Why unasema hivyo kaka!Hamna kitu hapo Kaka hamna kitu
Good!Naamini kuna suprise inakuja!!Huko kijijini nasikia wazee wanaandikishwa ili wapewe fedha za kujikimu za mfuko wa Raisi!!wanasema mama atawagawia wazee fedha!!Mi nikadhani ni za TASAFU kumbe hapana za mama!!!!NASUBIRI HAPA MKUU!!
We ni Materu yupi? Wa Materuni au?Naomba vote yako rafiki ubarikiwe😊👇🏻
SoC01 - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
Kutokana na ukosefu mkubwa wa ajira unaoikumba nchi yetu vijana wanaweza kutumia fursa zilizopo za kidigitali ili waweze kujikwamua kiuchumi kuliko kiuendelea kuisubiri serikali huku wakati ukiwatupa mkono. katika makala hii tutatalii ni kwavipi mwalimu au mtu mwenye ujuzi fulani anaweza...www.jamiiforums.com
Tujifariji! Tia neon ndugu!Hapa sitii neno kabisa
Mwigulu hanaga aibu! Sisi WaNyiramba wenzie tunamjua vizuri sana! Sema tu tumekosa mbadla wake!Yani na uchumi wake wa daraja la kwanza anasema Serikali itaweka pesa kwenye Mzungu baadaye. Sasa kwanini wasiweke sasa hivi kabla ya kuanza kutukata kwenye miamala?? Wewe unatunyonya pesa yetu afu ndo uturudishe afu useme ndo uweka?
Magufuli alibana pesa na matokeo yake alitukanwa na sekta nzima ya biashara.Tarehe 24 Julai, 2021 watumishi wa umma na hata wafanyakazi wa sekta binafsi wataenda kushuhudia hilo punguzo la asimilia 01% ya kodi kwenye mishahara yao itawaongezea kiasi gani cha kipato cha mwezi kwa ajili ya kutumia kwa miezi 12 ijayo...
Pesa gani kishaachia ndugu?Magufuli alibana pesa na matokeo yake alitukanwa na sekta nzima ya biashara.
Huyu wa sasa anaachia pesa mtaani na bado anasakamwa kwenye masuala ya kodi za miamala!.
Hayupo rais atakayeweza kumfurahisha kila mtanzania.
Cha muhimu kwa Kiongozi mkuu wa nchi ni kuwa na msimamo kwa kile anachokifanya.
Subiri utaziona muda si mrefu. Amekuja na approach ya kusikiliza kilio cha wengi haswa wahangaikaji wa mijini.Pesa gani kishaachia ndugu?
Kama upo Ikulu basi sawa ndugu!Subiri utaziona muda si mrefu. Amekuja na approach ya kusikiliza kilio cha wengi haswa wahangaikaji wa mijini.
purchasing power ya watumishi ikiwa ndogo hakuna uchumi kukua, hata viwanda vitadumaa. BAADHI ya mambo yanayochangia uchumi wa ulaya na marekani na mataifa mengine kama kenya kukua ni uwezo mkubwa wa manunuzi walionao watumishi. Mshahara wa mbunge wa Kenya ni sawa na mishahara ya wabunge 5 wa tanzania. mshahara wa prof. wa Kenya ni sawa na mishahara ya maprofesa 6 wa hapa kwetu, hii ina maana kuwa mtumishi wa ulaya anaweza kununua zaidi ya mara 20 kuliko mtumishi wa Tanzania, maana yake anaweza kulipa kodi za serikali na hata kuajiri watu wengine, wanaweza kufanya utalii, wanaweza kupanda ndege, wanaweza kununu simenti, nk mara 20 kuliko sisi.Tarehe 24 Julai, 2021 watumishi wa umma na hata wafanyakazi wa sekta binafsi wataenda kushuhudia hilo punguzo la asimilia 01% ya kodi kwenye mishahara yao itawaongezea kiasi gani cha kipato cha mwezi kwa ajili ya kutumia kwa miezi 12 ijayo.
Waziri Mwigulu kwa niaba ya Rais amesema Serikali inaenda kuachia mihela so hata machungu ya kodi za miamala yatatoweka.
Kauli ya Mh. Mwigulu kwa niaba ya Rais ina kautamu Fulani hivi.
Hebu tusubiri ndani ya hizi siku 5 - je ni kweli itakuwa kama ilivyokwishatamkwa au akina Mwigulu wanaenda kumharibia zaidi Rais Samia?
Huyu ni Materu wa Lyamba lya mfipa!We ni Materu yupi? Wa Materuni au?
Hapn wa mbokomuWe ni Materu yupi? Wa Materuni au?