Ilikuwaje ukaenda kwa 'mtaalamu'?

Ilikuwaje ukaenda kwa 'mtaalamu'?

Tafsiri ya chale kiroho inategemea sana imani, utamaduni, na mazingira ambamo chale hizo zimefanywa. Katika mtazamo wa kiroho, chale huonekana kama alama ya agano, wakfu, au mawasiliano kati ya ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.

tafsiri kuu za kiroho:1. Alama ya Agano na WakfuKiroho, chale huchukuliwa kama "muhuri." Unapochajwa chale, unakuwa umewekwa wakfu (dedicated) kwa roho fulani, iwe ni roho za mababu, majini, au nguvu nyingine za giza. Damu inayotoka wakati wa kuchanjwa hutumika kama kiungo cha kuunganisha mtu na ulimwengu wa roho.
Duuh kwahyo chale yoyote mzee...?

Mana kuna manzi nilimuona ana chale kama tatu hvi mgongoni sema anasema kuna kipindi alikuwa anaumwaga sana... Ila kuhusu kwenda sangoma alikataa
 
Epuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
Hii kinga ya mafuta ya simba watumie watu ambao tayari wapo kwenye system ya vyeo, wana miradi ambayo inawahitaji kusimamia watu, kiufupi wawe tayari wamejipaga na wanahitaji kuheshimika na kulinda walichonacho.

Ila kwa anayejitafuta kutumia mafuta ya simba ni kujizibia connections tu, unakuwa mtu unayeogopeka kila unapoingia sehemu bila sababu na mfukoni huna lolote.
 
Duuh kwahyo chale yoyote mzee...?

Mana kuna manzi nilimuona ana chale kama tatu hvi mgongoni sema anasema kuna kipindi alikuwa anaumwaga sana... Ila kuhusu kwenda sangoma alikataa
Ulitaka akubali tu kisahisi.? We tafuta mwanamke yoyote mwenye chale ni lazima asingizie kuwa alikuwa anaumwa sana.
 
Back
Top Bottom