Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.

Mara pneumonia , mara typhoid ,mara pumu ....duh
 
Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.
Alilazwa cku nyingi halafu afe kwa typhoid !
 
Tangu nilipozisikia habar za kifo cha Agynes,nilijaribu kutengeneza hypotheses zifuatazo;
1.Huenda ameuawa na watu wa mtandao aliokuwa akiufanyia kazi
Hapa wengi labda ni vigogo wa vyama na serikali so,wanaona wakitajwa hali inaweza kuwa mbaya kwao kisiasa na kibiashara

2.Huenda alikuwa na gonjwa la kizungu so,akaona akienda kulazawa kwenye Hosp' kubwa kama Muhimbili au Agakhan newz zinaweza ku-leak mapema na yeye hakupenda jambo...pia yaweza kuwa watu wa mtandao walimpeleka kwenye Hosp'ya uchochoroni ili iwe rahsi kummaliza
3.Akiwa anafanya biashara ya kubeba poda huenda alipata madhara makubwa hasa kwenye utumbo na hivyo kupelekea duodenum disorder ambayo pengine ndyo iliyopelekea kifo chake
4.Huenda ni stress baada ya kuingia kwenye manoma na kukosa fedha huku jamii ikiwa ina mtazama kwa macho mabaya

Mwisho;Mungu ndye anayefaham ukweli wa kifo chake coz we are all attempting an intelligence guessing!
MKUU HOSPITAL ALIYOKUWA NI KATI YA HOSPITAL ZENYE HESHIMA KUBWA SANA KWA DSM NA NIKARIBU NA ALIKOKUWA ANAISHI, KWA HIYO SI HOSPITAL YA UCHOCHORONI.
 
Sasa wewe unadhani kwa scenario aliyoleta uzi, akujisogeza kwenye ibada kuna maana gani kwa wafanya biashara wenzie! hebu tumia akili kidogo.
 
k
Dr. Akili, huyu Agnes alikuwa na uwezo wa kutoa mimba hata South Africa siyo mtu wa kutoa mimba vichochoroni. Kwa nini alikwenda kwenye hospitali za vichochoroni?


Hilo swali labda aulizwe marehemu mwenyewe.

Kama unasema alienda mwenyewe unahoji nini tena..?
 
Back
Top Bottom