Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,384
- 860,031
😂😂😂Holoholo-Baba Kijacho alianza mazoea na babe wangu wa humu jukwaani. Nilipomuendea kwa"Mtaalam" nilimgeuza kuwa Kunguru.
😂😂😂Holoholo-Baba Kijacho alianza mazoea na babe wangu wa humu jukwaani. Nilipomuendea kwa"Mtaalam" nilimgeuza kuwa Kunguru.
😀😀😀 kuna chale za ukoo kwa ajili ya mila na desturi na kuna chale za wataalam.. Sasa wengi husingizia ni chale za ukooDuuh kwahyo chale yoyote mzee...?
Mana kuna manzi nilimuona ana chale kama tatu hvi mgongoni sema anasema kuna kipindi alikuwa anaumwaga sana... Ila kuhusu kwenda sangoma alikataa
duh, mimi naweza pata mafuta ya simba nigejua mapemaEpuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
Mafuta ya simba mi ninayo yanafanyaje kaziEpuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
😂😂 hauchekelei maovuHoloholo-Baba Kijacho alianza mazoea na babe wangu wa humu jukwaani. Nilipomuendea kwa"Mtaalam" nilimgeuza kuwa Kunguru.
Kuna watu wanaenda kwa watalaamu kwa ajili ya kuwahiribia watu walio fanikiwa zaidi Yao au kwa ajili ya Kuwaua kabisa. Mfano kuna kijiji kinaitwa " ULYANGA" kipo kwenye mpaka wa mikoa ya Lindi na Morogoro, kuna mtaalamu wanawake wa Zanzibar na mjini Dar es salaam wanamtumia Sana kupora Waume za watu kichawi. Ni mganga ambassador anaua kabisa yani jina lako likipelekwa kushtakiwa kwake kama Leo basi kesho umezikwa ndugu yangu. Halafu kibaya zaidi ni kwamba uganga/uchawi wake anafanya bure yani mpaka ufanikiwe ndio unatoa shukurani ndio maana kilingeni kwake kuna mtiti wa watu ( washirikina) wanaenda kuroga watu.. Nilienda kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi.. Kwa washirikina wakubwa Tz wanapajua kwake kuna bundi wengi sana wa nafanya movements za kwenda na kurudi kama kituo cha ndege Airport. Akiruka bundi mmoja, hapo jua kuna mtu mmoja anaenda kufanya huko. Wakiruka bundi wawili basi jua ni watu wawili wanaenda kufa huko( probably mke na mume), kikiruka kikundi cha bundi basi jua kuna gari zima linaenda kudondoshwa huko kichawi ba watu wote wanaenda kufa.. .Habari zenu wana MMU naimani mko poa mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku.
Kwenye maisha kuna mambo mengi yanatokea unaeza ukawa umezaliwa kwene mazingira mazuri, umekuzwa kidini pasi na kujihusisha na ulozi lakini kadri unavyoendelea kuishi watu wanaku-shape kutokana na tabia zao, husda na chuki, unajikuta umeingia huko.
Kitambo sikuwahi kuwaza mambo kama haya kwa upande chanya lakini kadri ninavyokua na ninayokutana nayo, taratibu naanza kuwaelewa watu kwanini wanaenda kwa wataalamu.
Wapo wanaoenda kutafuta, wapo wanaoenda kujilinda lakini pia wapo wanaoenda kuangalia tu ramani za miili yao zimekaaje maana kuna watu hawahitaji sababu ya kukufanyia ubaya.
Wewe ilikuwaje ukaenda kwa mtaalamu? Na ulivyokuwa mwanzo na baada ya kwenda huko mambo yana tofauti gani? Kama una uwezo kwa kushare contact za wataalamu, pia tusaidiane.
Itoshe kusema, hawa wataalamu wamekuwa na msaada mkubwa sana kwa watu tofauti tofauti lakini wachache sana wanakiri na kuthamini uwepo wao.
Faida gani au msaada gani umeuona kwao na wakati huna experience nao??Habari zenu wana MMU naimani mko poa mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku.
Kwenye maisha kuna mambo mengi yanatokea unaeza ukawa umezaliwa kwene mazingira mazuri, umekuzwa kidini pasi na kujihusisha na ulozi lakini kadri unavyoendelea kuishi watu wanaku-shape kutokana na tabia zao, husda na chuki, unajikuta umeingia huko.
Kitambo sikuwahi kuwaza mambo kama haya kwa upande chanya lakini kadri ninavyokua na ninayokutana nayo, taratibu naanza kuwaelewa watu kwanini wanaenda kwa wataalamu.
Wapo wanaoenda kutafuta, wapo wanaoenda kujilinda lakini pia wapo wanaoenda kuangalia tu ramani za miili yao zimekaaje maana kuna watu hawahitaji sababu ya kukufanyia ubaya.
Wewe ilikuwaje ukaenda kwa mtaalamu? Na ulivyokuwa mwanzo na baada ya kwenda huko mambo yana tofauti gani? Kama una uwezo kwa kushare contact za wataalamu, pia tusaidiane.
Itoshe kusema, hawa wataalamu wamekuwa na msaada mkubwa sana kwa watu tofauti tofauti lakini wachache sana wanakiri na kuthamini uwepo wao.
Mafuta ya simba yanapatikana wapi mkuu? Na yanasaidia nini?Epuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
Aje inbox nisaidie nduguPapaaa mukuubwaaa huyu hapa mganga wa jf,
Ndio njoo inboxAsante kumbe kuna uwezekano wa kujifunza pia!, naomba kujuzwa inawezekana kujikinga bila kuchanjwa
Sina ChaleAsilimia chache sana ya waafrika ambao hawajachanjwa. Watu wanachale tangu utotoni unakuja kuziona ukubwani. Unauliza unaambiwa ni dawa ulikua unaumwa. Kumbe mihuri moto
Njoo inbox nikusaidieAsante nmekumbuka kipindi nakua familia yetu iliandamwa sana na ulozi ikabidi mzee ashughulikie hili swala, akaitwa mtaalamu akaja akafanya yake akachanja wote ila mi nilikimbia kiukweli hua sipendwi kuchanjwa toka mdogo, na majanga yananiandama mimi sana tofauti na wenzangu
Asante sana kunitag niwasaidie wa TANZANIA wenzetu kwenye safari ya maisha yao.Papaaa mukuubwaaa huyu hapa mganga wa jf,
Unaweza futa kiroho njoo inbox.Tuliojikuta na chale ukubwani inatustress sana tukijcheki kwa Muumba tumejishkiza tu hatuna connection nae kiivyo. Wazee wa afrika wametuingiza kwenye vitu zao sana hizi gps.
Kuna2.Hivi kaka mkubwa samahani,, kwani kila mtu anayepitia magumu kuna namna kitu kimefanyika? Mimi nikajua ni nature tu inatokea mtu hana mbele wala nyuma ila hajarogwa wala nini! Sasa mleta mada anahisi changamoto anazopitia zimeletwa na mtu/watu si ndio? Kwahivyo anataka kuaguliwa na waganga! Kwani haiwezekani tu mtu kuwa kapuku bila kuhisi kafungwa asifanikiwe?
Lazima ujipake siku Saba, je ukijipaka siku 8?Epuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
Ukamtapeli huko uje kunijumuisha sio?Aje inbox nisaidie ndugu
Nimejibu kwa post ya juu ila njoo inboxHivi chale huwa zinaweza kufutwa?