Ilikuwaje ukaenda kwa 'mtaalamu'?

Ilikuwaje ukaenda kwa 'mtaalamu'?

Jikague vizuri kwanza tena jikague vizuri wewe wachaga. Walitangulia sana
Wachaga wengi wasasa na wao wamekuwa wajinga wajinga tu , mara pesa za majini , mara misukule , uchagani miaka hiyo , hakuna mganga hata mmoja unauza kahawa yako KNCU unaona pesa yako, walio kuwa na imani hizi waliwafuata waganga kilindi Tanga.
 
Tafsiri ya chale kiroho inategemea sana imani, utamaduni, na mazingira ambamo chale hizo zimefanywa. Katika mtazamo wa kiroho, chale huonekana kama alama ya agano, wakfu, au mawasiliano kati ya ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.

tafsiri kuu za kiroho:1. Alama ya Agano na WakfuKiroho, chale huchukuliwa kama "muhuri." Unapochajwa chale, unakuwa umewekwa wakfu (dedicated) kwa roho fulani, iwe ni roho za mababu, majini, au nguvu nyingine za giza. Damu inayotoka wakati wa kuchanjwa hutumika kama kiungo cha kuunganisha mtu na ulimwengu wa roho.
Tuliojikuta na chale ukubwani inatustress sana tukijcheki kwa Muumba tumejishkiza tu hatuna connection nae kiivyo. Wazee wa afrika wametuingiza kwenye vitu zao sana hizi gps.
 
Epuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula

Wese la simba? Masiala hayo !!
wese la simba ni dawa ya mambo mengi sana
 
Asante nmekumbuka kipindi nakua familia yetu iliandamwa sana na ulozi ikabidi mzee ashughulikie hili swala, akaitwa mtaalamu akaja akafanya yake akachanja wote ila mi nilikimbia kiukweli hua sipendwi kuchanjwa toka mdogo, na majanga yananiandama mimi sana tofauti na wenzangu
Chale zina mengi sana..

Udhibiti na Mawasiliano (Chale za Kichawi)Katika imani za kishirikina, chale huaminika kutumika kama "minara ya mawasiliano".

1.Ufuatiliaji:
Baadhi ya chale huaminika kufanya kazi kama "CCTV," ambapo mchawi anaweza kuona kila unachofanya.

2.Uzuiaji:
Zinaweza kutumika kudhibiti hatua zako za kimaisha, kama vile biashara, safari, au mahusiano.

3. Kinga na Tiba za Kienyeji
Watu wengi huchanjwa chale kwa lengo la kupata kinga dhidi ya mashambulizi ya kishirikina au kutibu magonjwa ambayo yanaaminika kusababishwa na nguvu za giza.
Hata hivyo, viongozi wengi wa kidini wanaonya kuwa huku ni kujiingiza kwenye "kafara za mashetani"

4. Mtazamo wa Biblia
Biblia inatoa onyo kali kuhusu kuchanja chale, ikihusisha tendo hilo na ibada za wafu na kutoheshimu mwili kama hekalu la Mungu:Walawi 19:28: Inakataza waziwazi kuchanja chale mwilini kwa ajili ya wafu.

Agano Jipya:
Ingawa halizungumzii chale moja kwa moja kama sheria, linasisitiza kuwa mwili ni hekalu la Roho Mtakatifu na unapaswa kutumiwa kwa utukufu wa Mungu

5. Chale Katika Ndoto
Ukiota unachanjwa chale, mara nyingi huchukuliwa kama ishara ya:Shambulio la kiroho au jaribio la kuingizwa kwenye agano usilolijua.Kupoteza mamlaka yako ya kiroho kwa adui.
 
Wachaga wengi wasasa na wao wamekuwa wajinga wajinga tu , mara pesa za majini , mara misukule , uchagani miaka hiyo , hakuna mganga hata mmoja unauza kahawa yako KNCU unaona pesa yako, walio kuwa na imani hizi waliwafuata waganga kilindi Tanga.
Hapa ndio unajifanya unakoleza hoja sio, ila swala la kuwapa watoto wadogoo pombe ni kawaida tu 🤣🤣🤣🤣.
 
