Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Inawezekana bana. Amewazingua tu. Hao wanyama milioni 7 kawatoa wapi?Kisayansi...haiwezekani....
Mungu anaweza kufanya chochote beyond laws of nature. Ila kwa hili jamaa kaokota swali feki mtandaoni kalirusha huku akijua wengi hawako informed!Ila kwa MUNGU Hata vilivyobebwa ni vidogo...ingeweza kubeba inavyotaka MUNGU..sio mtu...nenda kasome story ya LWANDA MAGERE..jinsi alivyoweka lita 3000 kwenye kibuyu cha kubeba mkononi....shida yetu technologia yetu ipo low sana