Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Nilikutafuta Kaka Mshana jr.
Mie ndo nakabidhi lindo la Mochwari hapa MuH2
Nlimuwahi akiwa wa motomoto
Ka

Kifo kinikatiri...cjakubali
Nilitaka japo niwemo kwenye orodha...

S
Na siye wamwituni tumo

Ila kaka Umesema kweli tupu
Mh! Ongera kuwepo kwenye list
 
Tangu nilipozisikia habar za kifo cha Agynes,nilijaribu kutengeneza hypotheses zifuatazo;
1.Huenda ameuawa na watu wa mtandao aliokuwa akiufanyia kazi
Hapa wengi labda ni vigogo wa vyama na serikali so,wanaona wakitajwa hali inaweza kuwa mbaya kwao kisiasa na kibiashara

2.Huenda alikuwa na gonjwa la kizungu so,akaona akienda kulazawa kwenye Hosp' kubwa kama Muhimbili au Agakhan newz zinaweza ku-leak mapema na yeye hakupenda jambo...pia yaweza kuwa watu wa mtandao walimpeleka kwenye Hosp'ya uchochoroni ili iwe rahsi kummaliza
3.Akiwa anafanya biashara ya kubeba poda huenda alipata madhara makubwa hasa kwenye utumbo na hivyo kupelekea duodenum disorder ambayo pengine ndyo iliyopelekea kifo chake
4.Huenda ni stress baada ya kuingia kwenye manoma na kukosa fedha huku jamii ikiwa ina mtazama kwa macho mabaya

Mwisho;Mungu ndye anayefaham ukweli wa kifo chake coz we are all attempting an intelligence guessing!
 
Yajayo yanafurahisha
_20180421_072749.JPG
 
Hiyo Namba mbili kama nakuelewa hivi.
 
Aliugua muda tu hali haikuwa poa kama zamani sema walificha

Mashaka ya watu ni hospitali aliyofia, pale kwa mama ngoma ni pa kawaida sana tukubali/tukatae (uzuri wa jengo sio usasa wa matibabu) nimetibiwa mara nyingi mno pale.

Magonjwa yanayosadikiwa kumuondoa ni ya kawaida sana tena yenye matibabu pale National Hospital/Agha kan na kwingineko,

Kama pale waliona dalili mbaya kwa mgonjwa kwanini wasimpe rufaa?? haiingii akilini mtu anakufa gafla bila kuonesha dalili za kuzidiwa

Mwisho wa siku maiti ndiyo inapewa rufaa
 
Back
Top Bottom