Hahahaha umenikumbusha mbali. Hapo mwenge kanisani (katoliki) enzi hizo kanisa lile la zamani, tulikuwa tunakula mabibo wacha kabisa... Nilikuwa naenda Silent Inn kuchungulia wakubwa walivyokuwa wanasakata rumba la Bima Lee Orchestra.Dukani kwa mpemba nini? Maana miaka ya nyuma Mwenge nzima maduka yalikuwa miwili tu Mwenge kijijini nyumba No. 1 na kwa mpemba karibu na hongera bar
Dah... Hivi Hii Juice bado ipo ? Ilikuwa inatengenezwa wapi ?Mkuu unanikumbusha mbali sana, kulikuwa na Juice nyingine ya Black current.
Nimeingia Sana hapo kanisani japo mimi ni wa upande wa pili, Duuuu Mwenge yetu mkuu tulikuwa tunajuana japo ati hatusaliamiani ila unajua kabisa huyu wa NHC, huyu wa Kijijini na huyu wa Flats za jeshiHahahaha umenikumbusha mbali. Hapo mwenge kanisani (katoliki) enzi hizo kanisa lile la zamani, tulikuwa tunakula mabibo wacha kabisa... Nilikuwa naenda Silent Inn kuchungulia wakubwa walivyokuwa wanasakata rumba la Bima Lee Orchestra.
Umenikumbusha mbali, unakumbuka ule mwimbo, "Sasa ndiyo wakati wa kutoa sadaka kila mtu atoe alicho nacho, wiki nzima bwana Yesu alikulinda vyema sasa nawe ndugu yangu hembu fikiria", hapo unapiga mahesabu pesa ya picknic msure alishatoa nje, sasa ile sentesi "Mungu anakuona" nafsi inakusuta.Hahahaha umenikumbusha mbali. Hapo mwenge kanisani (katoliki) enzi hizo kanisa lile la zamani, tulikuwa tunakula mabibo wacha kabisa... Nilikuwa naenda Silent Inn kuchungulia wakubwa walivyokuwa wanasakata rumba la Bima Lee Orchestra.
Hahahaha sisi wa Mwenge kijijini tulikuwa tunajiona kama watoto wa washua LOL... weekend tunakatiza kwa miguu mpaka baharini kwenda kuogelea... siku zikitubadilikia tunaenda mpaka chuo kikuu kuchezea lift (yani ile panda shuka kwa lift tulikuwa tunajiona wajaaanja)...Nimeingia Sana hapo kanisani japo mimi ni wa upande wa pili, Duuuu Mwenge yetu mkuu tulikuwa tunajuana japo ati hatusaliamiani ila unajua kabisa huyu wa NHC, huyu wa Kijijini na huyu wa Flats za jeshi
Kwakua mmekua wakweli, basu nivyema mkawa wasomaji tu.kwa ambao hatukuwepo utata sasa maan hatujui
Hata sijui kabisa
Hahahaah kwaya Masta akiwa Byabato (marehemu). Usinikumbushe enzi hizo nilikuwa ministrant, kabla sista hajanifumania kwenye kibanda cha kuungamishia nimelala fofo baada ya kulewa divai niliyoiba... Sijawahi kuchapwa na mama kama siku ile baada ya sista kwenda kunishtaki kwa wizi wa damu ya Yesu LOLUmenikumbusha mbali, unakumbuka ule mwimbo, "Sasa ndiyo wakati wa kutoa sadaka kila mtu atoe alicho nacho, wiki nzima bwana Yesu alikulinda vyema sasa nawe ndugu yangu hembu fikiria", hapo unapiga mahesabu pesa ya picknic msure alishatoa nje, sasa ile sentesi "Mungu anakuona" nafsi inakusuta.
Mkuu ya kwako ilikuwa kali, uliiba Damu Ya Yesu, bdiyo maana unamaakili sana, hahahahaHahahaah kwaya Masta akiwa Byabato (marehemu). Usinikumbushe enzi hizo nilikuwa ministrant, kabla sista hajanifumania kwenye kibanda cha kuungamishia nimelala fofo baada ya kulewa divai niliyoiba... Sijawahi kuchapwa na mama kama siku ile baada ya sista kwenda kunishtaki kwa wizi wa damu ya Yesu LOL
Mstaarabu yeyote hawezi kumwambia mwenzake "muongo" hasa ukiwa humjui pia umesema waongo akina nani? na hapa tunakumbuka ya zamani tunafurahi, pia unaweza kumquote mmoja meseji ikawa ni kwa wengi tena tulikuwa tunakatazwa nyumbani usimwambie mtu muongo unapigwa mdomoSikuamanisha vibaya lakini asante kwa matusi na kibaya sikuwa nakujibu wewe.Pia jifunze ustaarabu hatua tuliyofikia tumeshatoka kwenye unyani nahisi wewe tulikusahau huko.
Hahahaah kwaya Masta akiwa Byabato (marehemu). Usinikumbushe enzi hizo nilikuwa ministrant, kabla sista hajanifumania kwenye kibanda cha kuungamishia nimelala fofo baada ya kulewa divai niliyoiba... Sijawahi kuchapwa na mama kama siku ile baada ya sista kwenda kunishtaki kwa wizi wa damu ya Yesu LOL
Yallah mbavu zangu, nimecheka kwa sauti, ulionja kidogo ukaongeza ukaongeza tena ukalewaHahahaah kwaya Masta akiwa Byabato (marehemu). Usinikumbushe enzi hizo nilikuwa ministrant, kabla sista hajanifumania kwenye kibanda cha kuungamishia nimelala fofo baada ya kulewa divai niliyoiba... Sijawahi kuchapwa na mama kama siku ile baada ya sista kwenda kunishtaki kwa wizi wa damu ya Yesu LOL
CCM Kata 14 TemekeWAPI WAPIS BAR chang'ombe hahahahaa waqt uleeeee
Wa NHC ndio tulikuwa hatuongei na yeyote tulikuwa tunajisikia fulani hivi kidogo na wa Kijijini ila wa magorofani tulikuwa tunawadharau tukiwaita watoto wa vikopo, ila walikuwa wanatupiga kweli ukitumwa mwembe mlanguo unajishauri upite njia gani kote umeshaharibu hahahahahahHahahaha sisi wa Mwenge kijijini tulikuwa tunajiona kama watoto wa washua LOL... weekend tunakatiza kwa miguu mpaka baharini kwenda kuogelea... siku zikitubadilikia tunaenda mpaka chuo kikuu kuchezea lift (yani ile panda shuka kwa lift tulikuwa tunajiona wajaaanja)...
hahahahaMkuu kumbe ulikuwa Bitoz mimi nilikuwa mwali nikiimbishwa naugua siku tatu nimelala kitandani kila nikiwaza nilichoambiwa ugonjwa unazidi nikiukizwa ninachoumwa sisemi
Du mkuu, una museum nini, hii archive si ya kitoto.View attachment 453849 Enzi zile ukijipakaa haya mafuta unakua unanukiaaaa!!
Peleka uzuzu wako anajuaje simjui alikuwa anafanya joking kwa yule aliemquote mara ya kwanza acha chuki na kashfa zako kuwa mstaarabu, usiwe unadandia treni kwa mbele usiestaarabika we.Usiharibu uzi.Mstaarabu yeyote hawezi kumwambia mwenzake "muongo" hasa ukiwa humjui pia umesema waongo akina nani? na hapa tunakumbuka ya zamani tunafurahi, pia unaweza kumquote mmoja meseji ikawa ni kwa wengi tena tulikuwa tunakatazwa nyumbani usimwambie mtu muongo unapigwa mdomo
Hahahaaa! Napenda sana kuhifadhi vitu kama hivi.Du mkuu, una museum nini.
Aisee !!!!Wakati huo ukijikwaa navkung'oa kucha, cha kwanza unajaza mchanga kwenye kidonda
Ilikua rahaae full kuaminiana!!!Embe mnang'ata kwa zamu mpaka mnafikia kokwa.
Hiii hata mimi nilifanya kipindi nakuaTena unaweka mdomo bombani, maji hata huyaoni, yakitoka bombani ni mdomoni nabmoja kwa moja tumboni. Ukimaliza mwenzio anafuata....
Mtoni unaganya kusukuma majani pembeni unachota maji kwa mikono miwili na kuyanywa hapo hapo