Ilikuwaje ukaenda kwa 'mtaalamu'?

Ilikuwaje ukaenda kwa 'mtaalamu'?

Pombe kwetu kitamaduni ni kinywaji kitakatifu , achana na hayo mavijana ya sasa yanakunywa pombe chafu mpaka wanaota funza😅

Waganga uchagani kwa sasa wapo mmoja mmoja kibosho na rombo na ni majambazi tu😅 waganga wangi wanakula kwenye migongo ya vilaza tu
konyagi inawezaje kuwa chakula na imeandikwa kinywaji safi
 
binafsi naangalia sana mapito yangu zamani na sasa, Kuna shughuli zingine huwa ziko wazi ukifanya vizuri unapata zaidi
Unajua maendeleo ya teknolojia na harakati za maisha vimetukosesha vingi vizuri
Wengi siku hizi hawajaandaliwa kimaisha hivyo hawajui mengi.. Lakini kwenye maisha kuna vipindi vya kuanguka na kukutana na magumu mengi.. Na ndio hapo matapeli huingilia kati
Waganga feki
Manabii feki
Mitume feki nk
 
Unapigania chama mno😅 wapare uganga wenu ni wakuuza ngetwa kwa kutibu magonjwa 320😅
 
ni kweli kwene maisha yana kupanda na kushuka ila kuna mambo nje ya kupanda na kushuka yapo
 
Unapigania chama mno😅 wapare uganga wenu ni wakuuza ngetwa kwa kutibu magonjwa 320😅
 
Nilisha usoma , nyuzi zako zote lazima nizisome bwashee 😅
 
Back
Top Bottom