Tafsiri ya chale kiroho inategemea sana imani, utamaduni, na mazingira ambamo chale hizo zimefanywa. Katika mtazamo wa kiroho, chale huonekana kama alama ya agano, wakfu, au mawasiliano kati ya ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.

tafsiri kuu za kiroho:1. Alama ya Agano na WakfuKiroho, chale huchukuliwa kama "muhuri." Unapochajwa chale, unakuwa umewekwa wakfu (dedicated) kwa roho fulani, iwe ni roho za mababu, majini, au nguvu nyingine za giza. Damu inayotoka wakati wa kuchanjwa hutumika kama kiungo cha kuunganisha mtu na ulimwengu wa roho.
Hivi kaka mkubwa samahani,, kwani kila mtu anayepitia magumu kuna namna kitu kimefanyika? Mimi nikajua ni nature tu inatokea mtu hana mbele wala nyuma ila hajarogwa wala nini! Sasa mleta mada anahisi changamoto anazopitia zimeletwa na mtu/watu si ndio? Kwahivyo anataka kuaguliwa na waganga! Kwani haiwezekani tu mtu kuwa kapuku bila kuhisi kafungwa asifanikiwe?
 
Pombe kwetu kitamaduni ni kinywaji kitakatifu , achana na hayo mavijana ya sasa yanakunywa pombe chafu mpaka wanaota funza😅

Waganga uchagani kwa sasa wapo mmoja mmoja kibosho na rombo na ni majambazi tu😅 waganga wangi wanakula kwenye migongo ya vilaza tu
 
Asante sana kuna watu wengi wanakubali kuchanjwa pasipo kujua maana yake, binafsi ningezijua dawa za asili ningejisaidia bila haya madamu na maagano kuna kipindi niliwahi kupata mafuta ya simba lakini sikuwahi kujua uzito wake
 
Wachaga wengi wasasa na wao wamekuwa wajinga wajinga tu , mara pesa za majini , mara misukule , uchagani miaka hiyo , hakuna mganga hata mmoja unauza kahawa yako KNCU unaona pesa yako, walio kuwa na imani hizi waliwafuata waganga kilindi Tanga.
Ukiona hivyo jua fani imeingiliwa.. Makanjanja wapo kila kona.. Walozi wa Facebook😂
 
Hivi kaka mkubwa samahani,, kwani kila mtu anayepitia magumu kuna namna kitu kimefanyika? Mimi nikajua ni nature tu inatokea mtu hana mbele wala nyuma ila hajarogwa wala nini! Sasa mleta mada anahisi changamoto anazopitia zimeletwa na mtu/watu si ndio? Kwahivyo anataka kuaguliwa na waganga! Kwani haiwezekani tu mtu kuwa kapuku bila kuhisi kafungwa asifanikiwe?
 
Pombe kwetu kitamaduni ni kinywaji kitakatifu , achana na hayo mavijana ya sasa yanakunywa pombe chafu mpaka wanaota funza😅

Waganga uchagani kwa sasa wapo mmoja mmoja kibosho na rombo na ni majambazi tu😅 waganga wangi wanakula kwenye migongo ya vilaza tu
Napendaga unavyotumia akili zako zote na za akiba kutetea Pombe wewe ni hazina kubwa ya TBL na TDL na wenzao.,🤣🤣
 
Hivi kaka mkubwa samahani,, kwani kila mtu anayepitia magumu kuna namna kitu kimefanyika? Mimi nikajua ni nature tu inatokea mtu hana mbele wala nyuma ila hajarogwa wala nini! Sasa mleta mada anahisi changamoto anazopitia zimeletwa na mtu/watu si ndio? Kwahivyo anataka kuaguliwa na waganga! Kwani haiwezekani tu mtu kuwa kapuku bila kuhisi kafungwa asifanikiwe?
Naomba niweke link za mada mbili zenye ufafanuzi wa kutosha

Thread 'Miaka ya neema, miaka ya uharibifu' Miaka ya neema, miaka ya uharibifu
 
Hivi kaka mkubwa samahani,, kwani kila mtu anayepitia magumu kuna namna kitu kimefanyika? Mimi nikajua ni nature tu inatokea mtu hana mbele wala nyuma ila hajarogwa wala nini! Sasa mleta mada anahisi changamoto anazopitia zimeletwa na mtu/watu si ndio? Kwahivyo anataka kuaguliwa na waganga! Kwani haiwezekani tu mtu kuwa kapuku bila kuhisi kafungwa asifanikiwe?
Kuna familia zina laana ya asili | Page 31 | JamiiForums Kuna familia zina laana ya asili
 
Back
Top Bottom