Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Masogange ame dominate asilimia 85 ya mjadala wote je tunaweza kubadili gia sasa? Kuna watu wameuliwa live... Achana na huyu ambaye chanzo cha kifo chake kina assumptions nyingi
 
Mkuu Mshana Jr tukiachana na hizo habari za ngada kuna jamaa anaitwa Avicii alikuwa ni mwanamuziki Dj maarufu kutoka huko Sweden.

Huyu jamaa pia amefariki jana huko Muscat Oman, yani amefariki tarehe moja na Masogange ila cha kushangaza pia wamezaliwa tarehe moja pia,,

Unaliongeleaje hili?
 
Attachments

  • IMG-20180420-WA0009.jpg
    IMG-20180420-WA0009.jpg
    41.1 KB · Views: 50
Mkuu Mshana Jr tukiachana na hizo habari za ngada kuna jamaa anaitwa Avicii alikuwa ni mwanamuziki Dj maarufu kutoka huko Sweden.

Huyu jamaa pia amefariki jana huko Muscat Oman, yani amefariki tarehe moja na Masogange ila cha kushangaza pia wamezaliwa tarehe moja pia,,

Unaliongeleaje hili?
Mmh aisee nadhani tuna mada yake humu ndani ngoja niicheki
 
Mshana katoa fact and fiction zake na hakuconclude. Wewe msomaji utajaza. Jiulize huyu binti alikosa pesa za kwenda Kairuki, Agha Khan, Muhimbili kuongezewa damu hata angepigia simu watu kumi si wangekwenda kumpeleka na angekosa damu fasta? Pneumonia inatibika especially kwa kijana kama yule siyo mtoto wa miaka mitatu au mzee wa miaka 90.
Kweli kabisa. Huyu binti na mipicha yote na kujigamba kote anakufa kizembe zaidi ya aliyegongwa na toyo? Masogange ni wakulazwa kwa mama Ngoma? Hazijui hosp kubwa au pesa hakuna maana mpaka mazishi anachangiwa. Tujifunze vijana ujana maji ya moto.
 
Used n dumped...!!!
 
Na asingekufa huyu angekuwa teja balaa mpaka masoro wangemgegeda.
 
pengine alipewa ile hukumu kwa makubaliano fulani ya kufichua mtandao wa madawa..mimi pia bado nina mashaka kama kifo chake ni cha kawaida!
Au kwa mission kuwa kummaliza gerezani ni hatari zaidi kuliko huku uraiani.
 
Subiri sikukuu ipite ile ya Muunganiko wa kaya mbili
Natega macho mkuu. Kaka mshana, hii habari anayoiandika mkuu Chahal Evarist inanitisha sana. Natamani unipe uchambuzi japo kidogo. Naomba kwako kwa sababu ya imani yangu kwako.
 
Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.
What? Typhoid?

Weka ID namba ya clinical laboratory ambayo ina repoted result kuwa alikuwa na Typhoid.

Laa sivo bora ukae kimya kama hujui tu.
 
Za kuambiwa changanya na zako. Hivi kweli kwa status aliyokuwa nayo Agnes ilishindikana kupatikana damu ya kumuongezea?
Status za Instagram mbaya sana.... Watu wanaonekana big time.. Kumbe hakuna kitu kabisa
 
namna pekee ya kusolve "blown cover" agents ni kuwaua? kuna more than that nyuma ya pazia maana ashajulikana tokea muda kuhusu biashara yake hiyo the real question is "WHY NOW"??
R.I.P Agness
Inawekana ilikuwa inasubiriwa hukumu ili vumbi likitulia wafanye yao. Wacha niendelee na biashara yangu ya njegere.
 
Back
Top Bottom