Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Huyu jamaa ndo anajua kuzicheza.
Huyu ndo kazaliwa kwa biashara hizi sio hawa wengne wanafuata mikumbo tu.

Ukitaka ufanye biashara hizi kuwa mafia na ujipange kimkakati na ujue mambo yakiharibika ufanye nini ukwepane na hawa jamaa na usiwepo kwenye Target yao endapo mambo yamekuharbikia.
Ndo maana unakuta wengne mambo yakiharbka wanasepa fasta mjini wanaenda kuanza maisha yao mapya mikoa mingne tena vijijini tanzania kubwa sanaaaa hii....

Kama mimi kuna sehemu Tanzania hii hii nikikupeleka sehemu unaweza hisi haupo tanzania kumbe upo tanzania na unaanza maisha yako mapya na unabadr kila kitu ili kupoteza Target zao.

Ukiingia huko unaingia kwenye UMAFIA UMAFIANI
kumbeeee... Endelea kufafanua bosi.
 
Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.
Hujamuelewa Mshana.
Issue ni kwamba hao waliokuwa wanamtumia ni kwa namna gani watakuwa assured kuwa asingeweza kutoa siri zao???? Kumbuka kwamba hawana utulivu katika biashara zao maana msako mkali bado unaendelea soo ni lazina wanajiuliza ni nani analikisha baadhi ya information?? Hata kama Aggy alishaacha kufanya biashara hizo ni lazima wanamshuku tuu.
 
duuh hii habari inaonesha umeandika usiku wa saa kumi........aiseee.......ila bado sielew why umewaza hvo wakat mtu hakufika hospital gafla bali aliumwa ile kawaida akapelekwa akalazwa na bahati mbaya ndo mahuti yakamkuta huko.
 
Mtu alilazwa kisa typhoid na kupungukiwa damu.

Naamini hata ripoti ya post mortem bado.

Naamini hakuna aliyeiona.

Kisha unakuja uzi wa kulink kifo cha typhoid na drug dealing.

Amejulikana tangu enzi za Ngwea kufia South.

Kama aliwataja wangekua wameshakamatwa.

Let's not feed over deaths
 
Nimekuelewa sana na nadhani upo sahihi. Kifo anapanga Mungu ila vipo vifo vingine lazima tujiulize kidogo. Halaf katika kupita pita mitandaoni yasemekana alikuwa anasumbuliwa na pumu ugonjwa ambao hakuwahi kuwa nao kabla......
Mpaka sasa haijulikani hasa chanzo cha kifo chake.. Speculations ni nyingi sana
 
duuh hii habari inaonesha umeandika usiku wa saa kumi........aiseee.......ila bado sielew why umewaza hvo wakat mtu hakufika hospital gafla bali aliumwa ile kawaida akapelekwa akalazwa na bahati mbaya ndo mahuti yakamkuta huko.
Mtu alilazwa kisa typhoid na kupungukiwa damu.

Naamini hata ripoti ya post mortem bado.

Naamini hakuna aliyeiona.

Kisha unakuja uzi wa kulink kifo cha typhoid na drug dealing.

Amejulikana tangu enzi za Ngwea kufia South.

Kama aliwataja wangekua wameshakamatwa.

Let's not feed over deaths
.
 
Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.
Nina sababu kubwa kabisa ya kukubaliana nawewe katika hili.
 
Back
Top Bottom