu vizuri? Je huoni kama ni ligi jamaa anataka aanzie fainali? Anyway mwisho wa siku angalia kati ya hao jamaa wawili ukitoa kigezo cha posa nani unampenda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom