Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Haingii akilini Agness kutibiwa kwenye hiyo Hospital......
Kwan Agnes ninan wewe Mkuu?inamana unamthamini Sana mpk asitibiwe kweny hiyo hospital ya vichochoron?haijalishi Mkuu uwe maruf kias gan kinachomatter ni what you did Kwa ajil ya muumba wako,kafa hyo maisha yanaenda kama umarufu wake ni neema mbona kafa?Acha kuwaza mgando wewe
 
Ameondolewa kama alivyoondolewa Stan Katabalo, kama alivyoondolewa Mpakanjia na mkewe Amina.
 
Kuna kitu kinaendelea lakini bado hakijawa wazi sana. Ngoja mshtuko wa habari za kifo utulie... Kuna mengi yatajitokeza.

Wiki iliyopita kuna binti aliuawa gesti Chalinze... ALINYONGWA.... Lakini muda mchache kabla ya mauaji kufanyika alipigiwa simu na ndugu yake wakati wauaji wakiwa tayari chumbani kwake... Akiwasiliana kilugha na huyo ndugu yake alimwambia kuna wanawake wanne wamemvamia chumbani lakini watatu anawafahamu.

Baada ya hapo simu zake hazikupatikana tena! Maiti yake iligundulika siku ya pili. Katika kufuatilia undani wake ikaonekana alikuwa kwenye mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya. Na kulikuwa na tatizo kati yake na hao wauaji wake.

Hii ilitokana na mawasiliano yaliyofumwa kwenye simu yake
Mchana wa siku aliyouliwa kulikuwa na majibizano kwa njia ya maandishi
Yeye aliandika kuwa kwakuwa wao wamemwaga mboga basi yeye atatoboa sufuria kabisa naye akajibiwa kuwa hatasubiri afanye hivyo watamfuata huko huko juu.

Baada ya mazishi kaka yake mmoja akapigiwa simu kupewa pole na kuambiwa kila kilichotokea pale msibani mpaka kuzika. (Kwahiyo wauaji walikuwepo msibani) kisha akaambiwa kuwa MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.

Baada ya kama siku tatu za mauti yake binti mwingine akakutwa kauliwa kwa kuchomwa visu mwili mzima (alikuja Kutambuliwa kama mmojawapo aliyeshiriki mauaji ya kwanza), na mwingine naye akaponea chupuchupu akiwa keshakula visu vya kutosha na sasa hajulikani alipo.

Scenario nzima inaonesha ni mauaji ya visasi kati ya makundi mawili na kuna kitu kikubwa kinafichwa!!!!

Ni vigumu kwasasa kulink kifo cha Agnes na hayo mauaji mengine lakini tayari kuna watu wameshaanza kutuhumiwa.

Agnes Masogange amekuja kuwa maarufu zaidi baada ya kuja kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya. Tuhuma dhidi ya madawa ya kulevya zilipelekea akamatwe na kufunguliwa kesi.

Ni juzi tu hapa mwezi uliopita alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini au kifungo. Alinusurika kifungo kwa kulipa faini iliyolalamikiwa na wengi
Mabush lawyer wengi walisema kuwa kesi kama ile kama huna watu wazito nyuma yako unaondoka na maji.

Kwanini kifo chake kimeacha mashaka!?
Mitandao ya hizi biashara haramu., haipatani kabisa na kitu kinaitwa polisi... Kwa baadhi ya nchi watuhumiwa hufuatwa na kuuliwa huko huko jela au mahabusu.

Masogange akiwa tayari kwenye spotlight ya polisi... Nini ingekuwa future yake!? Kumbuka ni vigumu tena kumtumia kwenye hiyo biashara.. Tayari ana file.. Hivyo keshakuwa ndege mweupe!

Lakini je anafahamu mangapi!? Je hawezi kuropoka?
Je, ni nani aliyekuwa tayari kugharamia maisha yake ya anasa wakati sasa hawezi tena kuzalisha!?
Risk ni zipi akiachwa hai?
Risk ni zipi akinyamazishwa!!?

Je, baada ya kesi kwisha alikuwa na madai kwa washirika wake kibiashara!?
Kifo hupangwa na Mungu kwa wale waamini. Lakini nyuma yake kuna sababu za kifo. Naamini siku moja ukweli utajulikana.

RIP ⚰ Agnes!
Ukishaingia kwenye mtandao huu basi jua hakuna siku utasema unastaafu ukabaki salaama. Naikumbuka kauli ya mwakyembe kipindi kile yeye ndiye wazir wa sheria alisema anashangaa kiburi alichonacho Aggy sijui anakitoa wapi .sasa naona drug lords wamefanya yao wasianikwe na nahisi kuna watu wa mfumo walimtumia binti huyu
 
Ndugu yetu Mshana Jr, uwezekano wa hicho unachofikiria ni mdogo sana. Sababu kuu ya vifo vya aina hiyo kwa viumbe wa kike wenye umri kama huo asilimia zaidi ya 90% ni gynaecological, hasa ectopic pregnancies and septic abortions. This is highly supported na dalili kama hizo za kuishiwa damu na homa. Kubana pumzi ni terminal event inayoweza kusababishwa sawia na pulmonary embolism. Ugonjwa wa mtu unabaki kuwa siri kati ya mgonjwa/ marehemu na daktari wake. Wengine hawapaswi kujua isipokuwa kwa amri ya mahakama.
Mkuu umeniacha kapa,ngoja trh 26 ipite niingie google kujisomea
 
Kwan Agnes ninan wewe Mkuu?inamana unamthamini Sana mpk asitibiwe kweny hiyo hospital ya vichochoron?haijalishi Mkuu uwe maruf kias gan kinachomatter ni what you did Kwa ajil ya muumba wako,kafa hyo maisha yanaenda kama umarufu wake ni neema mbona kafa?Acha kuwaza mgando wewe
you quote me wrongly binafsi sizungumzii yeye ni nani.......by the way mimi si nani lakini siwezi kwenda kutibiwa pale because i know
 
Ahaa,,,bas ainashida Mkuu,ningependa unambiee hiyo hospital inanini ili namimi njue na kwa faida ya wengine pia mkuu
 
UNAJUA DUNIA YA SASA UNAKWENDA KWENYE HOSPITAL AFU UNAAMBIWA CT SCAN KAPIME WAPI SIJUI ,HARAFU MRI KAPIME WAPI SIJUI AFU WA COMBAIN VIPIMO AFU UTIBIWE SASA HAPO NI TIBA?
 
Mjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Maandamano yamekujaje hapa!!?? Hizi smartphone wanamiliki wenye akili na wengine ndo hivyo...
 
namna pekee ya kusolve "blown cover" agents ni kuwaua? kuna more than that nyuma ya pazia maana ashajulikana tokea muda kuhusu biashara yake hiyo the real question is "WHY NOW"??
R.I.P Agness
Hivi ni kweli kabla umauti haujamfika alimpigia Baba simu kwamba anakufa....... Inawezekana alipewa hiyo nafasi kabla hajakaushwa au......
 
Kuna kitu kinaendelea lakini bado hakijawa wazi sana. Ngoja mshtuko wa habari za kifo utulie... Kuna mengi yatajitokeza.

Wiki iliyopita kuna binti aliuawa gesti Chalinze... ALINYONGWA.... Lakini muda mchache kabla ya mauaji kufanyika alipigiwa simu na ndugu yake wakati wauaji wakiwa tayari chumbani kwake... Akiwasiliana kilugha na huyo ndugu yake alimwambia kuna wanawake wanne wamemvamia chumbani lakini watatu anawafahamu.

Baada ya hapo simu zake hazikupatikana tena! Maiti yake iligundulika siku ya pili. Katika kufuatilia undani wake ikaonekana alikuwa kwenye mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya. Na kulikuwa na tatizo kati yake na hao wauaji wake.

Hii ilitokana na mawasiliano yaliyofumwa kwenye simu yake
Mchana wa siku aliyouliwa kulikuwa na majibizano kwa njia ya maandishi
Yeye aliandika kuwa kwakuwa wao wamemwaga mboga basi yeye atatoboa sufuria kabisa naye akajibiwa kuwa hatasubiri afanye hivyo watamfuata huko huko juu.

Baada ya mazishi kaka yake mmoja akapigiwa simu kupewa pole na kuambiwa kila kilichotokea pale msibani mpaka kuzika. (Kwahiyo wauaji walikuwepo msibani) kisha akaambiwa kuwa MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.

Baada ya kama siku tatu za mauti yake binti mwingine akakutwa kauliwa kwa kuchomwa visu mwili mzima (alikuja Kutambuliwa kama mmojawapo aliyeshiriki mauaji ya kwanza), na mwingine naye akaponea chupuchupu akiwa keshakula visu vya kutosha na sasa hajulikani alipo.

Scenario nzima inaonesha ni mauaji ya visasi kati ya makundi mawili na kuna kitu kikubwa kinafichwa!!!!

Ni vigumu kwasasa kulink kifo cha Agnes na hayo mauaji mengine lakini tayari kuna watu wameshaanza kutuhumiwa.

Agnes Masogange amekuja kuwa maarufu zaidi baada ya kuja kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya. Tuhuma dhidi ya madawa ya kulevya zilipelekea akamatwe na kufunguliwa kesi.

Ni juzi tu hapa mwezi uliopita alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini au kifungo. Alinusurika kifungo kwa kulipa faini iliyolalamikiwa na wengi
Mabush lawyer wengi walisema kuwa kesi kama ile kama huna watu wazito nyuma yako unaondoka na maji.

Kwanini kifo chake kimeacha mashaka!?
Mitandao ya hizi biashara haramu., haipatani kabisa na kitu kinaitwa polisi... Kwa baadhi ya nchi watuhumiwa hufuatwa na kuuliwa huko huko jela au mahabusu.

Masogange akiwa tayari kwenye spotlight ya polisi... Nini ingekuwa future yake!? Kumbuka ni vigumu tena kumtumia kwenye hiyo biashara.. Tayari ana file.. Hivyo keshakuwa ndege mweupe!

Lakini je anafahamu mangapi!? Je hawezi kuropoka?
Je, ni nani aliyekuwa tayari kugharamia maisha yake ya anasa wakati sasa hawezi tena kuzalisha!?
Risk ni zipi akiachwa hai?
Risk ni zipi akinyamazishwa!!?

Je, baada ya kesi kwisha alikuwa na madai kwa washirika wake kibiashara!?
Kifo hupangwa na Mungu kwa wale waamini. Lakini nyuma yake kuna sababu za kifo. Naamini siku moja ukweli utajulikana.

RIP Agnes!
Mshana, arest in peace kivipi sasa?
 
Hivi ni kweli kabla umauti haujamfika alimpigia Baba simu kwamba anakufa....... Inawezekana alipewa hiyo nafasi kabla hajakaushwa au......
Alikijua kifo chake kabla, hajafa kifo cha kawaida
 
Back
Top Bottom